Chadema ni wakati wa kufika kusikofikika tangu uhuru(vijijini)

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Nimeona ruzuku watakayo pata chadema kama itatumika ipasavyo naamini chama kitafika mbali itumike kufungua mashina,kufika vijijini,kutoa elimu ya uraia na maeneo mengne chadema kinapata milion 200 tsh zitumike ipasavyo tusimruhusu shetani
 
Back
Top Bottom