Kwanza kamvue bibiyo, halafu uje huku mitaani.
Amekataa kutokana na Umri wake mkubwa na Maradhi yanayomsumbua kama CCM amesema anataka kufa pamoja na CCM 2015 au hata kabla ya hapo iwapo watazidiwa
yeye anacheza mdundiko
Usikufuru, kuna mzee mmoja alisema hafi mpaka aione CCM imekufa, haijapita wiki, tukasikia kafa. Umesahau? aliyasema hayo maneno UDSM.
Sasa wewe kijana, usimkufuru Mungu, hujui nani atatangulia.
Huyo bibiyo anakutazama tu unavyo hangaika, anajuwa ni mcheza disko tu, Huna zaidi.

kwi! kwi! kwi! ha ha sufi!!!!!! Inauma siyo bibi kang'ang'ania bibi mwenzake CCM lazima waondoke pamoja
Siku ileeee si Bilicans walikuwepo uwanjani!Alichosema Lipumba ni kweli.