CHADEMA ni Wacheza Disko - Prof. Lipumba

CHADEMA ni Wacheza Disko - Prof. Lipumba

Plato

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
420
Reaction score
94
attachment.php
 

Attachments

  • SAM_2770.JPG
    SAM_2770.JPG
    114.2 KB · Views: 6,660
Haaaaaa Lipumba vipi tena?? Kwanza mjibu Ney wa mitego nasema nao!
 
Alikuwa anamaanisha nini huyu mzee?,kumbe hata Kama umesoma sana haisaidii eeh?kwa kauli hiyo ya Lipumba na usomi wake tumtafsiri vipi?
 
Ukisikia Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Jua Limempata! Kauli za Lipumba tumeshazizoea wakati wa kampeni 2010 alisema Dr Slaa ni sisimizi hawezi kufananishwa nae yeye ni bora zaidi Lakini Box la kura lilimuumbua, sasa analia alidhani anawatu Kusini M4C imemaliza kazi kusini na kumwacha mtupu ni lazima atukane ameishiwa wanachama na hoja pia
 
Lipumbaaaaaaaaaaaaa hivi aliwahi kushinda hata uchaguzi wa serikali za mtaa?
 
huyu Prof. anajishusha thamani ni bora aachane na siasa anako elekea ni kubaya, na usomi wote huo bado ana-bwabwata!
 
Prof please you need to comment wisely, a person of your calibre needs to be careful with his comment.
 
Back
Top Bottom