CHADEMA ni wachawi wa upinzani - Mtatiro

Ni chizi au mwendawazimu asiyejua a.c.t ni chimbuko la ccm penye ukweli uwongo hujitenga tukutane october.
No body takes Chadema serious anymore,haya uliyoandika hapa ni mapya? Hamkuwaambia CUF haya,au ulikuwa badobado enzi hizo? Go read your history books.
 
Yandwele yashapita tunaganga yajao na Tukiwa kama watu wenye hofu ya Mungu kusameheana ni moja ya nguzo zetu shetani peke yake ndie asiyependa haya yatokee wewe mwenyewe ushafanya mangapi ya kumchukiza muumba wako na ukawa na uhitaji wa msamaha ?
Unafiki haumpendezi mtu mpenda haki bakini hivyo hivyo na uzandiki wenu, wivu fitna, majungu, kutokuwa na utu, uchawi, ufisadi maana hivyo kwenu ni kama maji lazima uyanywe usipoyanywa utayaoga shetani ndie nguzo yenu , UKAWA tulianza na MUNGU na tutamaliza na MUNGU.
 
Too bad viongozi wako wa chadema hawaoni au kujua umuhimu wa maneno mazuri na ya busara ulioandika hapa,lilitakiwa hili lianze mapema,saa hizi tungekuwa tumesha-confirm kung'oka kwa CCM.
 
Ni bora kukumbushwa mlipokuwa ili watu wawajue zaidi baadae msilete shida. Hakuna malengo hasi wakati mlisema wenyewe na kwa hiyari yenu, mnakumbushwa ili msikatae.

Kuna watu wako nyuma ya ufufuaji wa hizi thread za zamani kwa malengo hasi dhidi ya UKAWA.
 
Chadema ni wazandiki wakubwa ndio maana me siwezi kurudi kuwa mwanachama wao tena nimegundua kuwa nilipotea.Act wazalendo ndo tumaini la wanyonge.
 
Yandwele yashapita tunaganga yajao na Tukiwa kama watu wenye hofu ya Mungu kusameheana ni moja ya nguzo zetu shetani peke yake ndie asiyependa haya yatokee wewe mwenyewe ushafanya mangapi ya kumchukiza muumba wako na ukawa na uhitaji wa msamaha ?
Unafiki haumpendezi mtu mpenda haki bakini hivyo hivyo na uzandiki wenu, wivu fitna, majungu, kutokuwa na utu, uchawi, ufisadi maana hivyo kwenu ni kama maji lazima uyanywe usipoyanywa utayaoga shetani ndie nguzo yenu , UKAWA tulianza na MUNGU na tutamaliza na MUNGU.

Umeongea vizuri.

Busara hii ingetumika kwenye kudeal na ACT na Zitto, basi CHADEMA wangekuwa mahala pazuri zaidi.Mjifunze kutoka kwake Zitto aliyepigia mstari ya kale, na kuamua kuanza upya.

Nothing says a new political start than joining/starting with a new party. It's time CHADEMA moves on and accept what has happened, has happened.
 
Wanasiasa ni vigeugeu pale wanapoona maslahi yao binafisi yanaguswa wako tayari kuzungumza lolote au kufanya chochote ili kulinda maslahi yao
Sio wa kuwaamini sana.
 
huu utaratibu wa kuwepo Post za mwaka 2011 humu mie sijaupenda hata kidogo Mods tazameni hili,au ndio jukwaa sasa limekuwa la upande na kama The fonder mnaelekezwa nini?cha kufanya mnatuchanganya hakika.
Tulia twende taratibu kaka
 
Yandwele yashapita tunaganga yajao na Tukiwa kama watu wenye hofu ya Mungu kusameheana ni moja ya nguzo zetu shetani peke yake ndie asiyependa haya yatokee wewe mwenyewe ushafanya mangapi ya kumchukiza muumba wako na ukawa na uhitaji wa msamaha ?
Unafiki haumpendezi mtu mpenda haki bakini hivyo hivyo na uzandiki wenu, wivu fitna, majungu, kutokuwa na utu, uchawi, ufisadi maana hivyo kwenu ni kama maji lazima uyanywe usipoyanywa utayaoga shetani ndie nguzo yenu , UKAWA tulianza na MUNGU na tutamaliza na MUNGU.

Leo ndio unayajua haya?wewe si ulikua mstari wa mbele zitto afukuzwe,acha unafiki mangi
 
Umeongea vizuri.

Busara hii ingetumika kwenye kudeal na ACT na Zitto, basi CHADEMA wangekuwa mahala pazuri zaidi.Mjifunze kutoka kwake Zitto aliyepigia mstari ya kale, na kuamua kuanza upya.

Nothing says a new political start than joining/starting with a new party. It's time CHADEMA moves on and accept what has happened, has happened.

Zito yupi huyu ptuuuu hata kwenye Biblia imeandikwa mtu mmoja akikukwaza ni heri afungwe jiwe kubwa shingoni na akatoshwa baharini zito hii inamhusu.
 
Kaimu Katibu Mkuu wa CUF, Jurius Mtatiro amesema Chadema ni wachawi wa upinzani Tanzania, tena ni vigeugeu wakubwa watu wa propoganda kila siku wanaumiza vichwa vyao jinsi gani watawauwa CUF; wanaeneza propoganda CUF wamaeungana na CCM hawawezi kushirikiana nao wakati huo huo Chadema wanachukuwa pesa kutoka kwa kada wa CCM SABODO, ni sawa sawa kusema utaki kula nyama ya nguruwe lakini supu yake unakunywa.

MLIMANI TV

kweli kabisa,historia haifutiki
 
Back
Top Bottom