mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,172
CHADEMA na CUF wote wadini,huwezi kwepa hilo..
Karibu ACT-Wazalendo,tuirudishe nchi katika Misingi
A.c.t chama cha waha na ni mtoto ndakindaki wa ccm wabisha tufunguke?
CHADEMA na CUF wote wadini,huwezi kwepa hilo..
Karibu ACT-Wazalendo,tuirudishe nchi katika Misingi
Hii ilikuwa March 2011
Kaimu Katibu Mkuu wa CUF, Jurius Mtatiro amesema Chadema ni wachawi wa upinzani Tanzania, tena ni vigeugeu wakubwa watu wa propoganda kila siku wanaumiza vichwa vyao jinsi gani watawauwa CUF; wanaeneza propoganda CUF wamaeungana na CCM hawawezi kushirikiana nao wakati huo huo Chadema wanachukuwa pesa kutoka kwa kada wa CCM SABODO, ni sawa sawa kusema utaki kula nyama ya nguruwe lakini supu yake unakunywa.
MLIMANI TV
Kuumbe! Sasa ya 2011 yanahusu nini mambo ya sasa.Tulishaasau tunataka mapya.
Mkuu huo ndiyo unafiki wa Chadema mambo ya zamani yanayowahusu wao wanataka watu wasiyajadili lakini mambo ya zamani ya Zitto ruksa kuyajadili.Wow.
Sasa huu ndio unafki. ya ACT kina zitto wamesema upigwe mstari muanze upya mmekuwa wakali kama pilipili kichaa. Ila haya ya kale kutoka CUF yazikwe huko yaliko.
Ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu.
Kwani kipi kimebadilika.Hii ilikuwa March 2011
Mkuu huo ndiyo unafiki wa Chadema mambo ya zamani yanayowahusu wao wanataka watu wasiyajadili lakini mambo ya zamani ya Zitto ruksa kuyajadili.
huu utaratibu wa kuwepo Post za mwaka 2011 humu mie sijaupenda hata kidogo Mods tazameni hili,au ndio jukwaa sasa limekuwa la upande na kama The fonder mnaelekezwa nini?cha kufanya mnatuchanganya hakika.
Mkuu uzuri wa JF ni kwamba kumbukumbu zinatunzwa kwa kiwango cha juu sana tumeamua kuwakumbusha tu yaliyopita ili uzijue rangi halisi za wanasiasa wetu na pia kuwapa tahadhari wote wanaotukana baadhi ya vyama kwamba wawe na AKIBA YA MANENO maana hawajui ya kesho
OOh ni vizuri ukiongezea na hilo..ccm mafreemason
hahaha wewe hata useme nini Tribalism is branded to Chadema,The Chagas own Chadema.A.c.t chama cha waha na ni mtoto ndakindaki wa ccm wabisha tufunguke?
Hata kama zingekuwa ni post za 1990 kitu cha muhimu ni kuonyesha ndimi walizonazo wanasiasa wetu.
Wow.
Sasa huu ndio unafki. ya ACT kina zitto wamesema upigwe mstari muanze upya mmekuwa wakali kama pilipili kichaa. Ila haya ya kale kutoka CUF yazikwe huko yaliko.
Ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu.
hahaha wewe hata useme nini Tribalism is branded to Chadema,The Chagas own Chadema.
zilipendwa
Kuna watu wako nyuma ya ufufuaji wa hizi thread za zamani kwa malengo hasi dhidi ya UKAWA.