CHADEMA ni vilui luwi wa vyura

CHADEMA ni vilui luwi wa vyura

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,180
Niseme ukweli ,nilikuwa nawaaminia sana CHADEMA na haswa viongozi wao ,nikiwaona na magwanda na namna wanavyosema nilijiaminisha wanaweza kuuteka umma na wao kuwa mstali wa mbele.

Ila mapambano sio lelemama ,nilitegemea Mwaka huu twente faiv CHADEMA wataunga pale walipowekeza CUF kuishauri nguvu ya umma kuingia barabarani.

Zanzibar ilizizima na dunia nzima ilikuwa imekaa mguu sawa ,kwa maana tension ilikuwa high na UN flag ilikuwa rangi nyekundu ,Makao Makuu Mtendeni ilijaa wafuasi wa CUF ,mwisho wa siku CCM waliachia na kukubali Serikali ya Mseto .

Chadema haina mbinu hawawezi kuwatongoza wananchi na badala yake hutumia maneno ya vitisho tuakinukisha .kusema kweli kimenuka sasa wamekosa Uchaguzu wamepoteza , viongozi wamebaki no election ,maana hawamo tena ,waliloliomba wamelipata.

Ninachokiona ni kutafuta huruma aiza kupitia Makanisani,misikitini na kwenye vyama vya ushirika wakitafuta kuungwa mkoni.

Wapi Chadema walikosea ? Sehemu mtu anayoweza kupandisha hasira na kupigana au kupigania haki yake ni pale anapodhulumiwa hapo inakuwa ni rahisi na hili linawezekana mara tu baada ya kupiga kura na kuanza kutoka kutangazwa matokeo hapo ndio unaweza kukinukisha kikanuka na ukaweza kuingiza mguu Ikulu ,ila kwa kutegemea kutumia mkutano hio ni ngumu sana .

Kwa style ya Mheshimuwa Lisu haiwezekani zaidi ya kujitia matatani peke yake ,kindende akija kuwataja alioshirikiana nao katika kutaka kuipindua nchi .

Wanachama wa CHADEMA ni kama viluilui wa vyura mwisho wa siku wanabaki peke yao,
 
Wewe ukiambiwa uingie barabarani utaweza au unalaumu tu kwa vile unajua ku type?
 
Majizi ya Ccm na Machadema nyie wote ni wachumia tumbo mmoja kapata madaraka mwingine anatafuta madaraka na machadema yameshaanza kula hela za wananchi kwa kuomba michango ya tonetone ambayo huwa hawatoi majibu imefika shingapi ili wapige kirahisi, ukihoji hoji unafukuzwa chama kama Mrema
 
Niseme ukweli ,nilikuwa nawaaminia sana CHADEMA na haswa viongozi wao ,nikiwaona na magwanda na namna wanavyosema nilijiaminisha wanaweza kuuteka umma na wao kuwa mstali wa mbele.

Ila mapambano sio lelemama ,nilitegemea Mwaka huu twente faiv CHADEMA wataunga pale walipowekeza CUF kuishauri nguvu ya umma kuingia barabarani.

Zanzibar ilizizima na dunia nzima ilikuwa imekaa mguu sawa ,kwa maana tension ilikuwa high na UN flag ilikuwa rangi nyekundu ,Makao Makuu Mtendeni ilijaa wafuasi wa CUF ,mwisho wa siku CCM waliachia na kukubali Serikali ya Mseto .

Chadema haina mbinu hawawezi kuwatongoza wananchi na badala yake hutumia maneno ya vitisho tuakinukisha .kusema kweli kimenuka sasa wamekosa Uchaguzu wamepoteza , viongozi wamebaki no election ,maana hawamo tena ,waliloliomba wamelipata.

Ninachokiona ni kutafuta huruma aiza kupitia Makanisani,misikitini na kwenye vyama vya ushirika wakitafuta kuungwa mkoni.

Wapi Chadema walikosea ? Sehemu mtu anayoweza kupandisha hasira na kupigana au kupigania haki yake ni pale anapodhulumiwa hapo inakuwa ni rahisi na hili linawezekana mara tu baada ya kupiga kura na kuanza kutoka kutangazwa matokeo hapo ndio unaweza kukinukisha kikanuka na ukaweza kuingiza mguu Ikulu ,ila kwa kutegemea kutumia mkutano hio ni ngumu sana .

Kwa style ya Mheshimuwa Lisu haiwezekani zaidi ya kujitia matatani peke yake ,kindende akija kuwataja alioshirikiana nao katika kutaka kuipindua nchi .

Wanachama wa CHADEMA ni kama viluilui wa vyura mwisho wa siku wanabaki peke yao,
Kwanini mambo yao usiwaachie wao na wewe ukaenda chama unachokitaka. Ccm kuwaonea huruma Cdm ni uzwazwa wa hali ya juu mno
 
Wakati juhudi za wenye akili wanapotafuta njia iliyo bora kusolve wingu jeusi lililolifunika taifa, mataahira kama wewe hilo hamlioni!

Kuanzia anayezusha kuwa Cdm wamejitoa bila ya wao kutoa tamko kama hilo, anayeshadaia kuwa Cdm wamepoteza sifa kwa kutosaini hayo matakataka pamoja na wewe ni watu wapumbaf wenye husda ya kuliingiza taifa hili kwenye machafuko.

Hakuna mwenye hati miliki ya kutawala taifa hili, bali ni wananchi ndiyo wenye hati miliki ya kuuweka madarakani uongozi wanaoutaka kwa njia ya kidemokrasia kwa sanduku la kura.

Kuegemea Ccm ama kuegemea Cdm katika kipindi hiki cha sintofahamu, badala ya kushauri, hawa magiant wa vyama hasimu wakae meza moja kupata muafaka wa kujinasua kwenye mkwamo uliopo ni kuombea machafuko na umwagaji wa damu.
 
Wewe ukiambiwa uingie barabarani utaweza au unalaumu tu kwa vile unajua ku type?
Mimi sipo na siasa ,ila mkubali tu kuwa CHADEMA hamuwezi kupambana ni piga tajame.
Hivi unajuwa polisi kiliwakuta nini Pemba ??? Hadi ikawabidi watafute msaada Tanganyika Kutokea wilaya ya Tanga.
 
Wakiwa viluwiluwi/viluilui kama ufahamu wako unavokutuma unaumia nini? Leave them alone uwe na peace of mind, viluwiluwi/viluilui vinakusumbua nini chawa? Huko shule mnasomeaga ujinga nyie wababa watu wazima?
 
Mimi sipo na siasa ,ila mkubali tu kuwa CHADEMA hamuwezi kupambana ni piga tajame.
Hivi unajuwa polisi kiliwakuta nini Pemba ??? Hadi ikawabidi watafute msaada Tanganyika Kutokea wilaya ya Tanga.
Chadema hai advocate violence katika kufanya siasa zake, tunaamini katika kujenga hoja na kutoa elimu kwa wapiga kura ili watuunge mkono kama tunavyofanya kwenye mikutano yetu ya No Reform No Election na umeona jinsi wananchi wanavyotuelewa na kutuunga mkono jambo ambalo limeitisha CCM hadi kutumia majeshi na Mahakama kutuzuia, hii ndiyo Chadema. Pemba askari Polisi waliuwawa tena mmoja alichinjwa hadi kutenganisha kicha na kiwiliwili, ndiyo siasa unataka Chadema tufanye? Chadema siyo genge la kigaidi.
 
Back
Top Bottom