CHADEMA ni kichwa cha Mwendawazimu

CHADEMA ni kichwa cha Mwendawazimu

Arusha aliiba eneo LA jeshi liko azimio
Lowasa ni Kansas ya nchi adi anaiba maeneo ya jeshi,
ahahahaha sasa kwanini hayuko jail wala hafagii barabara wala hospital km wenziwe na alifanya magumashi chini ya nani kwanini hamuoni naye anahusika
d
 
Arusha aliiba eneo LA jeshi liko azimio
Lowasa ni Kansas ya nchi adi anaiba maeneo ya jeshi,

d
wanajeshi walikuwa wapi bhwana mna ushahidi yaani anaanza kujigaia eneo lajeshi
? wale majamaa walivyo wakaksi hata ukikatisha tu unachezea vitasa ije kuwa uibe eneo lao hapana hizo ni rtory za vijiweni hazinaga ukweli na kama ni kweli lazma alishirikiana na wenzie ambao hawawezi kumfanya lolote sababu kila mtu alichukua chakwe


i mean kama yeye aliiba hapo kuna wengine waligawana barricks'
wengine kiwira na kila mtu akala chake ndo maaana hawamgusi wanajua atasema na yeye
 
Mimi ninawashangaa sana wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Wao pamoja na Mwenyekiti wa Freeman Mbowe wamekua wakilalamika sana kua Serikali inaongozwa kama kichwa cha mwenda wazimu kwa sababu Wakurugenzi wa mashirika mbalimbali wametimuliwa na kuyaacha mashirika hayo kutokua na Wakurugenzi. Ila kikubwa jiulize, mbona wao wamekaa miezi 8 sasa hawana hata katibu mkuu? wao hawaoni kuwa hili ni tatizo kwa ustawi wa chama? au ndio yale ya nyani haoni kundule? Je ni kwamba hakuna anaefaaa kuwa Katibu mkuu?

My take: Toa kwanza boliti ndani ya jicho lako ili uone kibazi ndani ya jicho la mwenzako.
Hivi nawe unajiita GT?
 
Ushahidi uko kwa wenye madodoki.
nfyuuu.jpg
ssm
received_906539396083169.jpeg
 
nahadithiwa na nani ndugu......... sina nafasi hata ya dk 5 kukaa kwenye magenge ya aina yoyote zaidi ya kuwa online hapa
Mulugo hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Lumumba hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Chadema ipoipo tu
Nikama Meli inayo Elea baharini kiasha MTU anaitoboa kitundu Fulani
INA kwenda ikiwa inazama.

CDM wanamtegemea Mbowe Akili ndogo iongoze Akili kubwa
Hahaha
KIASHA?ushabugia ugoro tayari na kusindikizia na kayoga?
 
Umeuliza swali la msingi sana mkuu,inaonekana mtu ukiwa ndani ya jezi ya kijani wewe ni malaika lkn ukiikana hiyo jezi basi hapo hapo unabatizwa jina la fisadi
haha ndo ushangae wanatuambia nini hawa vilaza wanadhani sa hii ni enzi za mwalim jk eeeeeh
 
Alikuwa fisadi na ndiyo maana tukapiga teke, tupa kule!
Tunataka hatua za haraka kuchukuliwa kwa mafisadi walio shiriki kuiba fedha za escrow na mv dsm na walioshiriki kuuza nyumba za serikali
 
Hili chama kina rahana maana hata pesa zilizokianzisha mtei aliziiba bank kuu na kuanzisha chadema unatemea nini ,
Usiwashangae kuwa madodoki wa majizi wana vina saba na ufisadi adi kuanzishwa kwa chadema
Kweli Uvccm ni kichwa cha mwenda wazimu,
 
View attachment 328148






na ilishindikanaje kumtia pingu kama hakuwa mshirika mkuu wa mjomba wenu mbona yeye hamumtaji?

kina mgonja ndo mmeamua kuwafanya chambo wao mbona wanafagia huyu fisadi yupo munduli anakula life unaweza nambia kwanini mgonja anafagia na huyu baba yupo home anakula bata ?
Mkuu swali ni gumu sana kwa huyo chumia tumbo maana haandiki kitu bila kukaguliwa na mzee wa TANZANIA FOOTBALL ASSOCIATION
 
Usiishangae CHADEMA ishangae akili yko jinsi ilivyofinyu ktk kufikili na pia ishangae CCM mwizi Mkuu kumpa mwenyekit wa Bunge.
 
Naunga mkono hoja hii 100 kwa 100. Chadema ni kichwa cha mwe.hu
 
Shukuru sana Magufuli kwa kuamua kuzingatia madai ya muda mrefu ya wapinzani , kwa sasa kila mtu anasema sasa safi. BILA KELELE ZA WAPINZANI MAJIPU HAYATOBOLEWI WALA KUPASULIWA.
 

Attachments

  • AJABU.jpg
    AJABU.jpg
    8.3 KB · Views: 32
Back
Top Bottom