johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 86,105
- 146,431
Kwa ushahidi upi ulichokiandika?Muwe mnaacha miuongouongo.Kwanza Baraza kuu lifadhiliwe na CCM kwa kisingizio kua hawana ruzuku, halafu useme kuna upinzani wakati ajenda nyingi wameelezewa waseme nini
Kwa hiyo ulikuwa unaufurahia ugaidi wa huyo mjomba wako?Tulishawaeleza Tanzania hakuna upinzani kuna magenge tu ambayo yakiwa kwenye green pasture kama sasa huwezi kuyasikia yakipiga kelele lakini yakibinywa kidogo kama kwa jpm wanalia vilio kwa lugha zote
Kwa ushahidi upi ulichokiandika?Muwe mnaacha miuongouongo.
Weka ushahidi.Acha kuficha maneno ya kihuni kiunoni.Tukutajie mzigo alipewa nani? Kwa mnavojiona unadhani mlikua na uwezo wa kuitisha baraza kuu bila kufadhiliwa au unadhani mlivoambiwa muache matusi mitandaoni ni bahati mbaya?
Wewe ni mpumbavu JPM yuko wapi???Aliyoyaratibu ameyaacha na ambayo hakuyapenda yamerudi kwa speed ya 4G maana yeye kwa ujinga wake alifikiri akiwaondoa wapinzani ataishi milele sasa amewaondoa wapinzani akawaweka majambazi na majambazi hayo hayo yakammaliza bila huruma.Tulishawaeleza Tanzania hakuna upinzani kuna magenge tu ambayo yakiwa kwenye green pasture kama sasa huwezi kuyasikia yakipiga kelele lakini yakibinywa kidogo kama kwa jpm wanalia vilio kwa lugha zote
Bure kabisaUngeweka basi na kipengele cha katiba yao kinachotoa time limit ya rufaa kusikilzwa.
Unabwbwaja tu.
Mjibu mwagito.Bure beleshi?Bure kabisa
Aiseee!Tena ni afadhali angalau rufaa hii imeweza kusikilizwa baada ya naniliu kupewa fedha za kuitisha kikao hiki na nanilii!, Mamlaka ya rufaa ya NKM na M/Bawacha ni Baraza Kuu. Zitto alitimuliwa na CC ya Chadema, bila kuitishwa kabisa Baraza Kuu at all!. Kwa Halima Mdee ambaye Baraza Kuu, ndio Mamlaka yake ya nidhamu, haijapelekewa mashitaka yoyote ya Mdee!.
Kiukweli safari ya Upinzani Tanzania, bado ni ndefu!.
P