CHADEMA ni jeshi la mtu mmoja, not institutionalised

CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia kifalsafa utagundua.

Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.

mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.

chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.

saf sana endelea kubiri injili ya chadema mahba uiyonayokwa chama hiki mwaka huulazim tabeba mimba ya chadema
 
united kingdom or england kiswahili kigumu muda mwingi natumia english

United Kingdom and England refer to different things. Kiswahili and not kiswahili [sic]. Ni dhahiri muda mwingi unatumia english [sic] wakati wenzako wanatumia English.
 
Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.

Hii haa sijui umeipata wapi lakini ni vizuri kuacha kuokoteza maneno toka kwenye vijiwe vya kahawa na kuvileta hapa..

chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.

Hujakosea Chadema kilipata baadhi ya wabunge kutoka ccm ila kabla ya kusema makapi unatakiwa ujiulize kwanini walitolewa huko ccm na bado wananchi wakawapa kura na kuwachagua kama wawakilishi wao.. Tatizo kubwa la ccm siku hizi ni ya wafanyabiashara na mafisadi.. Vile vile ukiangalia kwa jicho jingine Chadema kuna viongozi wengi vijana ambao wamekuwa groomed ndani ya Chadema na sasa wamekuwa tishio kwa maslahi ya ccm na vibaraka wake.. So hoja yako haina mashiko..

mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.

Ukweli ni kwamba mapingamizi yalikuwa ni mbinu nyingine ya ccm kujaribu kuzuia tsunami ya kushindwa kwa aibu.. Kama umejisahaulisha baadhi ya sehemu hao wagombea "waliopita" bila ya kupingwa walikutana na hasira ya umma na kuishia kutangaza kujitoa kwenye uongozi..

chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.

Usikubali kuwa mtumwa wewe.. Uwe unafuatilia Chadema sasa inaendeshwa tokea kanda zake.. Mikutano inaendeshwa na viongozi na wanachama wa kanda husika.. Uhamasishaji unafanya na viongozi na wanachama wa kanda husika.. Hiyo hoja yako ya ati Chadema ni jeshi la mtu mmoja naona unamlenga yule mamluki wenu..
 
Hoja yako ni nini? au unajaribu kusema nini? Maana Kiswahili hueleweki, je kiingereza itakuwaje? ... Fanya tathmini ya kina ndo utajua kuwa CHADEMA inakubalika au la! ... Jaribu kuhudhuria mikutano na makongamano, sikiliza mazungumzo ya wafanyakazi na wakulima utajua kuwa CCM haiku tena kwa wananchi ...
CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia kifalsafa utagundua.

Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.

mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.

chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.
 
CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia kifalsafa utagundua.

Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.

mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.

chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.

Dogo anaumwa ubongo he cannot live his life bila Mbowe , Chadema , au Slaa .
 
Hivi huyu mleta mada ni Me au Ke? anaonekana ana wivu sana.
 
Hii haa sijui umeipata wapi lakini ni vizuri kuacha kuokoteza maneno toka kwenye vijiwe vya kahawa na kuvileta hapa..

Hujakosea Chadema kilipata baadhi ya wabunge kutoka ccm ila kabla ya kusema makapi unatakiwa ujiulize kwanini walitolewa huko ccm na bado wananchi wakawapa kura na kuwachagua kama wawakilishi wao.. Tatizo kubwa la ccm siku hizi ni ya wafanyabiashara na mafisadi.. Vile vile ukiangalia kwa jicho jingine Chadema kuna viongozi wengi vijana ambao wamekuwa groomed ndani ya Chadema na sasa wamekuwa tishio kwa maslahi ya ccm na vibaraka wake.. So hoja yako haina mashiko..

Ukweli ni kwamba mapingamizi yalikuwa ni mbinu nyingine ya ccm kujaribu kuzuia tsunami ya kushindwa kwa aibu.. Kama umejisahaulisha baadhi ya sehemu hao wagombea "waliopita" bila ya kupingwa walikutana na hasira ya umma na kuishia kutangaza kujitoa kwenye uongozi..

Usikubali kuwa mtumwa wewe.. Uwe unafuatilia Chadema sasa inaendeshwa tokea kanda zake.. Mikutano inaendeshwa na viongozi na wanachama wa kanda husika.. Uhamasishaji unafanya na viongozi na wanachama wa kanda husika.. Hiyo hoja yako ya ati Chadema ni jeshi la mtu mmoja naona unamlenga yule mamluki wenu..

Labda anamaanisha ccm iliyobaki na MTU mmoja tu mwenye uwezo was kufanya mikutano I mean Mr elephant
 
United Kingdom and England refer to different things. Kiswahili and not kiswahili [sic]. Ni dhahiri muda mwingi unatumia english [sic] wakati wenzako wanatumia English.

utakuwa umwvurugwa si bure
 
Binti yangu assadsyria3 ,leo ungekuwa ajabu la dunia kama usingemtaja Mbowe. Tumaini Makene nitafutie appointment na Mbowe nikaongee naye kuhusu huyu binti.

Mzee Tupatupa

Mkuu @Vuta- Nkuvute, Mzee Tupatupa

Watu kama hawa mliowapatia ruksa ya kuja kuwatetea mitandoani huku ndiyo wanakigharimu chama chenu na sasa kimepoteza kabisa uhalali wa kisiasa kuendelea kuwepo madarakani.

Mtu kama huyu ambaye ameshindwa hata kuona hofu aliyoisema Mwenyekiti wa CCM kuhusu ukweli kwamba chama hicho kina uwezo mdogo mno wa kushinda uchaguzi wa mwaka huu, anastahili kurudishwa shuleni kufundishwa siasa.

Vuta-Nkuvute

Siku hizi hatuhitaji Kazi kubwa kujua CCM inavyoyumba. Ukisoma bandiko la mtu Kama huyu unaiona dhahiri hofu ya anguko la chama tawala mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA ukiiandalia kwa jicho la kawaida huwezi kuhisi ama kuona ninachotaka kukupatia ila kwa ukiingalia kifalsafa utagundua.

Ili chama kisimame imara mfano kule marekani au wingereza sio national level bali at grassroot level. sasa chadema kunako grassroot hawana viongozi mpaka ngazi ya mtaa. distribution mpaka ngazi ya mtaa haizidi 30% nchi nzima. obama alishinda marekani kwakuwa alijikita kwenye grassroot na sio national level.
chadema kilipata baadhi ya wabunge either kwa kuchukua makapi ya ccm au walionyimwa nafasi ccm baada ya kushinda kura za maoni. chama kinachoweza chukua dola lazima kiandae wagombea wake yenyewe.

mfano mzuri ni serikali za mitaa viongozi wengi wa chadema waliwekewa pingamizi wengine wakiwa hata kusoma hawajui,wengine viongozi wao wameshindwa hata kujua ni muhuri upi utatumika binafsi au wa chama ikaiishia kuwekewa pingamizi nakuanza kulalamika. sheria husema kutojua sheria haimaanishi huna kosa.

chadema inajengwa na uongozi uliopo taifani kwa kiasi kikubwa lakini ukienda chini hakuna kitu.
mfano mzuri mimi nipo hapa DAR MTAA WETU hakuna ofisi ya chadema wala hata kiongozi wake wakati ccm kwa mfano wametapakaa kila kona.
chadema inaundwa na jeshi la watu kama mbowe,padri slaa nk lakini not instituonalised.

Chadema imejikita zaidi kwenye kutoa elimu ya uraia na self awereness. Mtoa mada cdm sio kama chama cha majangiri kinachowekeza kwenye ufirauni wa kuuza rasilimari za nchi. Bora kuwa na watu wenye maono ya ujenzi wa taifa kuliko kujenga ofisi. Long live CDm!
 
Back
Top Bottom