CHADEMA ni chama cha PROPAGANDA

....haya nenda chooni ukajisaidie
Hata Gaddafi wa Libya alikuwa na akili kama hizi zako na maneno ya kejeli kama haya yako! Lakini je, leo yuko wapi?

Ghadafi alikuwa ana akili kama za CHADEMA. Propaganda kwa CHADEMA ni mwelekeo wa udikteta.

Mkuu mimi naona kama unalinganisha basi ccm ndiyo kama Gadaffi maana people's power ndiyo inamwondoa madarakani. Au umeamua kuongea kinyume
 
huu mlolongo wa habari za huyu Zawadi ulianza kwa maneno yanayokaribia busara kisha kufuata maneno ambayo hata CCM hayakubaliki. ishara njema ya kujenga hoja ni kutokumia nguvu na ishara nzuri ya nguvu ni kuzionyesha. Zawadi umeanza vema ila ubabe viachie vyombo vya dola ndo kazi yake, wewe jenga hoja tu ikubalike. chonga maneno weka vionjo tamka yanayouzika lakini kwa hili bado sana hujafika popote.
 
kUINGIA iKULU KWA SILAHA YA PROPAGANDA, si rahisi hivyo, lakini kupata UBUNGE kwa kutrumia PROPAGANDA inawezekana. Tatizo ni kwamba Tanzania ni nchi yenye wakazi wapatao 40 milioni, ikiwa zaidi ya 65% wanaishi vijijini ambako CHADEMA bado hawajawafikia. Isitoshe PROPAGANDA YA CHADEMA imetawala sana katika Magazeti, Redio, TV na mtandao (internet), vyombo ambavyo bado havijaenea vijijini. Hata kama vingeenea bado CHADEMA wangepata taabu sana kueneza propaganda huko kwani watu wa vijijini wameshazoea kuwaona watu wa mjini kama wa kiswahili mrefu kisicho na matunda. Na hivyo ndivyo zilivyopropaganda za CHADEMA.

CHADEMA ikishindwa maana yake uchaguzi si Halali, uhalali wa uchaguzi uko pale tu ambapo CHADEMA ITASHINDA, JE hiyo ndio demokrasia au udikiteta? Hawa wako tayari kutumia kila mbinu, toka silaha baridi mpaka za moto, kuwasukumia wanchama wao kwenye moto, kukimbia ujerumani kwenda kulalamika na kuomba pesa za uchaguzi n.k. Haya yote wanayafanya ili waingie ikulu hata kwa faulo.

Julius Mtatiro alishawagundua CHADEMA, NA kukiita CHADEMA kama chama cha propaganda hasa katika uchaguzi wa Igunga. Mazingira waliyoyaonyesha huku n i kama yaleyale ya uchaguzi mkuu wa 2010 pale ambapo wakatangaza kutoa Elimu bure kwa wananchi wote wakati hata Ugiriki kwenyewe wameambiwa na EU kuvunja baadhi ya shule ili kuziacha zile tu wanazoweza kuzimudu. Sasa wewe Slaa una sema nini? Propaganda haiwezi kuiokoa Tanzania toka katika janga la Umasikini. Mama Sirleafs rAIS WA lIBERIA amekabiliwa na upinzani mkubwa sana kwani aliwaahidi wananchi mengi ambapo hajatekeleza hata moja. Amekabiliwa na upinzani mkubwa na hawezi ku survuive kwani uongo wake umefika mwisho.

Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kuwa mh Slaa au CHADEMA HAINGII Ikulu katika uhai wangu, maana chama hiki ni sumu ya maendeleo ya Taifa letu.

Duh Thread nyingine unaweza sema mtu anaota ndoto za kutembea; kaamka, kawasha kompyuta na kupost thread. Wewe ni nani mwenye uwezo wa kuzuia matakwa ya wananchi hao 40m uliowasema. Je kama wananchi wakisema haya tunaitaka CDM, wewe ni Tume ya uchaguzi utachakachua?, wewe ni mkuu wa majeshi utakaa kuongozwa na CDM, wewe ni IGP utatumia vijana wako kuvuruga amani kwa kuwapiga wafuasi wa CDM, wewe ni Rais aliyepo madaraka uta-abuse Power yako kwa kukataa kuwakabidhi nchi CDM kama Gbagbo?, wewe ni nani hasa unayeweza kusimama against will of the people?

Katika nchi za demokrasia None is 100% sure that atachaguliwa kuongoza kwani hata wananchi mmoja mmoja hawajui nani atachaguliwa zaidi ya kujua nani watamchagua as individuals. Maana matokeo ya mwisho yanatokana na wengi zaidi kufiria kwa pamoja independently kuwa fulani ndiyo awaongoze.
 
DUUU! Kweli Akili ni nywele hata Zawadi unazako. Juzi tu mmevunja kitengo Cha Propaganda, Leo unakuja na maada ya Propaganda. Tumemepunzika kidogo na pumba za Tambwe Hiza, mara unatokea wewe.
 
Kati ya chadema na wewe nani mwenye propaganda zaidi?,ww ndo umeandika propaganda za CCM hapa,rais wako alitoa ahadi za kufa mtu 2010 ili aingie ikulu lakini hadi sasa hivi uchumi wetu unazidi kudolola,au hali hii ya uchumi wetu ww umeridhika nayo??nenda kajipange
 
hapo umeonyesha upeo wako wa kufikiri jinsi ulivyo finyu,
kwani wewe ni nani mpaka Dr. Slaa asiingie Ikulu?
utaipigia kura CCM peke yko ili ishinde? ahadi alizotoa msanii wako JK 600 ametimiza ipi? au ndio kwenda kupiga picha na 50 Cents wakati huku raia wake wanakufa na matatizo lukuki..
 
Hivi wewe Zawadi unafahamu unachoondika? Aidha unatumia dictionary ambazo watu wote tunatumia? Unajua maana ya neno PROPAGANDA? Please tell me on politicla party under this sun which don't have kitengo cha propaganda? including your party CCM? Hivi unajua huyo (Nape) anayekulipa kutoa upupu hapa jamvini cheo chake ni kipi CCM? I hope kama ana akili timamu leo atakufukuza kazi this is beyond comprehesion. FYI Nape ndiyo PROPANGADIST wa CCM. BTW, hivi wewe unajua dunia inavyokwenda au unaropoka tu. Wewe ni nani kumkandia Bi Ellen Johson Sirleaf. You dude must be brainless. Ni Juzi tu Bi Ellen Johson amepewa tuzo ya NOBLE PEACE PRIZE, tuzo ambayo hakuna hata Mtanzania mmoja amewahi kuipata tangu dunia hii iumbwe? Leo wewe kikaragosi unajiona una akili zaidi kuliko hao wanaotoa noble prize?! Please tel me Charles Taylor na Ellen Johson wewe kwa mawazo yako finyi unafikiri nani anasitahili noble peace prize? Kama kweli wewe ni Zawadi basi Mungu amekuzawadia ZAWADI ya ujinga. I rest my case.
 
kUINGIA iKULU KWA SILAHA YA PROPAGANDA, si rahisi hivyo, lakini kupata UBUNGE kwa kutrumia PROPAGANDA inawezekana. Tatizo ni kwamba Tanzania ni nchi yenye wakazi wapatao 40 milioni, ikiwa zaidi ya 65% wanaishi vijijini ambako CHADEMA bado hawajawafikia. Isitoshe PROPAGANDA YA CHADEMA imetawala sana katika Magazeti, Redio, TV na mtandao (internet), vyombo ambavyo bado havijaenea vijijini. Hata kama vingeenea bado CHADEMA wangepata taabu sana kueneza propaganda huko kwani watu wa vijijini wameshazoea kuwaona watu wa mjini kama wa kiswahili mrefu kisicho na matunda. Na hivyo ndivyo zilivyopropaganda za CHADEMA.

CHADEMA ikishindwa maana yake uchaguzi si Halali, uhalali wa uchaguzi uko pale tu ambapo CHADEMA ITASHINDA, JE hiyo ndio demokrasia au udikiteta? Hawa wako tayari kutumia kila mbinu, toka silaha baridi mpaka za moto, kuwasukumia wanchama wao kwenye moto, kukimbia ujerumani kwenda kulalamika na kuomba pesa za uchaguzi n.k. Haya yote wanayafanya ili waingie ikulu hata kwa faulo.

Julius Mtatiro alishawagundua CHADEMA, NA kukiita CHADEMA kama chama cha propaganda hasa katika uchaguzi wa Igunga. Mazingira waliyoyaonyesha huku n i kama yaleyale ya uchaguzi mkuu wa 2010 pale ambapo wakatangaza kutoa Elimu bure kwa wananchi wote wakati hata Ugiriki kwenyewe wameambiwa na EU kuvunja baadhi ya shule ili kuziacha zile tu wanazoweza kuzimudu. Sasa wewe Slaa una sema nini? Propaganda haiwezi kuiokoa Tanzania toka katika janga la Umasikini. Mama Sirleafs rAIS WA lIBERIA amekabiliwa na upinzani mkubwa sana kwani aliwaahidi wananchi mengi ambapo hajatekeleza hata moja. Amekabiliwa na upinzani mkubwa na hawezi ku survuive kwani uongo wake umefika mwisho.

Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kuwa mh Slaa au CHADEMA HAINGII Ikulu katika uhai wangu, maana chama hiki ni sumu ya maendeleo ya Taifa letu.

Kwanza kabisa wewe hujui unachokiongea na pia naamini kabisa unaongea usicho kiamini.

Napenda kukufahamisha kwamba wakazi wa vijijini ndio wanaofunguka akili kwa kasi sana na hiyo maana yake mtaji mkubwa sana wa ccm ambao ni uelewa finyu wa wakazi wa vijijini na wengi waishio Dar unaanza kutoweka. kwa rasilimali zilizopo nchini kwetu huwezi kutulinganisha na ugiriki, Tanzania ni Tajiri sana ina kila kitu unachoweza kufikria ila tatizo ni ubinafsi wa hao unaowaabudu.

Angalia alichoweza kufanya Rais Mteule wa Zambia, amerudisha mali mikononi mwa Serikali kitu ambacho mtawala wa sasa wa tanzania anaogopa!, nchi hii inaibiwa tena mchana kweupee na ccm/kikwete wanaangalia tu!.

Labda kama wewe huijui Tanzania ila kama unaifahamu vizuri utakubaliana na Dr Slaa kwamba elimu Bure, Tiba bora kwa gharama nafuu inawezekana kwa watanzania ila kwa kuwa wewe umelelewa katika kuwashabikia mafisadi waliojilimbikizia mabilioni ya Shilingi za kitanzania na kusababisha hali mbaya ya maisha ndio unaona haiwezekani. Ndugu yangu kaa ukijua kuna wazungu wengi sana wanaingia hapa kwetu Tanzania wakiwa masikini wa kutupwa na wanarudi kwao wakiwa Matajiri wa kukufuru, pesa wanaipata hapa hapa Tanzania kwa ujanja ujanja tu.

Ndugu yangu funguka akili tazama kwa macho na uone jinsi utajiri wa Nchi hii unavyotapanywa na wachache. ukitaka nchii hii iendelee ni lazima ccm itoke madarakani.
 
Tambwe Hiza ni Naibu Mkurugenzi wa Kitengo cha Propaganda cha CCM. Sasa kama propaganda ni mbaya, kwa nini CCM waanzishe kitengo cha propaganda, then waajiri mkurugenzi na naibu wake hapo? Zawadi Ngoda naye ..!
 
Duniani kuna mambo kweli. Huyu naye ni nani na anaongelea nini?? Huna hata aibu. Maendeleo gani hayo unayosemea. Unataka kusema wewe na chama chako cha magamba mna maendeleo na taifa hili? Usinichekeshe, tena kichekesho cha masikitiko chenye machozi tele kwa ajili ya taifa hili. Wewe na wenzako wenye mawazo mgando kama hayo ndio mnaoipeleka nchi hii shimoni.

Hebu haya machache tu:

EPA, KAGODA, MEREMETA, MGAO WA UMEME, KUPORWA KWA MADINI MAENEO YOTE YA NCHI HII, KIWIRA, UCHUMI KUPOROMOKA KWA MGAO WA UMEME, UBINAFSISHAJI USIO NA TIJA, KULINDANA.

UMASKINI ULIOKITHIRI, UTAJIRI ULIOKITHIRI MIONGONI MWA WATAWALA KWA KUPORA MALI ZA NCHI HII KWA KUSHIRIKIANA NA WANAOITWA WAWEKEZAJI, MIKATABA MIBOVU YA KUIANGAMIZA NCHI (TANESCO, TRL, KWENYE MADINI, ARDHI (MIAKA 99 KWA WAGENI???)

IPTL, DOWANS, KAMPUNI YA AKINA KARAMAGI YA MAKONTENA BANDARINI ILIYOONGEZEWA MKATABA KIFISADI WAKATI MKATABA WA AWALI HAUJAISHA, NA MENGINE LUKUKI. Hayo ndiyo mnayojivunia na chama chenu cha magamba?

Iwe iweje nchi hii inatakiwa mabadiliko. Wewe kaa na usingizi wako wa pono na masaburi yako.
 
Hivi wewe mbona unachanganya mambo? Unaelewa maana ya neno propaganda au unajisemea tu? Nakushauri uuende shule ukajifunze maana ya neno propaganda. Hivi propaganda za CDM ni zipi?

Kuwaelimisha wananchi ili wajue haki zao na kuzidai ni propaganda? Kupanda kwa maisha ni propaganda? Kupanda kwa bei ya sukari na nafaka ni propaganda?

Janga la mgao wa umeme ambao unaikosesha serikali mapato ni propaganda?Kuwepo kwa serikali legelege inayoshindwa kudhibiti mfumko wa bei ni propaganda? Kuwepo kwa rushwa iliyokithiri nchini ni propaganda? Kwa kweli wewe una macho ila huoni. Au umelishwa limbwata na CCM.
 
Huyu kaamkia supu ya Utumbo baada ya kumaliza kunywa akaanza kuandika utumbo .Hawa ndiyo viongozi wa CCM wanao amini kwamba vijijini wana raha sana zaidi ya mjini .Hajui kwamba wa mjini ndiyo wanao watunza wa vijijini na sasa wao wakianza kuamka basi na kijijini kunabadilika .Mwache aote mchana kweupeeeeeeeeee.Masaburi bwana
 
Ukiyastaajabu ya Musa hujayaona ya firauni.
Hivi ni kweli CCM hakuna hata mmoja mwenye akili timamu awaandikie humu JF???
 
Hilo la kujiapiza kuhakikisha kuwa mh SLAA au CHADEMA haiingii Ikulu katika uhai wako nakuachia wewe
na Mwenyezi Mungu, sababu ukizingatia hapa JF hatujuani kwa sura nachelea usije ukawa mwana wa ujinini,
au hata ni malaika kutoka Mbinguni, lakini kwa hayo mengine ninalakuongea kidogo.

Kwanza, Sio lazima DR SLAA wala CHADEMA waingie ikulu,labda nikuhakikishie kwamba, hata hizi harakati
unazoziona zimetapakaa nchi nzima, kama CCM itajirudi na kuanza kujishughulisha na mambo ya wananchi
hakika nakuambia hautazisikia, Hata Jakaya akijitia nguvu na kuanza ama kutimiza ahadi zake au angalau
kutatua matatizo yaliyojitokeza baada ya yeye kuingia ikulu mapenzi waliyokuwa nayo watanzania kwake
mwaka 2005 yatajirudia maradufu.

Sijakuelewa umelibebesha neno propaganda maana gani, lakini kwa namna ulivyolitumia na kwa namna
ninavyowafahamu CHADEMA, inaonekana unamaanisha kwamba

1. kuisukuma serikali kupambana na rushwa
na ufisadi ni propaganda,

2. kuwasukuma wananchi kuhakikisha kwamba mabaraza yao ya madiwani yanazisimamia
halmashauri katika usimamiaji wa rasilimali zao ni propaganda,

3. Kuisukuma serikali kuendesha mchakato wa kutengeneza katika mpya ni propaganda

4. kuwasukuma wananchi kusimamia michakato ya uchaguzi wa viongozi wao kwa uwezo
wao wote ni propaganda.

5. kuisukuma serikali kusimamia uchumi imara wa taifa letu (control the inflation, create jobs etc)
ni propaganda.

6. Kuishikinisha serikali kuboresha miuondombinu ya kiuchumi ni propaganda.

7. kuishinikiza serikali kuboresha huduma za afya, elimu, ulinzi, sheria nk ni propaganda.

8. n.k

Well, bahati nzuri umesema wanaweza kupata wagunge kwa propaganda, lakini kama pia
ni hizi propaganda ndio zinakufanya kututambia kwamba wewe unajua utakufa lini na
utahakikisha kabla kifo hakijakuchukua DR SLAA wala CHADEMA hawataingia Ikulu najihisi
kujibishana na kiumbe kutoka ujinini.

Kwa kifupi ni kwamba kwa Propaganda hizi, hata SAU au DP, achana kabisa na CHADEMA,
wakizisimamia ipasavyo, of course, kama waavyofanya CHADEMA bado CCM will have gone
by 2015.

Thanks kwa kutambua kwamba CCM is fading away, Na kwamba wewe unaumizwa
na ukweli kwamba CHADEMA is replacing them na DR SLAA suceeding Kikwete. Kama CCM
haitazishughulikia propaganda hizi kama bado utakuwapo,2015 utakufa na kijiba cha roho yako.
 
KUINGIA iKULU KWA SILAHA YA PROPAGANDA, si rahisi hivyo, lakini kupata UBUNGE kwa kutrumia PROPAGANDA inawezekana. Tatizo ni kwamba Tanzania ni nchi yenye wakazi wapatao 40 milioni, ikiwa zaidi ya 65% wanaishi vijijini ambako CHADEMA bado hawajawafikia.

Isitoshe PROPAGANDA YA CHADEMA imetawala sana katika Magazeti, Redio, TV na mtandao (internet), vyombo ambavyo bado havijaenea vijijini. Hata kama vingeenea bado CHADEMA wangepata taabu sana kueneza propaganda huko kwani watu wa vijijini wameshazoea kuwaona watu wa mjini kama wa kiswahili mrefu kisicho na matunda. Na hivyo ndivyo zilivyopropaganda za CHADEMA.

CHADEMA ikishindwa maana yake uchaguzi si Halali, uhalali wa uchaguzi uko pale tu ambapo CHADEMA ITASHINDA, JE hiyo ndio demokrasia au udikiteta? Hawa wako tayari kutumia kila mbinu, toka silaha baridi mpaka za moto, kuwasukumia wanchama wao kwenye moto, kukimbia ujerumani kwenda kulalamika na kuomba pesa za uchaguzi n.k. Haya yote wanayafanya ili waingie ikulu hata kwa faulo.

Julius Mtatiro alishawagundua CHADEMA, NA kukiita CHADEMA kama chama cha propaganda hasa katika uchaguzi wa Igunga. Mazingira waliyoyaonyesha huku n i kama yaleyale ya uchaguzi mkuu wa 2010 pale ambapo wakatangaza kutoa Elimu bure kwa wananchi wote wakati hata Ugiriki kwenyewe wameambiwa na EU kuvunja baadhi ya shule ili kuziacha zile tu wanazoweza kuzimudu.

Sasa wewe Slaa una sema nini? Propaganda haiwezi kuiokoa Tanzania toka katika janga la Umasikini. Mama Sirleafs rAIS WA lIBERIA amekabiliwa na upinzani mkubwa sana kwani aliwaahidi wananchi mengi ambapo hajatekeleza hata moja. Amekabiliwa na upinzani mkubwa na hawezi ku survuive kwani uongo wake umefika mwisho.

Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kuwa mh Slaa au CHADEMA HAINGII Ikulu katika uhai wangu, maana chama hiki ni sumu ya maendeleo ya Taifa letu.

Habari za Freetown/Monrovia mkuu?????, nadhani si baridi kama NY hahaha ahahahaha ahahah!!!!! Tabu ya vijana wa JK ni kwamba wakipewa madaraka huwa ni favor ya aina flani maana hata wao huwa hawaamini kama wanastahili. Mtu anaondoka kazi ya serikali lakini bado anaendeleza bootlicking!!!!!!!!!! Hahahaha ahahaha ahahahaha!!!!!!
 
Wazazi wake wamemtoa zawadi kwa ccm,kwa hiyo akili ni kama mzukule hafikiri hata akilishwa kama nguruwe hawezi kwa sababu ndiyo haki yake kama msukule kwa hiyo hana makosa kwasababu akili yake hafikiri.
 
Back
Top Bottom