TOWNSEND
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,598
- 460
Nini kimekuwasha mpaka ukaleta hii mada umetumia records gani kusema cdm ni propaganda ,,,magamba kubw jk alisema sio chama ni wanaharakati ,kelele za mlango hazimnyimu usingizi mwenye nyumba leo yupo kimya ananza kuchezo mchezo mbaya uchaguzi igunga lakini cdm imeongeza idadi ya kura ,,,,kwa taarifa pitia matokeo ya uchaguzi kwenye tuvuti ya nec uone mafanikio ya cdm toka ilpoanza na kila chaguzi ,,,kura za ccm na cuf zinavyoshuka