CHADEMA ni chama cha PROPAGANDA

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
4,367
Reaction score
2,407
KUINGIA iKULU KWA SILAHA YA PROPAGANDA, si rahisi hivyo, lakini kupata UBUNGE kwa kutrumia PROPAGANDA inawezekana. Tatizo ni kwamba Tanzania ni nchi yenye wakazi wapatao 40 milioni, ikiwa zaidi ya 65% wanaishi vijijini ambako CHADEMA bado hawajawafikia.

Isitoshe PROPAGANDA YA CHADEMA imetawala sana katika Magazeti, Redio, TV na mtandao (internet), vyombo ambavyo bado havijaenea vijijini. Hata kama vingeenea bado CHADEMA wangepata taabu sana kueneza propaganda huko kwani watu wa vijijini wameshazoea kuwaona watu wa mjini kama wa kiswahili mrefu kisicho na matunda. Na hivyo ndivyo zilivyopropaganda za CHADEMA.

CHADEMA ikishindwa maana yake uchaguzi si Halali, uhalali wa uchaguzi uko pale tu ambapo CHADEMA ITASHINDA, JE hiyo ndio demokrasia au udikiteta? Hawa wako tayari kutumia kila mbinu, toka silaha baridi mpaka za moto, kuwasukumia wanchama wao kwenye moto, kukimbia ujerumani kwenda kulalamika na kuomba pesa za uchaguzi n.k. Haya yote wanayafanya ili waingie ikulu hata kwa faulo.

Julius Mtatiro alishawagundua CHADEMA, NA kukiita CHADEMA kama chama cha propaganda hasa katika uchaguzi wa Igunga. Mazingira waliyoyaonyesha huku n i kama yaleyale ya uchaguzi mkuu wa 2010 pale ambapo wakatangaza kutoa Elimu bure kwa wananchi wote wakati hata Ugiriki kwenyewe wameambiwa na EU kuvunja baadhi ya shule ili kuziacha zile tu wanazoweza kuzimudu.

Sasa wewe Slaa una sema nini? Propaganda haiwezi kuiokoa Tanzania toka katika janga la Umasikini. Mama Sirleafs rAIS WA lIBERIA amekabiliwa na upinzani mkubwa sana kwani aliwaahidi wananchi mengi ambapo hajatekeleza hata moja. Amekabiliwa na upinzani mkubwa na hawezi ku survuive kwani uongo wake umefika mwisho.

Nitafanya kila niwezalo kuhakikisha kuwa mh Slaa au CHADEMA HAINGII Ikulu katika uhai wangu, maana chama hiki ni sumu ya maendeleo ya Taifa letu.
 
CHADEMA Should not expect wapinzani wake CCM A and CCM B wakisifie.Mtasema sana ooh,Propaganda na kadhalika lakini watu wanazidi kuwa aware na kuwachimbia magamba kaburi.Sooner no soon mtautambua ukweli waajiriwa wote wa Nape mliomo humu JF
 
Chadema wamepeleka vijana palestina, libya na afghanistan kujifunza uhalifu
 
 
 
....haya nenda chooni ukajisaidie
Hata Gaddafi wa Libya alikuwa na akili kama hizi zako na maneno ya kejeli kama haya yako! Lakini je, leo yuko wapi?
 
Kwani mtoa maada huelewi kwamba siasa ni propaganda, yaani unadanganya sana ili ukubalike? na hivyo ndivyo JK alivyodanganya watu 2010 kwa kutoa ahadi 600+..... ambazo hata akipewa 20 yrs hawezi kutekeleza.
 

Next time do not forget to tuck in your nuts! Brainless
 

Naona unaumwa tigo na akili pia wewe. Unavyoanadika inaonyesha jinsi akili yako ilivyo ndogo. No facts, no basis, just hatred
 
Kweli nimeamini wewe Zawadi ni kibarua wa NAPEna Maghamba's hivyo hizo pumba zako hazina mashiko ni upuuzi tuu, kalagabaho!!!!!!!!!!!!
 
Mtoa mada hajitambui/si mtanzania/haishi tanzania!!??
 

unafaa kuwa rappa kama 50 cent.
 
zawadi za kangara, mayai ya kuchemsha,pilau, vitafunwa n.k

vitu vyote hivi lazima uvimbiwe

enjoy your ignorance
 
Umesahau,wengine wamepelekwa Iraq,Syria,Lebanon,Somalia na Pakistan

Kama ni kweli basi wanafaa kuingia ikulu kabisa, endeleeni kuwapa promotion ya bure mkija kushutuka nchi nzima itakuwa inaimba peoples pooower!
 
Umeeleza vizuurii propaganda zako kidogo ungeweza kueleweka kuwa una point flani hv! lakini ulipofika hapo kwenye red, umeonyesha kuwa ww ni kizibo uliye fungwa na pepo linaloitwa CCM. We ni nani umzuie dr.slaa kuingia ikulu m@vi ww!
 
....haya nenda chooni ukajisaidie
Hata Gaddafi wa Libya alikuwa na akili kama hizi zako na maneno ya kejeli kama haya yako! Lakini je, leo yuko wapi?

Ghadafi alikuwa ana akili kama za CHADEMA. Propaganda kwa CHADEMA ni mwelekeo wa udikteta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…