Mafilili
Ngoma imekwisha hiyo,tutaonana Igunga,ila msichakachue
Ni wewe wasema! Tuliwachagua kwa kudhani ni watu kumbe ni viatu! Subiri uchaguzi ufanyike ndo utaelewa maana yake!Shughuli ya Arusha ni nzito, CDM hawawezi kutetea viti vyote hivyo. Madiwani walichagliwa kw anguvu ya Umma, leo wanatolewa kwa nguvu ya CDM CC.
Tutasikia nini naona umeamua kujiridhisha kwa njia hii pole sana, hiyo ndiyo imetoka kosa walilofanya ni kukataa kujiuzulu wangejiuzulu vyeo wakabaki na uanachama then wangesumbua kidogo hata mahakama ingewasikiliza lakini sasa wako nje ni sawa na samaki ana nguvu majini akitoka atafurukuta dk mbili baadae atakufa ni kama wanavyofanya hao wenzako acha wavute pumzi ya mwisho.Ngoma bado mbichi kabisa subiri utasikia mwenyewe.
Shughuli ya Arusha ni nzito, CDM hawawezi kutetea viti vyote hivyo. Madiwani walichagliwa kw anguvu ya Umma, leo wanatolewa kwa nguvu ya CDM CC.
Saharavoice,Hivi lengo la CDM ni kutetea viti?
Labda tumuombe Dr. Slaa aje humu atufafanulie, na kama lengo ni hilo am out.
Hawana jipya!Sitaki kusema jambo ambalo madiwani hao kesho watatangaza juu ya hatima ya Chadema Aarusha! Chadema kazi mnayo arusha kama mlitumia akili ya kombati kwa jambo hili mtajutiaaaaa! Subirini kesho news kutoka A town!
Arusha watu sio wajinga kama unavyo fikiri ngoja wenyewe CC CDM waje wawaeleze wananchi ni kwa nini waliamua kuwafukuza uanachama hao mafisadi! Hatuwezi kuendelea kufuga mafisadi eti kwa sababu tunaogopa CCM, hizo fedha walizopewa ndio mwisho wao!!Shughuli ya Arusha ni nzito, CDM hawawezi kutetea viti vyote hivyo. Madiwani walichagliwa kw anguvu ya Umma, leo wanatolewa kwa nguvu ya CDM CC.
Thanx!Arusha watu sio wajinga kama unavyo fikiri ngoja wenyewe CC CDM waje wawaeleze wananchi ni kwa nini waliamua kuwafukuza uanachama hao mafisadi!!!!!!!!!!! Hatuwezi kuendelea kufuga mafisadi eti kwa sababu tunaogopa CCM, hizo fedha walizopewa ndio mwisho wao!!!!!!!!!!
CDM ni corruption freezone!!!!!!!!!!
Source? au ni Garden Bar maana najua hawana platform tena.Mtafaruku wa kisiasa ndani ya CDM halmashauri ya manispaa ya ARUSHA unazidi kuendelea. Madiwani waliofukuzwa na CDM wameandaa kikao jioni ya leo mjini Arusha kwa lengo la kuwapa wananchi hali halisi kuhusiana na sakata zima la CDM hapo A town. Tunaomba kwa mwenyezi mungu, sakata la CDM liishe salama ili chama kizidi kuchanja mbuga na kushiriki vizuri mchuano wa IGUNGA wasije kupata kisingizio watapopata kipigo cha mbwa mwizi jimboni IGUNGA wasije na kisinngizio cha mtafaruku wa A town.