WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
Hali imendelea kuwa tete kwa chama cha mapinduzi c.c.m,baada ya chadema ni msingi kuendelea kuvuna wanachama zaidi ya elfu na miambili(1200) ndani ya siku mbili tu .
'ambapo chini ya kijana mpambanaji kenedy staphord m/kiti wa chadema (w), ilifanyika mikutano katika vijiji vyote vya kata ya kabanga.
"mbali na hilo alhamisi ana enda kupokea wanachama wa c.c.m mia tatu hamsini katika kijiji cha kumgamba, kata ya nyakisasa.
Ambao wamehama chama cha c.c.m baada ya kukerwa na serikali ya kijiji kuuza msitu wa kijiji chao,
wananchi hao katika barua yao wanasema kuwa walimwandikia bwana staphord kwakuwa wanaimani na chadema ni chama chenye kuwa tetea wanyonge wa nchi hii na kina uwezo wa kuchukua maamuzi magumu.
Kwani walisha mwandikia mkuu wa wilaya bwana ,costantin kanyasu lakini hakuna alicho wasaidia zaidi ya ujanja ujanja wa njoo kesho njoo kesho,
hivyo wanasema wamechoshwa na viongozi wote wa c.c.m na serikali yote kwa ujumla.
Source:0782593011 m/kiti chadema (w)