WILLAFRICA
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 4,027
- 933
- Thread starter
- #21
Mwaka huu hadi wana c.c.yeem wote wa tubu dhambi za ujangili,utekaji,ufisadi,na uuza madawa ya kulevya.
Naham sana Chadema ishinde mwaka 2015 nione hizo porojo zitaishia wapi na ahadi. Watu wanadhani kuongoza nchi ni lelemama. naomba sana ili nione nayoyafikiria
nafarijika sana kusikia habari kama hizi, vipi?, akina sebabilina na methusela Jeremiah Gachocha wanasemaje?, make huu music siyo mchezo.
namsikitika sana ndugu Hamuduni dereva wa ccm ngara karibia sasa atakosa kazi,
Angejiongeza mapema akajiunga kwenye haya mapambano. m4c mbele kwa mbele
chezea chadema wewe ccm ngara wajiandae upepo wa doctor unakuja huko. Waulize mwanza.
Saa ya ukombozi ndiyo sasa imefika kwa wana ngara wote kusema "GWAYAKA" ndani ya PEOPLE'S POWER
salamu kwa zitto.
chezea chadema wewe ccm ngara wajiandae upepo wa doctor unakuja huko. waulize mwanza.
tunamsubili sana raisi wetu wa kweli wa kuanzia 2015.
"dk.slaa"
'karibu sana ngala dk.slaa.
Atakua amekosea ni Ngara iliyoko mkoani KageraMsaada: Sidhani kama Kuna wilaya inaitwa Ngala hapa Tanzania! Au labda una maana ya Ngara iliyopo kagera ebu weka sawa hapo
kamanda
atakua amekosea ni ngara iliyoko mkoani kagera