Chadema ndani ya mji mdogo wa Katoro/Buseresere

Una uhakika na unacho kinena?

Muulize Padri Slaa atakuonyesha sponsor wote wanaomdhamini

Waumini huchanga pesa kwa njia ya zaka na sadaka kupeleka Roma siyo Roma kutoa pesa kupeleka kwa waumini, labda kuwe na maafa hapo pesa huweza kutolewa kusaidia walioathirika kwa kupitia shirika lake la misaada la Caritas. Ukiwa na mawazo ya kupewa badala ya kutoa utakufa maskini wa kutupwa.
 
Mama .

Nyie wabunge mkiwa Bungeni mnalipwa posha kila siku. Je huko anawalipa nani Posho? na vipi hao wnaowahamasisha wanalipwa na nani? au ndio kuwadanganya watu wakati nyie mpo kazini?
Kweli hafifu kichwani kwako. Fundisho kwa wengine majina yanaumba. Jamaa kajita hafifu na kweli si mnaona hazitoshi.
 
msisahau kigoma kuweka mambo sawa kwa mheshimiwa Zito na Kafulila tunataka mkoa mzima uwe kamabi ya cdm
 
inaonesha mkutano utakuwa mzuri sana kwani maandalizi mazuri yamefanyika.baadhi ya wabunge tuko hapa twiga lodge tunasubiri muda ufike.jana nako chato mambo yalikuwa mazuri sana.
hongera napend sana unavyotupa habari
 

Huyo kalishwa cocaine na al-qaeda hawezi kukuelewa hata umueleweshe vipi
 

mkuu usifikirie CCM na Chadema tu!!!!tanzania tuna vyma vilivyosajiliwa,18 na vi 5 kati ya hivyo vinafaidika na ruzuku. Sidhani km hii ni ruzuku...ebu jiulize wakati wa operation Sangara ruzuku ya CHADEMA ilikua kiasi gani?
 

sisi tulijua wametufungia mikotano yetu, duh safi sana wadau tupo pamoja.
 

Mtoto wa mkulima hana jeuri ya kufuta walichofanya CHADEMA kanda ya ziwa sana sana anaenda kuwajaza watu chuki zaidi. watu wana njaa wewe unapeleka ahadi za misosi hewa, hatari sana.
 
Chadema Silaha yao kubwa katika mikutano yao ni Uongo, uzushi na kufarakanisha watu na Serikali yao kwa nia ya kuleta machafuko makubwa nchini..

Hatuko pamoja nanyi

we unawatukana watz,ina maana hawana maamuzi yao wenyewe??wanaona hali ngumu ndo maana wanahudhuria mikutano
 
mkuu usifikirie CCM na Chadema tu!!!!tanzania tuna vyma vilivyosajiliwa,18 na vi 5 kati ya hivyo vinafaidika na ruzuku. Sidhani km hii ni ruzuku...ebu jiulize wakati wa operation Sangara ruzuku ya CHADEMA ilikua kiasi gani?

Kwa hiyo ni pesa ya mihadarati au?
 
Watakao changa Cash, TRA watawapelekea assessment ya kodi kubwa ili kuwapunguzia huo uwezo wa kuchangia CDM

Watawezaje kuwafahamu, mbona hiyo assessment hawaiwaipeleki kwa Saboko, naomba nikumbushwe jina la yule kada wa ccm aliyechangi CDM 200 m
 
tunawatakia kila la kheri, Mungu awabariki sana. msisahau kwenda na kule Tanga pia, hasa Lushoto maeneo ya Mlalo, natarajia kuwa mbunge wa jimbo la Mlalo Lushoto 2015 kupitia CDM

Mkuu ujumbe wako tumeupata..kutangaza nia mapema ni muhimu kama alivyofanya Rev Masanilo hapo siku za nyuma.
Tunaahidi kukusaida kwa hali na mali..
Ila usipotee..
 
vipi ule mpango wa mahakama ya kadhi umeishia wapi?Shehe mkuu amewasaliti?Mimi nataka ije Shariah kabisa ila iwe ya waislam tu ili nijionee ni wanani watabadili dini fasta.

Heshima kwako Marytina,

Lakini igharamiwe na waislamu si kodi zetu,
 

Ujumbe ni mzito..hao akina wasira na wote waliotumwa na mkwere wanaonekana wako out of touch kama boss wao.
Kamwe wao na kizazi chao hawawezi kuamka tena..time is out
 
Chadema Silaha yao kubwa katika mikutano yao ni Uongo, uzushi na kufarakanisha watu na Serikali yao kwa nia ya kuleta machafuko makubwa nchini..

Hatuko pamoja nanyi

Wakishaleta Machafuko Makubwa ni nani atafaidika? Fikiri kabla ya kuandika mtanzania mwenzangu!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…