We pusi kaa kimya au go back to topic, fanya JF kama research study yako kuhusu kupendwa ama kutokupendwa kwa vyama vya siasa hapa nchini, ndo utajua chama gani kinakubalika hapa nchini.................:yawn:Kumbe jf ni ya chadema???? Mmenifumbua macho. Nlikuwa sijui ati.
Kwani unataka avae soap kwanini? Au unafikiri anakuja kutafuta mademu hapo? Hyu ni kamanda siyo bishoo wa magamba.
Mkutano umeisha.
Mzumbe ni chuo cha wazembe na wengi kuanzia waalimu hadi wanafunzi labda nilitary kwa mazoezi ya ccm.ni chuo cha makada na watumishi kwa upgrading.
Mkuu mbona kila mahali unapomuona jamaa yako wa nyumbani ameshiriki kwenye shughuli za kisiasa unakuwa mbogo?
Kweli mzumbe ni chuo kikuu kisichokuwa na migogoro mingi compared to Udsm ama Udom lakini kuwa chuo cha makada na watumishi kuji upgrade utakuwa hujafanya research yako sawasawa.
Alitaka kusema au alimaanisha representer yaani mwakilishi lakini si unajua hizi ni lugha za watu na sisi tunajifunza tu?JF presenter? Una maana gani mkuu?