makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Kama ni mila za kiafrika kabla ya ukoloni tulikuwa tunaziba sehemu chache za mwili,kama unabisha nenda kwa wahadzabe.Yananihusu kwa sababu huyu Mwanamke anamhusu Slaa, na Slaa ananihusu mimi kama mpiga kura.
Huyu jimama alim cost Slaa hundreds of thousands of votes kufuatia kashfa ya kesi ya ugoni na ngono katikati ya kampeni.
Sasa anatembea na vi skin tight kwenye grass root campaigns za chama vijijini kwenye mizizi ya mila za Kiafrika zinazochefuliwa na mavazi yanayoonyesha nyuchi za nyuma na mbele. A devastating impact on the image of Dr. Slaa's values and his wayward sex partner.
Wakuu, Habari!!!
Yale Maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa yanatarajiwa kuhitimishwa leo kwa maandamano makubwa na ya aina yake Bukoba Mjini. Maandamano hayo yanatarajiwa kuanza saa 7 mchana.Maandalizi yameshakamilika na msafara wa Vikosi Kazi ndio unajiandaa kutoka Kahama vilipotia nanga kuelekea Bukoba. Kazi kamili itahitimishwa kesho kwa kufanya mikutano ya hadhara kwenye Wilaya za Mkoa wa Kagera. Baada ya hapo Vikosi vitarudi Dar es salam kwa maandalizi ya Kanda nyingine baada ya Bunge la Aprili. Habari ya matukio baadaye kazi ikianza.
Kutoka Kahama
Regia E Mtema
Waziri Kivuli- Kazi na Ajira.
=================
KATIKA PICHA
Hapa ni Kemondo
daima big up dada yetu hata sisi tulio nje ya nchi tunapata taarifa za uhakika mara zote toka kwako - edmonton canada
=================
KATIKA PICHA
na pia hivi vitu vina hitaji rasilimali fedha,watu na logistics ambayo nayo inahitaji fedha ,kwahiyo let give them space to complete there strategic plans ndugu.
wadau, msikatishwe tamaa na utaratibu uliopo...niwape imani kuu kuwa sehemu ambazo maandamano yamepita, hakuna atakayerudi nyuma tena, kama kutakuwa na mabadiliko, basi ujue ni positive changes(yaani hapo utasikia ..tawi zima la ccm labadilika na kuwa la cdm...et al)...
Lakini pia mjue kilichofanyika kwa muda huu mfupi ni kikubwa sana,..tusisahau pia kuwa jopo hili zima lilikuwa kwenye kazi kama hiyo just three months ago, hivyo kuna hali ya kuchoka na kuhitaji mapumziko kidogo...
Lakini pia na tujue kuwa maandamano haya yanatakiwa yaende nchi nzima, na ukifanya harakaharaka unaweza kukuta byjust end of the year umeshamaliza mikoa yoote, na huna la kufanya tena, hivyo inatakiwa kwenda kwa step iliyopimwa...!
Lakini pia kuna wajibu za kiofisi za wabunge, katibu mkuu, mwenyekiti wa chama, na wengineo wote wanaozunguka sasa, na kazi hizo ni lazima zifanyike, hivyo concentration ikiwa kwenye maandamano tu kuna hatari ya kupoteza channel'''
nadhani tupongeze kazi iliyofanywa, maana kwa mtu yeyote mwenye fikra za kidemokrasia kichwani, uwakilishi wa mikoa iliyopitiwa umetuingia barabara mioyoni!
Wakuu, Habari!!!
Yale Maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa yanatarajiwa kuhitimishwa leo kwa maandamano makubwa na ya aina yake Bukoba Mjini. Maandamano hayo yanatarajiwa kuanza saa 7 mchana.Maandalizi yameshakamilika na msafara wa Vikosi Kazi ndio unajiandaa kutoka Kahama vilipotia nanga kuelekea Bukoba. Kazi kamili itahitimishwa kesho kwa kufanya mikutano ya hadhara kwenye Wilaya za Mkoa wa Kagera. Baada ya hapo Vikosi vitarudi Dar es salam kwa maandalizi ya Kanda nyingine baada ya Bunge la Aprili. Habari ya matukio baadaye kazi ikianza.
Kutoka Kahama
Regia E Mtema
Waziri Kivuli- Kazi na Ajira.
=================
KATIKA PICHA
Hapa ni Kemondo
Hapa ni Rwamishenye
safi sana.leo tunashambilia wilaya za mkoa huu na hivi sasa vikosi kazi ndio vinaondoka kuelekea kwenye maeneno husika.dr slaa atakuwa nkenge wakati mbowe atakuwa biharamulo.wengine watakuwa chato,karagwe na muleba.
Aluta continua.
Leo tunashambilia wilaya za mkoa huu na hivi sasa vikosi kazi ndio vinaondoka kuelekea kwenye maeneno husika.Dr Slaa atakuwa Nkenge wakati Mbowe atakuwa Biharamulo.Wengine watakuwa Chato,Karagwe na Muleba.
Aluta Continua.
amani ya k*i*s*e*n*g*e anaitaka nani?
kikwete lazima ang'oke kwa maana dhambi alizotenda nchi hii ni kosa sawa na kosa la uhaini dhidi ya serikali yake mwenyewe.
nchi kama china RA na AL wangekuwa wamenyongwa.
lakini jk na genge lake wanamuandaa AL kuwa Rais.
this is purely ridiculous
Mkuu hapo umekosea kabisa! kwanza unamjua Gurudumu? Huyu ni mpiganaji na mpambanaji wa CDM dhidi ya mafisadi CCM.wewe ndugu yangu nahisi ni zero brain,
yani CDM umeona wanapoteza hela, lakini chama chako matanuzi(CCM) wanapoteza mabilioni kwa ufisadi na starehe, kwako ni poa tu.
sasa hivi Jk yuko paris anabembea, hayo huoji.
CDM wanazunguka mikoani kutoa somo la elimu wa uraia, we unaona wanapoteza hela...kweli we mpuuzi