CHADEMA nawapa angalizo: Msivurugane kwa safu ya uongozi uliopo, mtajuta!

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,773
74,824
Hii ni "fragile" period kwa vile kuna chaguzi zijazo. Maadui wenu wanasubiri mvurugane kwenye chaguzi za ndani and surely will take advantage of this kupita kirahisi chaguzi zijazo. Postpone chaguzi hizo , zifanyike baada ya chaguzi za taifa zijazo.

CHAGUZI KATIKA VYAMA VYOTE DUNIANI ZINALETAGA MITAFARUKU KATIKA VYAMA VYOVYOTE DUNIANI, HATA KWENYE DINI WANAKOCHAGUANA KUPATA SAY MAASKOFU.

Kama mliongea mwaka mzima na CCM at the end of the day wakawatolea nje , tena kwa kebehi na dharau, leo wawaache salama katika fragile period kama hii, NEVER!

Erythrocyte
 
Kabisa, CHADEMA ndio inaogopwa na wale wahuni wanaojinasibu kama chama cha mapinduzi. Hakuna siku wanaiogopa kama siku CDM ikishinda urais. Mbowe maliza mbio zako usiyumbishwe na kelele za kustaafu nafasi yako, nenda mpaka mwisho. Wale wote wanaoivuruga CDM waachwe nje twende mbele!

Unapoteza muda kutoa ushauri kwa mke ambaye usiku anaenda kulala bila nguo na mumewe
 
Kama Vita ya Sugu na mchungaji Msigwa inakigawa Chama ujue itakapofika kwa Ayatollah Mtuhuru na Jasiri TAL Chama kitapasuka Katikati kama Ikweta 🐼
 
Hii ni "fragile" period kwa vile kuna chaguzi zijazo. Maadui wenu wanasubiri mvurugane kwenye chaguzi za ndani and surely will take advantage of this kupita kirahisi chaguzi zijazo. Postpone chaguzi hizo , zifanyike baada ya chaguzi za taifa zijazo.

CHAGUZI KATIKA VYAMA VYOTE DUNIANI ZINALETAGA MITAFARUKU KATIKA VYAMA VYOVYOTE DUNIANI, HATA KWENYE DINI WANAKOCHAGUANA KUPATA SAY MAASKOFU.

Kama mliongea mwaka mzima na CCM at the end of the day wakawatolea nje , tena kwa kebehi na dharau, leo wawaache salama katika fragile period kama hii, NEVER!

Erythrocyte
wasivurugane mara ngap? 🐒

na mtifuano wa maana motoni unachemka na kitokota jikoni vizuri sana, anasubiriwa wa kubreak the lini tu, varangati zito na la kutisha lilipuke bainia ya Team Puppets na Team Patriots, viongozi wao mnawajua 🐒
 
Kwakua ni dhahiri serikali mseto ndio mpangokazi uliopo!!

Sasa wale wanataka wapate wabunge na viongozi ndani ya chadema Ili owe rahis ku push ajenda zao za upigaji na ufisadi kirahisi!!

Ndio maana Lisu kashtukia mchezo wao!!

Mbowe yeye ni uvuguvugu linapokuja swala la Dola na maslahi!

Ngoja tuone!
 
Kabisa, CHADEMA ndio inaogopwa na wale wahuni wanaojinasibu kama chama cha mapinduzi. Hakuna siku wanaiogopa kama siku CDM ikishinda urais. Mbowe maliza mbio zako usiyumbishwe na kelele za kustaafu nafasi yako, nenda mpaka mwisho. Wale wote wanaoivuruga CDM waachwe nje twende mbele!
waachwe nje twende mbele! exctly TWENDE MBELE, MBOWE IS HERE TO STAY
 
Pipoooz Chawa..
iT IS NOT A MATTER OF uCHAWA, THIS IS A REAL SITUATION. KAMA KUNGELIKUWA NA KATIBA AMBAYO HAITAMFANYA RAIS KUWA MUNGU, NINGELIKUWA NA MTAZAMO TOFAUTI NA HUU. CECIL MWAMBE ALIPANDIKIZWA KWENYE UCHAGUZI, UNADHANI WAMEACH HILO, MBOWE KAZA MWENDO
 
Kama wanajiita chama cha demokrasia inabidi waonyeshe kwa vitendo hiyo demokrasia
You are very corrrect1 But under what environment? Kwa Samia ambaye ni Mungu? Hapana, some aspects of demokrasia have to be exempted kumbabiri Samia na Katiba inayompa U-=Mungu! Tukipata katiba mpya , ambapo say Msajiri wa Vyama vya siasa atakuwa huru, Mahakama itakuwa huru, polisi watakuwa huru...etc etc etc .Mbowe nitapendekeza kwa nguvu zote apumzike. Kwa sasa ngoja kidogo awepo Erythrocyte
 
Back
Top Bottom