CHADEMA naomba ufafanuzi

Nilijua mada imeletwa na mtu mwenye akili kumbe ni wewe kilaza Nduka
 
Last edited by a moderator:
alex,
mapambano haya yanainufaisha zaidi ccm kuliko cdm, nadhani unakumbuka mara kadhaa bungeni wapinzani wa nccr na cuf wameiunga mkono ccm ili tu kuikomoa cdm, hii nadhani si nzuri sio kwa cdm tu bali hata kwa demokrasia.

nafikiri lengo lao la kuungana halikuwa kuikomoa cdm bali nia yao walikuwa wanataka wawe na kambi yao rasmi ya upinzani, kitu kingine wewe unafikiri kwanini waliamua kuungana na ccm mi nafikiri walifanya vile baada ya kuona kuwa sera zao na za ccm zinaendana au waliona wakiwa ccm watakuwa salama zaidi kuliko wakiwa cdm, mi nafikiri demokrasia ya kweli ni ile inayojali utu na usawa maana kama ccm wameshindwa kujali utu na usawa lakini bado vyama vingine vya upinzani vinawaunga mkono nafikiri na vyenyewe vitashindwa kujali utu na usawa kama swahiba wao
 
Hichi kitu kimewapa ccm nguvu sana.Manake cdm wanapowashambulia nccr au cuf unawafanya wapate hasira dhidi ya chadema na hivyo kwenda kuwaunga mkono ccm kwa nia ya kulipiza kisasi.Kwa hiyo cdm inabidi wafikirie sera hizi za kushambuliana
 
Mi naomba niwaulize swali wana cdm,hv kwenye ule mchakato wenu wa kupiga kura ya kutokua na imani na waziri mkuu ni nyinyi peke yenu mliosaini paper ile?mbona kwenye ishu sensitive mnawaona kuwa wapinzani wenzenu,ila kwenye ubinafsi wa chama chenu mnawapachika majina sijui ccm b,ccm c na mengineyo,kwenye ilae hoja ccm,cuf(wote),TLP,CDM,NCCR walisaini na mleta hoja aliwaomba sana wafanye hivyo kama wapinzani ila leo sababu ya ubinafsi mnawatukana,safari yenu ni fupi sana wandugu.
 
Vipi wewe kipanga muuzaji wa kule jukwaa lenu kuna kitu unataka kutoka kwangu nini?


Tobaaaaaaaaaaaa........mswalie mtume we Nduka khaaa......nitake nini kwa kibaraka kama wewe unayetegemea Tsh 2000/= kwa siku toka kwa Nape?....... Kilaza bana tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
Waungwana tangu chama hiki kipate nguvu ya uungwaji mkono na ruzuku kimeanzisha mapambano ambayo kimsingi sioni kama ni muhimu kwa chama cha siasa. Natumbua lengo la chama cha siasa ni kushika dola hivyo inaeleweka zaidi kwa mapambano ya CDM kuelekezwa CCM ila hainiingii akilini pale mapambano yanapoelekezwa kwa vyama vyenzake vya upinzani. Kwa mfano CDM ipo kwenye mapambano ya kila siku na CUF na NCCR hivi mapambano haya yanalenga kupata nini? Na ni kwa nini CUF na NCCR?

Simple logic, A FRIEND OF MY ENEMY IS MY ENEMY, though siamini kama CDM inapigana na CUF na NCCR bali nnachojua ni kuwa ngoma inayopigwa na CDM, CUF na NCCR bado hawawezi kuicheza!
 
CCM-Magamba makuu
CCM B-CUF
CCM C-NCCR Manunuzi
CCM D-TBC1
CCM E-BAKWATA
CCM F-TLP
CCM G-UDP
CCM H - POLISI
CCM I - TIS
CCM J - MAHAKAMA ..............vijana mnaona mbaliiii...nimeipenda hiyoooo
 
Iramba nakubaliana na wewe kwa upande mmoja lakini sioni kama haya mapambano ni strategic maana yanapunguza focus kwenye lengo kuu lakini pia kuharibu kujenga uadui na adui wa adui yako ni kupoteza nguvu bure maana yeye alipaswa kushughulikiwa na adui yako. Hii haipunguzi gharama tu bali pia hupunguza nguvu za adui.
Kwani wewe nduka ni mgeni nchi hii? Huna habari kwamba CDM anapambana na ccm na matawi yake yote, yaani ccm na ccm c?
 
Bunge la 2005~2010 halikuwa na ubaguzi huu, hata UDP waliokuwa na mbunge mmoja walishirikishwa.

je unataarifa kuwa cuf na chadema walikuwa na makubaliano ya kushirikiana kuiondoa ccm lakini cuf chini ya katibu wao wakawasaliti wenzao, jukumu la kuikomboa mikoa ya pwani waliachiwa cuf pamoja na zanzibar ndiyo maana kuna wakati chadema walikuwa wanawanadi huko znz baada ya kusalitiwa ndiyo maana imeamua kuvuruga hata ilikokuwa imemuachia cuf..
 
Alex,
Mapambano haya yanainufaisha zaidi CCM kuliko CDM, nadhani unakumbuka mara kadhaa bungeni wapinzani wa NCCR na CUF wameiunga mkono CCM ili tu kuikomoa CDM, hii nadhani si nzuri sio kwa CDM tu bali hata kwa demokrasia.

kwa watanzania wa leo chadema inanufaika na hali hiyo kwa taarifa yako vibanda vya tv vijijini huonyesha bunge pale kunapo kuwa na wabunge wa upinzani hasa cd na kama huamini fatilia mikutano ya cdm mikoani na ya ccm mfano huko songea..
 
Back
Top Bottom