CHADEMA naomba ufafanuzi

Cuf na Nccr Nao maranyingi wametumika kuihujumu CDM lakini pia Haya ni mashindano ya kushika dola hayachagui mshindani ni nani, Cuf wametumiwa sana na ccm ona kwenye uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki, Nccr wamefungua kesi kupinga ushindi wa Ubunge wa Jimbo la Kawe, Haya Mapambano yanalenga kuongeza wanachama na washabiki wachadema ni ya msingi, CDM wako kusini ambako walisema ni ngome ya Cuf, na CDM inataka kuongoza dola haiwezi kuongoza dola kama Cuf,nccr na ccm watakua na ngome zao ni lazima zikutane na M4C ili washike DOLA
 
Back
Top Bottom