Chadema, najua mnapulia kutafuta kashfa za magufuli

Chadema, najua mnapulia kutafuta kashfa za magufuli

rallphryder

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2015
Posts
3,630
Reaction score
1,444
Kwani uteuzi huu kwa jinsi ulivyokubalika Tanzania nzima, najua mna kazi ya ziada ya kupika kashfa kwake kwa kuwa ndio kitu ambacho wapinzani wanakiishi. Kiukweli maeneo mengi nchini ambayo chadema mlidhani mnakubalika mmeona shamrashamra za watu huko maeneo mliodhani ni ngome ya upinzani kote wananchi wamemkubali Dr John Pombe Magufuli, Tunangojea muanzishe thread kibao za kukashifu maana hayo ndiyo mliyobakiza mkidhani yanaweza kuwasaidia. Go Dr go!
 
Mbona una wasiwasi? Tulia,hata JK alikubalika zaidi ya Dr. Magufuli leo yako wapi?
 
Mbona una wasiwasi? Tulia,hata JK alikubalika zaidi ya Dr. Magufuli leo yako wapi?

Mnapumulia kashfa zake tu, iwe za kijinga ama za kupikwa basi! Maana hamna jipya kwake.
 
Kilaini: Kikwete ni chaguo la Mungu
Madabida: Lowassa ni mtume Mohamed S. W
 
Kashfa za Magufuli tunazo kibao sema tukukumbushe

Hilo kwa sasa halitaisaidia chadema, mnatakiwa sasa kupanga sera za ni namna gani mnaweza kuleta maendeleo na sio kutuletea kashfa za mgombea, huko ni kufilisika ki sera.
 
Waanza wapi wakati keshokutwa EL pamoja na ring yake yote ya mafisafi wanahamia UKAWA? Hawana ujasiri wowote wa kunyooshea kidole CCM
 
Japo nawachukia magamba ila huyu ndie Dr wakweli,sio yule wakanisa!
 
mchakato bado mbichi kwenye siasa saa moja ni kubwa sana -mwandosya
 
Back
Top Bottom