CHADEMA na website yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na website yao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by simanjiro, Jan 26, 2011.

 1. s

  simanjiro Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani, katika pitapita zangu leo nikajikuta nimeitembelea website ya CHADEMA. Upekuzi wangu ukanipeleka kuingia kwenye ukurasa wa blogu za wanachama. kufungua nikakuta wameweka picha za viongozi wakuu pale na moja ya picha ni ya bwana David Kafullila ambaye bado anaonekana kuwa ni Afisa Habari na Uenezi.

  My Take:
  Imekaa vibaya hiyo kwamba miaka 2 tangu jamaa ahame chama bado kwenye website anawekwa kama kiongozi. Hii inaonesha hakuna ufuatiliaji wa mambo ya muhimu kama website ya chama ambayo tangu aondoke huyu bwana yameshabandikwa matangazo mbalimbali ya chama inakuwaje huyo anayebandika asahau kubandua hiyo sura na jina la David Kafulila?

  Je, hiyo nafasi ya Afisa Habari bado haijajazwa tu?

  Naikumbusha CHADEMA kuwa kwa sasa wao ndio chama kinachotegemewa kioneshe njia katika mambo mengi, ikiwemo umakini katika kufanya mambo yake, tafadhali naombeni mnifikishie hii kitu kwa wahusika, kwani ndondondo si chururu hili laweza onekana dogo lakini kumbe lina mzizi mrefu sana.
   
 2. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kauunga mkono simanjiro
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Asante kutujuza.Tunaomba utubandikie website yao kwa sababu ile ya mwanzo tukiingia inakataa na kuleta mambo ya ajabu
   
 4. m

  matawi JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Good point Simanjiro
   
 5. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Kwa nini wasiwe na website inayoenda na wakati like kumtoa kafulila kama kiongozi wa cdm, ni uzembe ambao hauvumiliki, kwa nini kuwe na uzembe? Tunataka watu makini kwa nini tuwe tunabahatisha?
   
 6. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,535
  Trophy Points: 280
  Good observation. Iam sure CHADEMA's computer wizards will act on it.

  AMANDLA.
   
 7. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Upo utamaduni wa kutowajibika uliojengeka miongoni mwa Watanzania. Hali hii inaliingizia taifa hasara kubwa sana.

  Wito wangu ni kwamba Watanzania tunapaswa sasa kuanza upya kuijenga nchi yetu. Tuache bla bla hazitatufikisha mahala popole. Tuwajibikeni jamani.

  Najua ujamaa umetujenga vibaya lakini tunapaswa kutoka katika hili lindi la ukosefu wa adabu na kutowajibika.
   
 8. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Naunga mkono pia kunawale waliomba uwanachama online hawajibiwa zaidi ya mwaka sasa angalieni hili kwa jicho la tatu wa2 wengi wanapata taarifa kupitia mitandao so ni vema ketengo cha IT Mkakifikiria kwa umuhimu wake
   
 9. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
 10. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wakati fulani nilishawahi kutoa angalizo kuwa, website hiyo iko nyuma mno na wakati, kwamba jambo linaweza kutokea leo lakini likaja kuwekwa humo mwezi mmoja baadae hii inamaanisha kuwa hakuna ufuatiliaji wa karibu wa hiyo website.

  Ushauri wangu:
  1. Aajiriwe mtu wa ICT (technolojia ya habari na mawasiliano) ambaye pamoja na mambo mengine kazi yake itakuwa ku-update matukio pamoja na habari zihusuzo chama na jamii kila siku.

  2. Viongozi wakiwemo wabunge pamoja na wanachama wapeleke habari zao walau kila siku kupitia adress itakayochaguliwa. Mtu wa ICT atachuja na kuweka hizo habari kwenye website.

  Hii itakuwa njia mojawapo ya kukiweka chama hai na kuufikia umma kwa wingi na kwa urahisi. Kama watu wanaweza ku-post kwenye JF na fb kila siku watashindwaje kufanya hivyo kwenye mtandao wa pipoz pawa?

  Tunawaomba viongozi mlipe hili uzito unaostahili.
   
 11. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
 12. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa kakurupuka na thread yake........
   
 13. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  please provide information ya website uliyovisit and the needful will be done!

  Kwa sasa the internet is our powerful means of communication! We have to take full advantage of it!
   
 14. s

  simanjiro Member

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 15. GATS

  GATS JF-Expert Member

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 240
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamaani nami nimeona Tunaomba warekebishe hii haitaonyesha tofauti kati ya watu makini na wasio makini.
   
Loading...