Chadema na waziri kivuli wa kazi na ajira

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Sijui waziri kuvuli wa kazi na ajira wa CHADEMA ni nani
na anafanya nini kwa kweli
simsikii popote
hakuna maswali khusu wafanyakazi kabisaa hata kwa waziri mkuu

sasa hivi wafanyakazi wa makampuni meengi mno wanateseka

sheria za kazi hazifuatwi kabisa

nawajua mfano wafanyakazi wa Hospitali ya Hindul Mandal hasa wauguzi
ambao hawana kupumzika hata siku moja
wanaingia shift miezi sta mfululizo

TANESCO usiseme kuna vibarua wana miaka zaidi ya kumi
hawajaajiriwa na hakuna malipo ya overtime
wala off...

Kiwanda cha nondo mbagala wanakufa kila siku kwa sumu na mazingira mabovu
ya kazi na wengineo tele....

wapo wafanyakazi weengi sasa hawana off wala malipo ya overtime kwa mujibu wa sheria za nchi

but ni kimyaaa kimyaa kabisaa
no body talks about this
CHADEMA wanasemaje?
hakuna namna ya kuwabana wahusika now?
 
kati ya sehemu zenye matatizo nchi hii ni unyanyasaji na hasa upande wa ajira nenda kwenye mahakama ya kazi nenda nssf utaona jinsi watu wanavyocheleweshewa haki zao kwa makusudi pia tembelea sehemu mbalimbali utaona jinsi ajira za watanzania zilivyochukuliwa na wageni na mimi nashangaa wakti mawaziri vivuli kama Halima mdee,sugu wakionyesha mapungufu kwenye maeneo yao huyu simsikii kabisa nawaomba kama cdm wako makini waangali teuzi zao kwenye mawaziri vivuli
 
Ukiona nchi mfanyakazi wa serikali ananyanyasika ujue ni balaa...
eti watu wanafanya kazi bila off
 
Ukiona nchi mfanyakazi wa serikali ananyanyasika ujue ni balaa...
eti watu wanafanya kazi bila off

Nadhani wafanyakazi wa Private sector wananyanyasika zaidi ya Serikali, nadhani tupo pamoja na kama ulivyowasilisha mada yako hapo awali, ni chaos, shida na tabu hasa ukute mmliki ni mhindi au mwarabu (Asian origin, pia sector ingine ni drivers wa magari ya abiria - long safari). Inawezekana waziri kivuli hana platform ya kupokea kero kama hizo, hivi anaruhusiwa kufanya ziara kwenye taasisi kama hizo kufanya tathmini?
 
Back
Top Bottom