Chadema na wafuasi wake Wanamisimamo ya kitoto

Usikute huyu mtoa mada ni miongoni mwa wale ma think tanks wa chama waliokusudiwa kuleta upinzani wa hoja huku jukwaani.......
20250819_183903.jpg
 
Chadema inaongozwa na misimamo ya watu vivuli, nashangaa kuona Heche anaungana na polepole hahahaaaaa Jamani kwahyo hamjiamini bila wao? Kwahyo misimamo yenu Mnataka ipushiwe na waasi wa CCM + watukanaji mitandaoni Sasa chadema ni chama au ni genge la wahuni?

Hivi inakuwaje chadema kinawakumbatia watukanaji wajaa laana mfano wa akina sativa, mange na maria Sarungi Yani kabisa wanaamini kitu atakachoongea sativa Wananchi watajifata, Yani Leo hii mangekimambi aseme kitu watu wafate! inamaana hamsomi nyakati,

Eti CHADEMA, huu upumbavu wenu wa kutumia watukanaji kwenye ku push agenda zenu nani aliyewafundisha? Tangu lini mtu akatuna na akaheshika katika jamii.
POVU RUKSA!
Acha kuweweseka na vitu visivyokuhusu.
 
Think tank ya CCM watu watatu nao ni
Mzoga wa Msoga, Steve Mengele na Jimmy Mafufu
Mwenyekiti wenu na wasaidizi wake wote(kasoro Nchimbi mwenye agenda yake) ni zero brains.
 
Mbona unajina la ajabu sana BABU FEY🤣🤣
Kama ni mwanaume jitathimin
 
Chadema inaongozwa na misimamo ya watu vivuli, nashangaa kuona Heche anaungana na polepole hahahaaaaa Jamani kwahyo hamjiamini bila wao? Kwahyo misimamo yenu Mnataka ipushiwe na waasi wa CCM + watukanaji mitandaoni Sasa chadema ni chama au ni genge la wahuni?

Hivi inakuwaje chadema kinawakumbatia watukanaji wajaa laana mfano wa akina sativa, mange na maria Sarungi Yani kabisa wanaamini kitu atakachoongea sativa Wananchi watajifata, Yani Leo hii mangekimambi aseme kitu watu wafate! inamaana hamsomi nyakati,

Eti CHADEMA, huu upumbavu wenu wa kutumia watukanaji kwenye ku push agenda zenu nani aliyewafundisha? Tangu lini mtu akatuna na akaheshika katika jamii.
POVU RUKSA!

Kwahiyo Ww Unaona Ccm Wanaoongozwa Na Wanamtandao
Ndio Wenye Akili.
 
Kweli ndugu unaufanyia kazi mshahara wako hapo makao makuu ya chama!!

Unaandika sledi kila baada ya lisaa.....na unaibua hoja nzito nzito zinazotetemesha CHADEMA......hakika unastahili kuongezewa posho!!
20250530_181656.jpg
 
Chadema inaongozwa na misimamo ya watu vivuli, nashangaa kuona Heche anaungana na polepole hahahaaaaa Jamani kwahyo hamjiamini bila wao? Kwahyo misimamo yenu Mnataka ipushiwe na waasi wa CCM + watukanaji mitandaoni Sasa chadema ni chama au ni genge la wahuni?

Hivi inakuwaje chadema kinawakumbatia watukanaji wajaa laana mfano wa akina sativa, mange na maria Sarungi Yani kabisa wanaamini kitu atakachoongea sativa Wananchi watajifata, Yani Leo hii mangekimambi aseme kitu watu wafate! inamaana hamsomi nyakati,

Eti CHADEMA, huu upumbavu wenu wa kutumia watukanaji kwenye ku push agenda zenu nani aliyewafundisha? Tangu lini mtu akatuna na akaheshika katika jamii.
POVU RUKSA!
Nchi imearibiwa na machawa ,,Mungu awachukue mapema Taifa lipone
 
Tumia akili japo kidogo, hata kama ukiwa huna ya kutosha.

Wewe unataka mtu akiwa mwizi, akaamua kubadilika na kuuchukia wizi, na akawaeleza hata jinsi alivyoshiriki kwenye wizi, na jinsi majambazi yaliyobakia huko yanavyoendelea na ujambazi; bado umataka aendelee kuchukiwa na kukataliwa kwa sababu tu hapo zamani aliwahi kushirikiana na wevi?

Pole Pole ni wa kumpongeza sana. Aliingizwa kwente mfumo wa waovu, angependa angeweza kuendelea kushirikiana na hao waovu, na akaendelea kufaidi pesa za watanzania kupitia hao waovu. Amezikataa hizo pesa, amekataa kuendelea kuwa sehemu ya waovu. Huyu ni miongoni mwa watu wachache sana wanaostahili kupongezwa sana.

Angalia wengi walivyobakia huko kwenye uovu, hawana ujasiri wa kutoka hata kama wanajua wameingizwa kwenye uovu, lakini kwa sababu ya maslahi binafsi, hawathubutu kuondoka wala kukemea uovu wa waliowaingiza. Wamebakia tu na shimbo za kusifia waovu ili nao waendelee kufaidika mapato ya dhambi.
 
Chadema inaongozwa na misimamo ya watu vivuli, nashangaa kuona Heche anaungana na polepole hahahaaaaa Jamani kwahyo hamjiamini bila wao? Kwahyo misimamo yenu Mnataka ipushiwe na waasi wa CCM + watukanaji mitandaoni Sasa chadema ni chama au ni genge la wahuni?

Hivi inakuwaje chadema kinawakumbatia watukanaji wajaa laana mfano wa akina sativa, mange na maria Sarungi Yani kabisa wanaamini kitu atakachoongea sativa Wananchi watajifata, Yani Leo hii mangekimambi aseme kitu watu wafate! inamaana hamsomi nyakati,

Eti CHADEMA, huu upumbavu wenu wa kutumia watukanaji kwenye ku push agenda zenu nani aliyewafundisha? Tangu lini mtu akatuna na akaheshika katika jamii.
POVU RUKSA!
CCM na wafuasi wake mna misimamo ya kisenge sana.
 
Wewe kwa mfumo huu wa uchaguzi unakwenda kituoni kuchagua nn kama.si utaahira.
 
Chadema inaongozwa na misimamo ya watu vivuli, nashangaa kuona Heche anaungana na polepole hahahaaaaa Jamani kwahyo hamjiamini bila wao? Kwahyo misimamo yenu Mnataka ipushiwe na waasi wa CCM + watukanaji mitandaoni Sasa chadema ni chama au ni genge la wahuni?

Hivi inakuwaje chadema kinawakumbatia watukanaji wajaa laana mfano wa akina sativa, mange na maria Sarungi Yani kabisa wanaamini kitu atakachoongea sativa Wananchi watajifata, Yani Leo hii mangekimambi aseme kitu watu wafate! inamaana hamsomi nyakati,

Eti CHADEMA, huu upumbavu wenu wa kutumia watukanaji kwenye ku push agenda zenu nani aliyewafundisha? Tangu lini mtu akatuna na akaheshika katika jamii.
POVU RUKSA!
Tena misimamo ya kitoto na kijinga! Mfano wanasema watazuia Uchaguzi Mkuu Oktoba wakati wameshindwa kuzuia Kiongozi wao wa mambo ya kitoto na kijinga Lissu asinyee mtondoo!
 
Back
Top Bottom