Chadema inaongozwa na misimamo ya watu vivuli, nashangaa kuona Heche anaungana na polepole hahahaaaaa Jamani kwahyo hamjiamini bila wao? Kwahyo misimamo yenu Mnataka ipushiwe na waasi wa CCM + watukanaji mitandaoni Sasa chadema ni chama au ni genge la wahuni?
Hivi inakuwaje chadema kinawakumbatia watukanaji wajaa laana mfano wa akina sativa, mange na maria Sarungi Yani kabisa wanaamini kitu atakachoongea sativa Wananchi watajifata, Yani Leo hii mangekimambi aseme kitu watu wafate! inamaana hamsomi nyakati,
Eti CHADEMA, huu upumbavu wenu wa kutumia watukanaji kwenye ku push agenda zenu nani aliyewafundisha? Tangu lini mtu akatuna na akaheshika katika jamii.
POVU RUKSA!
..kwa yaliyomtokea Sativa ana haki zote za kuwa na jazba na kutukana.
..tatizo Ccm mmejisahau sana kiasi cha kufikiria kwamba hata mnapotesa na kudhulumu wenzenu mnapaswa kuheshimiwa.