Wewe umewashwa wapi na hilo jambo?Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote...
Sasa Nguruwe akilia au kucheka wewe unawashwa wapi?Pangu pakavu tia mchuzi kwenye siasa ni jambo la lazima. Lakini tunapinga tabia ya nguruwe kulia wakati anakula miwa wakati anafurahia hiyo miwa. Kwanini asicheke tu?
Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.
Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya Rais Bungeni lakini ajabu walikubali kuapa na majina ya viti maalumu yakapelekwa bila hata kuchelewa.
Ajabu na unafiki ni mwaka huu, hoja ileile ya uchaguzi kutokua huru na Haki lakini ajabu ni kwamba kwa sababu viongozi wakuu wamekosa basi safari hii hawataki hata yule aliyepata au nafasi za viti maalumu walivyopata kuzitumia, wanataka wakose wote, wakati uchaguzi uliopita viongozi walipata na wagombea wengine wa CHADEMA walidhurumiwa ushindi wao, hakuna aliyewajali zaidi ya kuacha machozi yao yaende na maji.
CHADEMA waache kuwa wanafiki.
Kwa hiyo unataka waendelee kukubaliana na dhuluma kila uchaguzi? Nenda wewe ambaye siyo mnafikiKupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.
Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya Rais Bungeni lakini ajabu walikubali kuapa na majina ya viti maalumu yakapelekwa bila hata kuchelewa.
Ajabu na unafiki ni mwaka huu, hoja ileile ya uchaguzi kutokua huru na Haki lakini ajabu ni kwamba kwa sababu viongozi wakuu wamekosa basi safari hii hawataki hata yule aliyepata au nafasi za viti maalumu walivyopata kuzitumia, wanataka wakose wote, wakati uchaguzi uliopita viongozi walipata na wagombea wengine wa CHADEMA walidhurumiwa ushindi wao, hakuna aliyewajali zaidi ya kuacha machozi yao yaende na maji.
CHADEMA waache kuwa wanafiki.
Kwa kijana wa leo,ningumu Sana kuyafahamu ya Jana,hali ya wakati huo nitofauti Sana na yaliyo jitokeza wakati wa leo,hivyo jaribu kujifunza kwa dhati saudi utayaelewa vyema,ya leo na ya Jana.Kupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.
Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya Rais Bungeni lakini ajabu walikubali kuapa na majina ya viti maalumu yakapelekwa bila hata kuchelewa.
Ajabu na unafiki ni mwaka huu, hoja ileile ya uchaguzi kutokua huru na Haki lakini ajabu ni kwamba kwa sababu viongozi wakuu wamekosa basi safari hii hawataki hata yule aliyepata au nafasi za viti maalumu walivyopata kuzitumia, wanataka wakose wote, wakati uchaguzi uliopita viongozi walipata na wagombea wengine wa CHADEMA walidhurumiwa ushindi wao, hakuna aliyewajali zaidi ya kuacha machozi yao yaende na maji.
CHADEMA waache kuwa wanafiki.
Hivyo na yule aliyesema Maendeleo hayana vyama, halafu baadae akasema nichagulie “fulani” kuwa mbunge ili niwaletee maendeleo nae ni mnafiki?
Kama ni unafiki si ungeona kwanza uliyomo kwenye chama chenu, kujifanya wanakubali mfumo Wa vyama vingi kumbe roho hawautaki. Heading yako inatia kimyaaKupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.
Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya Rais Bungeni lakini ajabu walikubali kuapa na majina ya viti maalumu yakapelekwa bila hata kuchelewa.
Ajabu na unafiki ni mwaka huu, hoja ileile ya uchaguzi kutokua huru na Haki lakini ajabu ni kwamba kwa sababu viongozi wakuu wamekosa basi safari hii hawataki hata yule aliyepata au nafasi za viti maalumu walivyopata kuzitumia, wanataka wakose wote, wakati uchaguzi uliopita viongozi walipata na wagombea wengine wa CHADEMA walidhurumiwa ushindi wao, hakuna aliyewajali zaidi ya kuacha machozi yao yaende na maji.
CHADEMA waache kuwa wanafiki.
Roho...Wewe nini kinakuuma CHADEMA wakiwa wanafiki?
Inakua NONESENSE, hivi kina Mbowe wangepata ubunge haya yangetokea??Kwa hiyo Kama mwizi alikamatwa mwaka juzi akapigwa mawe, miaka yote wakamataji watumie njia ile ile?!
Mwaka huu adhabu kwa mwizi yule yule ni tofauti. Tulia tulii
Kazi yake ni kupigia debe wabunge wake mana hata wabunge wake wanampigia debe.... Mbona Nkasi hawakumsikiliza wakamchagua Chadema, Lindi wakamchagua CUF..... We umewahi kuona kisa upinzani jimbo likakosa maendeleo??Hivyo na yule aliyesema Maendeleo hayana vyama, halafu baadae akasema nichagulie “fulani” kuwa mbunge ili niwaletee maendeleo nae ni mnafiki?
Hivi Central Commitee ya CHADEMA ilishakaa na kutoka na written msimamo kuhusu issue ya Aida na Wabunge wa Viti maalumu kwa ujumla wake?Mwaka huu adhabu kwa mwizi yule yule ni tofauti. Tulia tulii
Wewe ndo mnfiki ,nguruweKupitia hili suala la Mbunge wa Nkasi pamoja na wabunge wa viti maalumu, CHADEMA wamejitanabaisha ni kiasi gani wamekua wanafiki kwa watanzania na wapenda Haki na amani wote.
Uchaguzi wa mwaka 2015 CHADEMA walikiri wazi kuwa ni uchaguzi ambao haukua huru na Haki hadi kupelekea kususia hotuba ya Rais Bungeni lakini ajabu walikubali kuapa na majina ya viti maalumu yakapelekwa bila hata kuchelewa.
Ajabu na unafiki ni mwaka huu, hoja ileile ya uchaguzi kutokua huru na Haki lakini ajabu ni kwamba kwa sababu viongozi wakuu wamekosa basi safari hii hawataki hata yule aliyepata au nafasi za viti maalumu walivyopata kuzitumia, wanataka wakose wote, wakati uchaguzi uliopita viongozi walipata na wagombea wengine wa CHADEMA walidhurumiwa ushindi wao, hakuna aliyewajali zaidi ya kuacha machozi yao yaende na maji.
CHADEMA waache kuwa wanafiki.
Mikononi na kooniWewe umewashwa wapi na hilo jambo?
Hoja mufilisi kabisa, kwa kususa kunasaidia nini? Chaguzi karibia zote za marudio walikua wanasusa kutokana na mazingira mabaya ya hizo chaguzi, kipi kiliwafanya washiriki huu uchaguzi kama sio unafiki...Hakuna cha unafiki hapo ni mihemko yako tu! Ila Ukweli ni kwamba wamechoka kuhalalisha ubatili!
Mwaka 2015 , pamoja na kutoyatambua matokeo lakini waliingia bungeni si kwamba walikuwa wanakubaliana na kilichotokea katika uchaguzi ule bali walitaka kupata uwanja wa kuyafikisha malalamiko yao kupitia bunge.
Hata hivyo hawakufanikiwa kutokana na bunge lile kutawaliwa na itikadi za kisiasa tangu kwa spika hadi wabunge wa CCM, hivyo plana yao ndani ya bunge ilikwama, hivyo kwa sasa wameamua kubadili namna ya kjushugulika na tatizo kwa njia nyingine!
Kwa hiyo tusikalili njia ya mwaka 2015 ndo hiyoiyo iwe mbinu ya mwaka huu, ni lazima kubadili mbinu kulingana na mahitaji ya wakati!