Nakupongeza sana mkuu kwa kuliona hilo!!!! Una mtazamo wa kimapinduzi kabisa. Wengi wanaoisapoti sisiem ni wale wenye maslahi nayo, wale wajinga wasioelewa chochote na wafanyabiashara wanahofia chama kingine kikiingia madarakani kitafichua mbinu zao za kukwepa kodiHoja ya ukabila ni janja ya sisiemu ya kujihami. Kwa taarifa yako CHADEMA inakubalika katika miji mikubwa ya Tanzania ikiwemo Mbeya, Arusha, Moshi, Iringa, Mwanza n. k ambako kuna mchanganyiko wa makabila. It is too late now for sisiemu kusema CHADEMA ni chama cha wachaga!! Watanzania wameamka na hawadanganyiki tena na sisiemu. Watu ambao bado wanaisupport sisiemu kwa sasa ni wale walio kwenye system pamoja na familia zao, mafisadi na watanzania waishio vijijini na wasio na uelewa wa mambo. Shame upon sisiemu!!!
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).
Weee.... nyuula!! unafanya mcheso eeh? unataka mtu achomwe kisu cha....:teeth:Mifano halisi iko mbele yako kila siku; wewe pita kwenye duka lolote la mchaga ambalo liko karibu halafu taja mtu yoyote aliyeonekana kutaka nafasi ambayo mbowe kashika au mbowe anaitaka alafu utasikia maoni yake. Maoni yake hayatasema hiyo ni demokrasia; maoni yake yatakuwa huyo mtu anayetaka nafasi hiyo anayoitaka mbowe lazima ana kasoro. Au mtaje mtu yoyote mwenye mtazamo tofauti na mbowe ndani ya chadema; utaambiwa huyo mtu anakasoro.
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).
Na waliokipigia kura kule Mwanza, Mara, Shinyanga, Kawe, Ubungo, Kigoma na Mbeya wote walikuwa ni Wachaga.

Kwenye hizo kona mbona hawajakuwepo kwenye kona ya CUF?May be wachagga wapo kila kona.
Lakini walionyanyasika kama vile Amani Kabouru, Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, Samson Mwigamba na Shibuda, Mkosamali, Shitalamba Kafulila, Machege nk. hawakuwa wachagaa kuna nini hapo?Na waliokipigia kura kule Mwanza, Mara, Shinyanga, Kawe, Ubungo, Kigoma na Mbeya wote walikuwa ni Wachaga.
Lakini walionyanyasika kama vile Amani Kabouru, Chacha Wangwe, Zitto Kabwe, Samson Mwigamba na Shibuda, Mkosamali, Shitalamba Kafulila, Machege nk. Hawakuwa wachagga kuna nini hapo?Na waliokipigia kura kule Mwanza, Mara, Shinyanga, Kawe, Ubungo, Kigoma na Mbeya wote walikuwa ni Wachaga.