Arguments zako ziko very weak Coca Cola, ina maana CCM walivyokuwa wanapinga mtu asimchallenge Kikwete ina maana wote ni wakwere? au Lipumba anapogombea kila uchaguzi, CUF ni ya wanyamwezi? Haijalishi nani anaongoza, tunajali results, kwa mfano;kama Mchaga atatuletea Katiba mpya watakaofaidika ni watanzania wote, regardless of their ethinicity.
mbona hii thread huwa unairudiarudia kila baada ya wiki? Au iq yako ndogo kiasi kwamba huwezi ukafikiria jambo jipya?
Makabila mengine yanaelewa ni demokrasia kugombania nafasi anayoitaka mbowe au aliyoishikilia mbowe, lakini wachaga hawaelewi hilo; wao wanachoona ni mchaga mwenzangu.
Mbowe will never be perfect just because is a chaga. And democracy must take its course even in top level position. And speaking of capability; just go bilicanas and observe how he behaves. This will allow you to come to your own conclusion as to wether he has moral authority and wisdom to run a political party. I guess i have to remind you that two wrong don't make it right, therefore, don't mention cuf.
ukiondoa Mbeya na Moshi(ambayo ni upinzani asili), hiyo miji mingine CDM walishinda si kwa kuwa wanakubalika bali kwa sababu ya migogoro ya kura za maoni ndani ya CCM(mf Iringa), kuhujumiana miongoni mwa wana CCM(mf mwanza), na hujuma za watendaji wa serikali dhidi wagombea wa CCM( mf Moshi). Iwapo CDM wana nia ya kweli kuwa ni chama chenye nguvu maeneo hayo ni bora kuanzia sasa wakatambua kuwa kilichowapa ushindi si nguvu yao bali udhaifu wa CCM maeneo hayo hivyo wasibweteke bali kwa kila hali wawasaidie wabunge wa maeneo haya kushughulikia matatizo ya wananchi, ikibidi hata kwa kutumia kiasi fulani cha fedha za chama ili kujijenga na kujenga imani ya wananchi.
najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kupoteza kura yangu kwa chama cha migogoro kilasik u thaa tha thijui niende wapi
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).
Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kupoteza kura yangu kwa chama cha migogoro kilasik u thaa tha thijui niende wapi
Kimsingi nakubaliana na wewe kwa njia moja au nyingine kwamba udhaifu wa mwenzako ndiyo chance ya wewe kuone, ni kama mchezo mwezako akifanya kosa ikalitumia basi ndipo goli linapo patikana, Kama si nguvu ya CDM vipi vyama vingine visichukue mfano NCCR Mageuzi, CUF au TLP wange chukuaukiondoa Mbeya na Moshi(ambayo ni upinzani asili), hiyo miji mingine CDM walishinda si kwa kuwa wanakubalika bali kwa sababu ya migogoro ya kura za maoni ndani ya CCM(mf Iringa), kuhujumiana miongoni mwa wana CCM(mf mwanza), na hujuma za watendaji wa serikali dhidi wagombea wa CCM( mf Moshi). Iwapo CDM wana nia ya kweli kuwa ni chama chenye nguvu maeneo hayo ni bora kuanzia sasa wakatambua kuwa kilichowapa ushindi si nguvu yao bali udhaifu wa CCM maeneo hayo hivyo wasibweteke bali kwa kila hali wawasaidie wabunge wa maeneo haya kushughulikia matatizo ya wananchi, ikibidi hata kwa kutumia kiasi fulani cha fedha za chama ili kujijenga na kujenga imani ya wananchi.
Wabunge 15 wa viti maalum wa chadema ni wachaga wanatoka ktk kata 2 tu za moshi.
wabunge wa viti maalum wa CUF wanatoka wapi? au ni dini gani? Malo Sokoine imekuwaje kapewa udiwani arusha wakati si mkazi wa arusha kwa zaidi ya miaka mitano?Wabunge 15 wa viti maalum wa chadema ni wachaga wanatoka ktk kata 2 tu za moshi.
Uchanga wako ndiyo unao kusumbua chama gani hakina migogoro...Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kupoteza kura yangu kwa chama cha migogoro kilasik u thaa tha thijui niende wapi
Coca Cola,Mbowe will never be perfect just because is a chaga. And democracy must take its course even in top level position. And speaking of capability; just go bilicanas and observe how he behaves. This will allow you to come to your own conclusion as to wether he has moral authority and wisdom to run a political party. I guess i have to remind you that two wrong don't make it right, therefore, don't mention cuf.
Wanachama wa chadema ambao ni wachaga hawana positive interpretation pale wanapoona mtu anampinga mbowe. Unapogombania nafasi ambayo mbowe kashika hawasemi unaonyesha demokrasia ndani ya chama; wao wanaona unataka kuchukuwa chama kutoka mikononi mwa wachaga. Lakini hawa wachaga huwa wanazusha sababu nyingine ya kukuzuia usishindane na mbowe; sababu ambayo watanzania wataona haina ukabila, lakini chanzo cha hiyo sababu ni ukabila. Hapa nataka kuwaambia hawa wachaga kama wanataka chadema iwe na future inabidi waachane na huu mtazamo.chadema to have future in tanzania must reflect tanzania demographic (all tribes all religions).