CHADEMA na tishio la Tendwa kukifuta Chama kisa Maandamano/M4C

aaah tendwa umelewa!! hivi waandishi wa habari hawana vile vidude vya kupima kiwango cha ulevi? Coz nafkiri wkt msajili akiongea kuhusu kufuta cdm alikuwa amelewa so siye yeye ni pombe tendwa ni mwanasheria na anajua procedure zote na kukufuta chama bila kwanza kukaa na hao viongozi na wanachama kujadili makosa yao ni ultra vires na tendwa anajua hivyo hayo ya jana aliyosema ni chicha tu
 
Akishindwa kutoa ushahidi huo ashinikizwe kuachia ngazi; kwakuwa kwa kauli na vitendo vyake ameshusha hadhi ya ofisi hiyo ya umma.
 
Hao thithiem wafute kwanza ugumu wa maisha kwa watanzania baada ya hapo wakikifuta chama cha Chadema itakuwa powa tu!
 
ni furaha gani ya ajabu tutaipata watakapo amua kuifuta chadema. futa hata kesho kwani itatupa hari ya kuupata ukombozi wa kweli na tutaingia barabarani bila wasiwasi wowote tunaomba waifute ili watupe nia ili tuweze kuandamana kwa amani
 
Tendwa kwa kujaribu tu kuifuta CDM..Tanzania itageuka Darful..Si wakati wake kusema maneno hayo,tafadhari mzee utajuuta.
 
Unajua misingi na kauli mbiu ya CDM kuwa ni NGUVU YA UMMA (PEOPLES POWER) inawachanganya sana hawa MAFISADI. Wao wanajifanya wameanza kulisikia baada ya mapinduzi huko nchi za waarabu, lakini hii ilikuwepo tangu enzi ndani ya CDM. Sasa wanapodemostrate NGUVU ya UMMA kupaza makemeo yao halali na kuomba serikali iwajibike wao wanawaona ni wahaini. Lakini kama unavyotoa ombi Ndg. Mumwi, Msajili/serikali/dola/CCM wakijaribu kuifuta CDM ama kuwaweka kizuizini viongozi wake, basi watakuwa wamewasha moto mbaya. Ni bora wajirekebishe wakati CDM wakiendelea na maandamano, ili baadaye mwisho wa siku wawe na majibu ya msingi kwa utekelezaji mbele ya wananchi. This is just a work-up call......
 
Tendwa ametoka kupiga kinywaji nafikiri akili yake imejaa ulevi subutu uone kama hatutaingia msitumi we mwehu nini

Kweli kabisa,huyu mzee anajiona yeye ndio yeye; sasa athubutu tuone, wanazani hii nchi yao wao wenyewe..damn it
 
Hivi haoni yanayotokea Duniani kwa sasa? Aache watu weawe na pakusemea, akipafuta ndio mwanzo wa kukosa jukwaa na kinachofuata ni waonewa kukusanyika kwa siku zaidi ya kumi hadi mwenyewe na wenye iofusi zao wanakimbia. Namshauri asitufikishe huko:A S 13:
 
Kuna mtu ana audio clip ya tendwa kuhusu hili sakata ili tumsikie neno kwa neno? isije ikawa alikuwa anatoa mfano tu
 
Kwahiyo kumbe CHADEMA ni ya wakristo? Kama ndivyo basi hakuna ukombozi, maana tuko mafungu mawili yasiyo changanyika.
 
Kwa hali iliyopo ni dhahiri chadema kinaweza kufutwa na viongozi wake kuwekwa ndani kama wahaini. Ccm wametoa tamko, msajili katoa tamko. Hivyo ni dhahiri chadema haina muda duniani. Nachouliza sie wapenzi wa CDM Tuhamie chama gani baada ya hapo.

Huyo msajili ccm ana wazimu kama hana ujinga. Wafute CHADEMA kwa kipi wanacheza hawa eeh. Wajaribu tuone.
 
Ziya-po ya-ya, pa-pa-ya-pa!
Ti-da-lee, na po-po pu-du-loo!
Ste-na-peh na-na po po-ro po!
Africa unite:
'Cause we're moving right out of Babylon,
And we're going to our Father's land, yea-ea.

How good and how pleasant it would be before God and man, yea-eah! -
To see the unification of all Africans, yeah! -
As it's been said a'ready, let it be done, yeah!
We are the children of the Rastaman;
We are the children of the Iyaman.

So-o, Africa unite:
'Cause the children (Africa unite) wanna come home.
Africa unite:
'Cause we're moving right out of Babylon, yea,
And we're grooving to our Father's land, yea-ea.

How good and how pleasant it would be before God and man
To see the unification of all Rastaman, yeah.
As it's been said a'ready, let it be done!
I tell you who we are under the sun:
We are the children of the Rastaman;
We are the children of the Iyaman.

So-o: Africa unite,
Afri - Africa unite, yeah!
Unite for the benefit (Africa unite) for the benefit of your people!
Unite for it's later (Africa unite) than you think!
Unite for the benefit (Africa unite) of my children!
Unite for it's later (Africa uniting) than you think!
Africa awaits (Africa unite) it's creators!
Africa awaiting (Africa uniting) it's Creator!
Africa, you're my (Africa unite) forefather cornerstone!
Unite for the Africans (Africa uniting) abroad!
Unite for the Africans (Africa unite) a yard! /fadeout/
 
CCM Na Msajili wa Vyama sio ndo wenye nchi hii, CCm haiwezi kutuamulia maisha yetu na chaguo letu, KOSA KUBWA SANA watakuwa CCM wamefanya kwa kujidanganya eti kuifuta Chadema, hofu yao ya kuondolewa madarakani na wanachi isituletee sisi shida, wao kama wameiibia nchi hii na kuwatupa wananchi sasa tumejua ujinga wanaoufanaya wasihamishie lawama kwa watu wengine, CCM Plse GROW UP, kulia lia hakutawasaidi nyama nyiieeee nna hasiraaaaaaaa na hawa CCM!!!!!!!!
 
hawawezi kufuta cdm. nakataa haiwezekani maana huo ni mziki mzito ambao ccm na Tendwa hawawezi kuucheza.
 
Kwa hali iliyopo ni dhahiri chadema kinaweza kufutwa na viongozi wake kuwekwa ndani kama wahaini. Ccm wametoa tamko, msajili katoa tamko. Hivyo ni dhahiri chadema haina muda duniani. Nachouliza sie wapenzi wa CDM Tuhamie chama gani baada ya hapo.

Wanachama wa CDM waende kufanya kazi na waache mambo ya ushabiki wa siasa za kizamani.
Chadema kilikuja kwa njia ya kuleta Udini na Ukabila. Wameshindwa uchaguzi, hawataki kujenga chama chao; kwa sababu Padre Slaa anatamaa ya kutaka kuwa Rais ili aendeleze Udini na Ukabila wake.
 
Ziya-po ya-ya, pa-pa-ya-pa!
Ti-da-lee, na po-po pu-du-loo!
Ste-na-peh na-na po po-ro po!
Africa unite:
'Cause we're moving right out of Babylon,
And we're going to our Father's land, yea-ea.

How good and how pleasant it would be before God and man, yea-eah! -
To see the unification of all Africans, yeah! -
As it's been said a'ready, let it be done, yeah!
We are the children of the Rastaman;
We are the children of the Iyaman.

So-o, Africa unite:
'Cause the children (Africa unite) wanna come home.
Africa unite:
'Cause we're moving right out of Babylon, yea,
And we're grooving to our Father's land, yea-ea.

How good and how pleasant it would be before God and man
To see the unification of all Rastaman, yeah.
As it's been said a'ready, let it be done!
I tell you who we are under the sun:
We are the children of the Rastaman;
We are the children of the Iyaman.

So-o: Africa unite,
Afri - Africa unite, yeah!
Unite for the benefit (Africa unite) for the benefit of your people!
Unite for it's later (Africa unite) than you think!
Unite for the benefit (Africa unite) of my children!
Unite for it's later (Africa uniting) than you think!
Africa awaits (Africa unite) it's creators!
Africa awaiting (Africa uniting) it's Creator!
Africa, you're my (Africa unite) forefather cornerstone!
Unite for the Africans (Africa uniting) abroad!
Unite for the Africans (Africa unite) a yard! /fadeout/

Swafi sana mie siku ya kumtoa Mkwere pale Magogoni mniwekee tu Revolution redeem, revolution it has been a revolution, to make a solution, na tutafanya revolt kwa ajili ya ku make solution ya hali mbaya ya uchumi CCM a Failure CCM a failure CCM a failure mara 100000000000 CCM a Failure!!!!!
 
Back
Top Bottom