bluetooth23
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 348
- 326
Mkuu kuna maeneo mengine nchi hii wanakamata TBC tu.Vipi ungetamani waendelee kusikiliza huo ungese tu?Nafikiri tunahitaji kufanya mabadiliko tukiacha hali hii kuendelea athari zake ni kubwa sana.TBC haina viwango vya kuitwa tv station na wala haina viwango vya kutazamwa na watu timamu, ile labda watoto na wale wanaochek tamthilia tu, kwanza ni ya chama halafu watangazaji hamna kitu na hata rang na habari zao ungese mtupu, mi huwa napta tu au kutazama komedi na tena nitaifuta kabisa.
Aisee.Ndipo tulipofika hapa.God forbidChadema ni wendawazimu hawana maadili.
Hawana UKWELI wala UHAKIKA wa wanayoyafanya.
Wataishia itv na gazeti la nipashe.
TBC inaheshimika sana duniani, haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni hayakuwa mazuri.
TBC inaheshimika sana duniani, haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni hayakuwa mazuri.
TBC inaheshimika sana duniani, haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni hayakuwa mazuri.
SUMU---Hauna akili kabisa,wewe ni ------ no.2 after TBC,UNAMLINGANISHA LEMA NA TBC?kwa taarifa yako LEMA NI ZAIDI YA TBC.Hauna ADABU KABISA.TBC inaheshimika sana duniani, haipo tayari kumualika mtu kama Mh. Lema ambaye anaonekana wazi kabisa kwamba uwezo wake wa kufikiri ni mdogo na malezi yake ya utotoni hayakuwa mazuri.
MmmmmmhKama utakumbuka vizuri wakati wa maandalizi ya kampeni 2010 kulikuwa na kipindi cha "Harakati Majimboni" kiliendeshwa na Shaban Kissu, kipindi kile ndicho kilichovumbua vipaji vya Watanzania. Tuliwafahamu vizuri sana wagombea. Upande wa pili wa "shilingi" Tido Mhando akaonekana kuwa aliendesha kipindi cha kuimaliza CCM akatemwa.
Leo hii Mwaandaaji wa kipindi hicho cha TBC bila shaka kila kukicha anaomba Mungu asije akatembelewa na Chadema maana ajira yake inaweza kuwa hatarini. Mfano halisi ni hii mikutano ya Chadema huko mikoani hawa wanaoitwa ma-RPC hawapendi kuisikia Chadema mikoani mwao kwani uwepo wao bila kusukwa sukwa itaashiria ma-RPC hao wanaiunga mkono Chadema rejea Daudi Mwangosi kule Nyololo Iringa aliyeuawa mbele ya RPC Michael Kamuhanda.
Mmmmmh!Hii nchi yangu kila kitu siasa sasa.Tutafika kweli?
kuna kipindi flani hapo nyuma TBC ilifanya kazi nzuri, walikua objective na walionyesha professionalism angalau kwa kiwango kizuri., lakini lately mimi pia nadhani TBC kwa sasa iko compromised,
na hii haionekani kwa hayo tu lakini hata habari zake mara nyingi hazionyeshi ukweli wote zinatoa half truths mara nyingi na kuonyesha kuegemea upande mmoja., this is never healthy, ni muhimu kwa serikali kujifunza kuzikabili changamoto zote kama zinavyo kuja badala ya kupambana kuiziba midomo inayo kosoa utendaji wake.,
Mkuu kama sikosei wewe ni kiongozi wa Chadema.Je ni sahihi kwa nyinyi kuendelea kuisusia TBC?Mmeshapima athari zake mpaka saivi?Please,kaeni nao kitako mzungumze yaishe kwa maslahi ya taifa letu.
Mkuu mtu makini ni mtu wa namna gani?Je mtanzania ambaye ana uwezo wa kununua antena ndogo maarufu kama chadema na kukamata TBC tu naye unamweka kundi lipi?Tunahitaji kulizungumzia hili jambo katika uhalisia.Watu wananyimwa haki ya kuwasikiliza wawakilishi wao kwa mapana zaidi.Hili ni tatizo.Nilikua sijui kama kuna mtu makini kabisa hua anaangaliaga TBC, anyway labda vipindi vya Bunge lakini otherwise kwangu mimi hua tunangaliga Ze Komedy na chereko basi, vipindi vingine hata sijui hua vikoje na vinarushwa saa ngapi!