Chadema na SIRI nzito juu ya Usala ma wa nchi yetu

Jamaa mbona ana hasira sana tangu aliponyang'anywa tonge?

nilikuwa namheshimu sana huyu mzeee lakini nimekuja kugundua ni ***** la kutupwa hasa mara baada ya chadema kuwatosa CUF kwenye serikali kivuli....kwangu mimi namuona ni mtu anayetapatapa tu
 
haya wanachadema mnataka kutupeleka wapi sasa kwani mbunge wa wawi mh hamad rashid amesema kuwa nanukuu “napenda kuthibitisha kauli yangu kuwa wenzetu chadema wana siri nzito na usalama wa taifa hili na si vinginevyo. Ni vyema watanzania sasa kutumia akili za kuwakwepa chadema ambao wanataka kuleta agenda yao ya siri isiyo na lengo la kulinda amani ya taifa.”

sasa wana chadema umefika wakati wa kutueleza wanajamii tukatambuwa mna agenda gani ya siri juu ya usalama wa nchi yetu?

Tambueni kuwa hii nchi inahitaji kulinda amani iliyonayo sasa ni vyema tukatambuwa kama hayo aliyo yasema mh mbunge yana ukweli ndani yake,ili kila mmoja wetu aweze kuanza kujiandaa na hiyo agenda yenu juu ya amani ya nchi hii.
images
hayo mafuvu ni ya nini tena?
 
Siasa za vitisho hazina nafasi karne ya 21. Mafuvu weka tu hakuna atakayeshituka, we need to be proud with our country siyo kunyonyana sisi wenyewe! Ulishaona wapi nchi inakosa cha kujivunia zaidi ya natural resources tulizopewa na mwenyezi Mungu! hakuna kuhoji wala kurudi nyuma. Lets fight for the right things, iwe ndani ya CCM au nje ya CCM tuendelee kupiga kelele hadi wasikie viongozi wetu wasiojali kufanya kazi zao kwa manufaa ya nchi.
 
Mbunge wa wawi Mh Hamad Rashid nina katika nchii?
Nini mchango wake katika nchiii ??
Je anafanya kazi gani sasa.????

Ni gavana toka zenj kwenye koloni lao la Tanganyika, na anaona Cdm inahatarisha ulaji wake na washirika wake.
 
huyu si ni huyu huyu Hamadi wa CCM B???hahahahaha hatumshangai aende akawaambie wazenji wenzake huko sisi hatuna nao muda naona wanaanza kuogopa ujio wa serikali tatu watamiss mambo mengi toka Kwetu watanganyika....
 
haya wanachadema mnataka kutupeleka wapi sasa kwani Mbunge wa wawi Mh Hamad Rashid amesema kuwa nanukuu “Napenda kuthibitisha kauli yangu kuwa wenzetu CHADEMA wana siri nzito na usalama wa Taifa hili na si vinginevyo. Ni vyema Watanzania sasa kutumia akili za kuwakwepa CHADEMA ambao wanataka kuleta agenda yao ya siri isiyo na lengo la kulinda amani ya Taifa.”

sasa wana chadema umefika wakati wa kutueleza wanajamii tukatambuwa mna agenda gani ya siri juu ya usalama wa nchi yetu?

Tambueni kuwa hii nchi inahitaji kulinda AMANI iliyonayo sasa ni vyema tukatambuwa kama hayo aliyo yasema Mh mbunge yana ukweli ndani yake,ili kila mmoja wetu aweze kuanza kujiandaa na hiyo agenda yenu juu ya amani ya nchi hii.
images

Mbona tukikusanya mafuu ya waTg walio kufa kwa athari za ufisadi, rushwa na utawala mbovu hayo hapo ni cha mtoto!
 
Mbunge wa wawi Mh Hamad Rashid nina katika nchii?
Nini mchango wake katika nchiii ??
Je anafanya kazi gani sasa.????
Tulimpenda sana huyu bwana na alikuwa na busara, lakini sasa kashindwa kusoma alama za nyakati! Muda sio mrefu itabidi either aitolee ufafanuzi hii kauli yake au 'aikane' kama mama Sofia Simba. By then uenda maji yatakuwa yamezidi unga na maduka tayari yamefungwa!!!
 
Mtoa mada what is the connection between your topic and mafuvu uliyoweka hapo.? Nadhani wakati umefika muache uzushi na vitisho m-face ukweli.
Sijapenda kabisa hizo picha!
 
Back
Top Bottom