Chadema na siku ya CIVIL DIS-OBIDIENCE

mimi ni chadema na nimeandika hv ili kukisaidia chama changu. .tukiendelea na maandamano ambayo hatujui tunaandamana nini chama chetu kitapoteza mvuto. .narudia maandamano mazuri yakudai haki ni yale yalioandaliwa na wananchi na c viongozi wa kisiasa.. .chadema wanatakiwa watu convice kwa hoja hadi cc wananchi bila kujali chama tuungane tuandamane

Tangu mmeanza kucheza hii santuri ya kwamba Chadema kitakufa mara kitapoteza mvuto mbona mambo yamekuwa yakienda kinyume na mataraji yenu? Yani katika hali kama hii unaweza kujiita mwanachadema wakati hata hujui ni nini Chadema inachopigania?kama kweli wewe ni mwanachama ni bora urudi huko ulikotoka.

Huijui siasa dogo ndio maana una mawazo ya kiccm na mawazo ya hovyo kama haya hayawezi kuisaidia Chdema wala wananchi wa Tanzania kwakuwa hujui umuhimu wa katiba ya wananchi ndio maana unaotoa ushauri wa hovyo kama huu.
 
Naomba nitoe sikitiko langu kwa wa tanzania na tume za haki za binadamu kwamba ;kwa kua walioongea ni wapinzani .wako sahihi kutoa kauli kama hizo zinazohamasisha wananchi kuvunja sheria. Nashangaa pale waziri mkuu alipotoa kauli ya vyombo vya dola kuwapiga watakaokaidi amri halari, tume ya haki za binadamu ilimtaka afute kauli na kuwaomba radhi wananchi ,je kwa hili tume ya haki za binadamu mko wapi ? Kumbe kwenu binadamu ni wapinzani wananchi wasiokua viongozi kuweni fea msipendeleeeeee au kuegamia upande sio ishu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom