CHADEMA na Mnyika waongo katika suala la Gesi

namtumbo,

..unadai LNG plant ikijengwa nchi kavu serikali ya CCM itaweza kudhibiti wizi na hujuma??

..mbona MIGODI ya dhahabu na tanzanite iko nchi kavu lakini bado tunaibiwa??

..Tanzania tunaibiwa kwasababu CCM wameamua tuibiwe.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kubanwa hapo, hapo kuna kuonesha jinsi magwanda walivyo vigeu vigeu na mleta mada kaweka kila kitu kinagaubaga na ushahidi kamili, nini usichokielewa?

We ndio huelewi mkuu soma vizuri hiyo kitu. Kweli walimu wana kazi kubwa sana
 
Jamani huko kishanuka kujaribu kuwahusisha Chadema kama kawaida yenu haitasaidia yaani hapa ustaarabu ni kuwasikiliza wana Mtwara.
Kutuletea uongo wako hapa haisaidii.
 
Mkataba upi, wa mradi gani, wa ndhi gani uliwahi kuwekwa wazi? Hoja hiyo haizingatii kwamba sisi ni taifa lenye ushindani na mataifa mengine......kila kitu cha nyumbani kwako unaanika hadharani? Ndivyo Chadema itakavyokuwa inaendesha nchi kihivyo? Mbona mtatuuza mapema sana. Siamini afterall kama mtafanya hivyo, maana kama mmeshindwa kuuweka hadharani mkataba wa kumpa mkopo Dr Slaa....ndio mje kuuweka wazi mkataba wa gesi?

Kumbe tunapopiga kelele juu ya mikataba ya uwekezaji wa rasilimali za taifa kuwekwa wazi unatuona kama mazuzu sio?!

Eti sababu kubwa ulonayo ni kwa kuwa mkataba wa mkopo wa Dr Slaa haujawekwa wazi!!

Umenisikitisha sana mkuu.
 
namtumbo,

..unadai LNG plant ikijengwa nchi kavu serikali ya CCM itaweza kudhibiti wizi na hujuma??

..mbona MIGODI ya dhahabu na tanzanite iko nchi kavu lakini bado tunaibiwa??

..Tanzania tunaibiwa kwasababu CCM wameamua tuibiwe.

Hivi wewe uko angani? Unaibiwa? Nini unachoibiwa wewe?
 
Kumbe tunapopiga kelele juu ya mikataba ya uwekezaji wa rasilimali za taifa kuwekwa wazi unatuona kama mazuzu sio?!

Eti sababu kubwa ulonayo ni kwa kuwa mkataba wa mkopo wa Dr Slaa haujawekwa wazi!!

Umenisikitisha sana mkuu.

Naomba unisaidie kunionyesha mkataba wa bomba la gesi wa nchi yoyote....hata huko Marekani ulipo hivi sasa ulio public.....tuletee humu tuone....

Achaneni na nadharia hizo
 
Chadema wamejitokeza kuhamasisha watu wa Mtwara tusikubali ujenzi wa bomba la gesi. Waziri kivuli wa Nishati na Madini wa Serikali hiyo Mhe Mnyika ametoa matamko ya kuunga mkono hoja za watu wa Mtwara kuhusu kukataa ujenzi wa bomba la gesi. Lakini ni wazi kwamba Chadema hawasemi ukweli,ni vigeugeu, na wadandia hoja kwa ajili ya kutafuta umaarufu wa chapchap.

Ushahidi wangu huu hapa........angalia hansard uone walichosema Bungeni katika taatifa ya kambi rasmi ya upinzani Bungeni....

http://polis.parliament.go.tz/PAMS/docs/HS-8-34-2012.pdf

Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani ilitaka kiwango cha bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kuongezwa ili vipaumbele vifuatavyo viweze kuzingatiwa kwa uzito unaostahili: Kuwekeza fedha za kutosha kwenye sekta ya umeme na Gesi ili kumaliza kabisa tatizo la nishati ya Umeme na kupunguza gharama za maisha.

Mheshimiwa Spika, hatua hizo ziambatane na kuwekeza katika Bomba la Gesi, pamoja na ujenzi wa mtambo wa kutengeneza Gesi (LPG extraction Plant) ili kuwezesha gesi kutumika kwenye magari, viwandani na majumbani; kuhakikisha tunazalisha 360MW za umeme kila mwaka ili kufikia malengo ya Mpango wa Maendeleo wa miaka Mitano na kumaliza tatizo la mgawo wa umeme na mwisho kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya usafirishaji na usambazaji wa umeme vijijini ili kuchangia katika ukuaji wa uchumi vijijini

Mheshimiwa Spika, mzigo huu usingekuwa mkubwa iwapo Serikali ingetekeleza katika mwaka wa fedha 2011/2012, maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani ya kuhakikisha nyongeza ya fedha kwenye bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa upande wa Sekta Ndogo ya Gesi kwa ajili ya mitambo ya umeme na kuharakisha kuwekeza katika Bomba la Gesi pamoja na ujenzi wa mtambo wa kutengeneza Gesi (LPG extraction Plant). Mheshimiwa Spika, kutokana na hatimaye Serikali kuzindua ujenzi wa bomba la gesi katika mwaka wa fedha 2012/2013 na ahadi ya Wizara ya Nishati na Madini kuwa ujenzi huo utakamilika katika kipindi cha miezi kumi na nane ijayo, Kambi Rasmi ya Upinzani inataka Serikali kutoa kauli ya uhakika kwa Taifa.

Mheshimiwa Spika, mradi mkubwa wa maendeleo ambao umepangwa katika mwaka wa fedha ni ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es salaam.

ambapo kwenye kasma 3162 umetengewa kiasi cha shilingi 93,000,000,000 huku kiwango kingine cha fedha za mradi huo kikitarajiwa kupatikana kutokana na mkopo kutoka nje. Mheshimiwa Spika, kutokana na unyeti wa mradi huo kwa mustakabali wa nchi na maisha ya wananchi wa sasa na baadaye, Kambi Rasmi ya Upinzani inaitaka Serikali kuwasilisha Bungeni na kuweka wazi kwa umma mkataba wa mradi husika ili Bunge liweze kuishauri na kuisimamia Serikali kuanzia katika hatua za awali kuhakikisha kwamba maslahi ya Taifa yanalindwa katika hatua zote na pia wananchi wananufaika kutokana na fursa za uwekezaji

Hivi watu wa wa aina hii wanaoadilisha misimamo kutokana na upepo, watafaa kweli kuongoza nchi?

mbona hapa mwisho wamesema au kutaka mkataba uwekwe wazi kwa wananchi na Bunge na pia kuhusishwa kwa bunge na wananchi katika mchakato wote? Huoni hapo ndo pameleta shida? Jaribu kujipanga upya boss wangu. Hawakatai bomba kujengwa ila linajengwaje hapo ndo patamu. Nyie mshachakachua tayari zaidi ya mara mbili ya gharama then mnataka watu wawalegezee tuu? Rudisheni hela za watu.
 
mleta mada unaelewa madai ya wana Mtwara?
Crashwise tumeanza kukosa thinkers, hapa sijaona kama kualikuwa na msisitizo wa:
Usindikaji ufanyike Bagamoyo
Kiwanda cha mbolea Bagamaoyo
Uzalishaji wa umeme Pwani
Haya mambo hamna sababu ya kusema CDM ni kigeugeu. Hawakuelekeza hivyo. Na ni vizuri mwandishi ungejua Mtwara na Lindi wanalalamika nini? Hapa issue sio bomba peke yake, kuna manbo yaliyojificha. Mnyika hana tatizo mwacheni.
 
Chadema wamejitokeza kuhamasisha watu wa Mtwara tusikubali ujenzi wa bomba la gesi. Waziri kivuli wa Nishati na Madini wa Serikali hiyo Mhe Mnyika ametoa matamko ya kuunga mkono hoja za watu wa Mtwara kuhusu kukataa ujenzi wa bomba la gesi. Lakini ni wazi kwamba Chadema hawasemi ukweli,ni vigeugeu, na wadandia hoja kwa ajili ya kutafuta umaarufu wa chapchap.

Ushahidi wangu huu hapa........angalia hansard uone walichosema Bungeni katika taatifa ya kambi rasmi ya upinzani Bungeni....

http://polis.parliament.go.tz/PAMS/docs/HS-8-34-2012.pdf

Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani ilitaka kiwango cha bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kuongezwa ili vipaumbele vifuatavyo viweze kuzingatiwa kwa uzito unaostahili: Kuwekeza fedha za kutosha kwenye sekta ya umeme na Gesi ili kumaliza kabisa tatizo la nishati ya Umeme na kupunguza gharama za maisha.

Mheshimiwa Spika, hatua hizo ziambatane na kuwekeza katika Bomba la Gesi, pamoja na ujenzi wa mtambo wa kutengeneza Gesi (LPG extraction Plant) ili kuwezesha gesi kutumika kwenye magari, viwandani na majumbani; kuhakikisha tunazalisha 360MW za umeme kila mwaka ili kufikia malengo ya Mpango wa Maendeleo wa miaka Mitano na kumaliza tatizo la mgawo wa umeme na mwisho kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya usafirishaji na usambazaji wa umeme vijijini ili kuchangia katika ukuaji wa uchumi vijijini

Mheshimiwa Spika, mzigo huu usingekuwa mkubwa iwapo Serikali ingetekeleza katika mwaka wa fedha 2011/2012, maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani ya kuhakikisha nyongeza ya fedha kwenye bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa upande wa Sekta Ndogo ya Gesi kwa ajili ya mitambo ya umeme na kuharakisha kuwekeza katika Bomba la Gesi pamoja na ujenzi wa mtambo wa kutengeneza Gesi (LPG extraction Plant). Mheshimiwa Spika, kutokana na hatimaye Serikali kuzindua ujenzi wa bomba la gesi katika mwaka wa fedha 2012/2013 na ahadi ya Wizara ya Nishati na Madini kuwa ujenzi huo utakamilika katika kipindi cha miezi kumi na nane ijayo, Kambi Rasmi ya Upinzani inataka Serikali kutoa kauli ya uhakika kwa Taifa.

Mheshimiwa Spika, mradi mkubwa wa maendeleo ambao umepangwa katika mwaka wa fedha ni ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es salaam.

ambapo kwenye kasma 3162 umetengewa kiasi cha shilingi 93,000,000,000 huku kiwango kingine cha fedha za mradi huo kikitarajiwa kupatikana kutokana na mkopo kutoka nje. Mheshimiwa Spika, kutokana na unyeti wa mradi huo kwa mustakabali wa nchi na maisha ya wananchi wa sasa na baadaye, Kambi Rasmi ya Upinzani inaitaka Serikali kuwasilisha Bungeni na kuweka wazi kwa umma mkataba wa mradi husika ili Bunge liweze kuishauri na kuisimamia Serikali kuanzia katika hatua za awali kuhakikisha kwamba maslahi ya Taifa yanalindwa katika hatua zote na pia wananchi wananufaika kutokana na fursa za uwekezaji

Hivi watu wa wa aina hii wanaoadilisha misimamo kutokana na upepo, watafaa kweli kuongoza nchi?
:violin::violin:Cjaona uongo uongo wa cdm hapo! kwan hujatoa kile ambacho chadema wamedanganya zaidi ya kuleta nukuu toka bungen ambayo kwa hakika iko very clear. labda kwa cdm kutamka kuwa wanantwara wanahaki ya kusikilizwa juu ya madai yao ndo wewe unaita uongo na kubadili msimamo? je ndo democracy ya ccm ilivyo ya kung'ang'ania ulichoamua bila kuckiliza wala kujibu hoja zinazoinuka baada ya maazimio?

Nomba mleta mada unijibu unafikiri kati ya hawa wawili baada ya watu kuhoji juu ya kilichoazimiwa ni nani watu watamuunga mkono;
  1. huyu wa kwanza anasema kwa kuwa wanapinga na kuhoji juu ya tulichoamua hao ni wapuuzi,wabinafsi,wabaguzi na wameshawishiwa wapuuzen tulichoamua cc kwa manufaa ya wengi ndo tutaendelea kukitekeleza.
  2. huyu wa pili anasema jamani pamoja na kwamba hata mimi nilihusika kupitisha hoja hii lkn kuna sehemu ya watu inaowahusu wanapinga na kuhoji juu ya azimio letu ebu twende kukawasikilize kuona nn awajaelewa,nn wanahitaji na nn wanadai.
katika hao huitaji degree ili uone nani ni dictator na nani anafuata utawala bora ili umuunge mkono.

"......LAKINI SISI TUMERUHUSU AKILI NDOGO KUTAWALA AKILI KUBWA!" Mh. Peter Msigwa.
 
Politicizing this issue will not help us. Kumbuka ushahuri wa Norway, masuala ya gesi/mafuta (na nafikiri resources nyingine) walikubaliana ziwe nje ya siasa. Kutusaidia na kuzuia ufisadi ni kuwa wazi zaidi katika masuala haya. Mkataba uwekwe wazi uonekane ni jinsi gani maslahi ya wananchi (na nchi) yamezingatiwa.

Bunge alikuwa na privilege ya kuona yaliyomo katika mkataba huo na inakuwa vigumu kushahuri ugiza. Wakati mwingine inashangaza kauli za wanasiasa na masabiki wao, ubadilika kufuatana na maslahi ya kichama au kibnafsi. Lakini ukiwa mkweli tu na kwa mtazamo wa jicho la tatu matamshi ya Mnyika Bungeni hayapingani na matakwa ya Wanamtwara. Wanamtwara sidhani Kama wanapinga bomba isijengwe bali wanataka kuona manufaa ya raslimali hii katika kubadilisha maisha yao na kuendeleza sehemu inakotokea. Serkali haijawa wazi Bali inaendelea na ahadi wakati watu wakiona gesi inaondoka kwa bomba! Je baada ya bomba what next?
 
Chadema wamejitokeza kuhamasisha watu wa Mtwara tusikubali ujenzi wa bomba la gesi. Waziri kivuli wa Nishati na Madini wa Serikali hiyo Mhe Mnyika ametoa matamko ya kuunga mkono hoja za watu wa Mtwara kuhusu kukataa ujenzi wa bomba la gesi. Lakini ni wazi kwamba Chadema hawasemi ukweli,ni vigeugeu, na wadandia hoja kwa ajili ya kutafuta umaarufu wa chapchap.

Ushahidi wangu huu hapa........angalia hansard uone walichosema Bungeni katika taatifa ya kambi rasmi ya upinzani Bungeni....

http://polis.parliament.go.tz/PAMS/docs/HS-8-34-2012.pdf

Mheshimiwa Spika, Kambi Rasmi ya Upinzani ilitaka kiwango cha bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kuongezwa ili vipaumbele vifuatavyo viweze kuzingatiwa kwa uzito unaostahili: Kuwekeza fedha za kutosha kwenye sekta ya umeme na Gesi ili kumaliza kabisa tatizo la nishati ya Umeme na kupunguza gharama za maisha.

Mheshimiwa Spika, hatua hizo ziambatane na kuwekeza katika Bomba la Gesi, pamoja na ujenzi wa mtambo wa kutengeneza Gesi (LPG extraction Plant) ili kuwezesha gesi kutumika kwenye magari, viwandani na majumbani; kuhakikisha tunazalisha 360MW za umeme kila mwaka ili kufikia malengo ya Mpango wa Maendeleo wa miaka Mitano na kumaliza tatizo la mgawo wa umeme na mwisho kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya usafirishaji na usambazaji wa umeme vijijini ili kuchangia katika ukuaji wa uchumi vijijini

Mheshimiwa Spika, mzigo huu usingekuwa mkubwa iwapo Serikali ingetekeleza katika mwaka wa fedha 2011/2012, maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani ya kuhakikisha nyongeza ya fedha kwenye bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa upande wa Sekta Ndogo ya Gesi kwa ajili ya mitambo ya umeme na kuharakisha kuwekeza katika Bomba la Gesi pamoja na ujenzi wa mtambo wa kutengeneza Gesi (LPG extraction Plant). Mheshimiwa Spika, kutokana na hatimaye Serikali kuzindua ujenzi wa bomba la gesi katika mwaka wa fedha 2012/2013 na ahadi ya Wizara ya Nishati na Madini kuwa ujenzi huo utakamilika katika kipindi cha miezi kumi na nane ijayo, Kambi Rasmi ya Upinzani inataka Serikali kutoa kauli ya uhakika kwa Taifa.

Mheshimiwa Spika, mradi mkubwa wa maendeleo ambao umepangwa katika mwaka wa fedha ni ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es salaam.

ambapo kwenye kasma 3162 umetengewa kiasi cha shilingi 93,000,000,000 huku kiwango kingine cha fedha za mradi huo kikitarajiwa kupatikana kutokana na mkopo kutoka nje. Mheshimiwa Spika, kutokana na unyeti wa mradi huo kwa mustakabali wa nchi na maisha ya wananchi wa sasa na baadaye, Kambi Rasmi ya Upinzani inaitaka Serikali kuwasilisha Bungeni na kuweka wazi kwa umma mkataba wa mradi husika ili Bunge liweze kuishauri na kuisimamia Serikali kuanzia katika hatua za awali kuhakikisha kwamba maslahi ya Taifa yanalindwa katika hatua zote na pia wananchi wananufaika kutokana na fursa za uwekezaji

Hivi watu wa wa aina hii wanaoadilisha misimamo kutokana na upepo, watafaa kweli kuongoza nchi?

Kaka naomba usome vyema maandishi hayo mekundu,pia zingatia maandishi ya blue then urudi bgmyo ukatafakari upya namna yako ya kutafakari kabla hujatafakari...................salimia saigon.
 
Back
Top Bottom