Mwanafunzimg
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 392
- 80
Sidhani kama hilo ndio lengo lake.
Kwa kuwa we ulikuwa karibu tupe lengo lake kwani kwa jibu lako inaonyesha una nyongeza ya jambo hili ambalo ujaliweka wazi
Sidhani kama hilo ndio lengo lake.
Nao wengine waliovaa sare za CHADEMA wote hao ni wabunge wa Iringa Mjini hivyo walipaswa kuwepo uwanjani? Kwani wabunge wanapotoka nje ya bunge huwa hawahusiki na kikao cha bunge kinachokuwa kinaendelea?
Vipi ukisikia kuna Sheikh anauza Kitimoto ingawa hali, wewe utamuelewaje? Jibu lake likiwa ni kwamba wanaouza ni watu wengine yeye anachukua hela tu, utamuonaje? self denial ni kitu kibaya sana. Leo kwenye Ratiba kulikuwa kunaonyesha kwamba Msigwa ataubeba Mwenge halafu yeye akakataa?
Mkuu Kigarama usisahau kuwa leo ni kumbukumbu ya kifo cha baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na maadhimisho ya kitaifa yamefanyika Iringa.
Sasa kwakuwa serikali imechanganya matukio yote mawili ndio maana unawaona makamnda hapo uwanjani na kudhani kuwa wameenda kuadhimisha mwenge kitu ambacho si sahihi.
Well Stated.labda tujiulize Msigwa kaenda kwa sababu ya kuzima mwenge
au kaenda kwa vile mwenge huo umezimwa katika jimbo lake?
ametumia busara kuwakilisha wananchi wake mbele ya rais.
Kuna mawili hapo kuukata mwenge na kuwakilisha wananchi mbele ya rais wao.
unaweza kuingia kanisani kwa heshima hata kama wewe sio mkristo wa dhehebu lile kama lengo ni uwakilisho wa jumuia yako.Haimaniishi kuwa pale anasapoti hilo litochi.
Hacha uongo wewe! Weka picha yoyote ambayo Msigwa kashika mwenge. Yeye kaenda kuazimisha miaka 14 ya kifo cha mwl Nyerere na ndo maana hajavaa hizo pamba za Mwenge. CCM hacheni siasa za majitaka haziwasaidiiMkuu Mwita,
Hata mimi ningeamini hivyo ulivyonena bahati mbaya haikuwa hivyo kwa mheshimiwa huyu mchungaji. Msigwa kashiriki bega kwa bega kuanzia kukabidhiwa mwenge kwa Manispaa ya Iringa hadi Taifani.
Msigwa kaenda kuazimisha miaka 14 ya Mwl Nyerere siyo kwa ajiri ya ilo limoto sijui karabaiChadema haikubaliani na mwenge na ndio maana nimeshangaa kumuona Mch. Msigwa kwenye hii shughuli.
Msigwa hakuufata mwenge, mwenge umemfuata msigwa!Mkuu Mwita,
Hata mimi ningeamini hivyo ulivyonena bahati mbaya haikuwa hivyo kwa mheshimiwa huyu mchungaji. Msigwa kashiriki bega kwa bega kuanzia kukabidhiwa mwenge kwa Manispaa ya Iringa hadi Taifani.
Kuwa Chadema lazima uwe na akili kama ya funza
Sasahapa hoja yako ni ipi na unashangaa nini? Kakataa kuubeba kwasababu hausapoti FULL STOP. Yeye alienda pale kuazimisha miaka 14 ya kifo cha Mwalimu kama Mbunge na Kiongozi wa Chadema. Hacha uzandiki!Vipi ukisikia kuna Sheikh anauza Kitimoto ingawa hali, wewe utamuelewaje? Jibu lake likiwa ni kwamba wanaouza ni watu wengine yeye anachukua hela tu, utamuonaje? self denial ni kitu kibaya sana. Leo kwenye Ratiba kulikuwa kunaonyesha kwamba Msigwa ataubeba Mwenge halafu yeye akakataa?
Vijana wa Chadema watakujibu mimi sina chama
ninaujua msimamo wa Msigwa na pia ni mtu anaejua umuhimu wa uwakilishi.
Kumsusia rais sio jambo jema akiwa jimboni mwake
yeye hana ugomvi na JK ana ugomvi na mwenge.
labda nikuulize kama huli kitomoto kisha nkakualika kwangu kwa mazungumzo hutakuja kwa vile nakula kitimoto??
utakuja tutaongea lakini kitimoto changu hutakigusa na hakitakuathiri ukiwepo...
Kama tungemuona Msigwa akiunyanyua mwenge huo ndio tungehoji uhalali wa kauli zake kama anasimamia anachosema
Mchungaji Msigwa ni kigeugeu tarehe 13.10.2013 alikuwepo maeneo ya Stand Kuu ya Mabasi pia kwa nyakati tofauti alienda kwenye kijiwe cha CDM maeneo ya Mashine za Mchele Mlandege,kwa mdomo wake aliwaambia VIjana wasusie kwenda kwenye Mwenge WAWEPO WATU WACHACHE kisha serikali itaona kuwa watu wa Iringa hawaupendi Mwenge,na aliwanunua kwa kuwapa Bendera mpya na kofia.Ameproove failure kwa kuwa vijana wengi ndo walikuwa mstari wa mbele hata wengine walidiriki kusema walikubali kwa kumbeza,kisha wakahudhuria na kumuomba kupiga naye picha huku wakimuuliza HAA MHESHIMIWA KUMBE ULIKUWEPO

Khaa!! mnazungukazunguka tu na kutoa sababu nyingi juu ya huo mwenge. Mnadhani hatuna akili? Kitu chochote kisicho na ulaji kwako kinakuwa hakina maana kwako. Kiasili mwenge ulianza wakati wa mfumo wa chama kimoja, hivyo wahudumu wake wote walitoka ccm na hadi sasa bado wanaopata ulaji kwenye mradi huo wana sura za kiccm na hapa ndiyo tatizo cdm lilipo kwa sababu wao wamekosa nafasi za ulaji kwenye huu mradi. Labda ulaji kwenye mradi huu wa mwenge ungegawanywa kwenye vyama vyote ilitutoe ajira za kisiasa zaidi kama kawaida yetu ili kupunguza hizi kelele kelele 😎labda tujiulize Msigwa kaenda kwa sababu ya kuzima mwenge
au kaenda kwa vile mwenge huo umezimwa katika jimbo lake?
ametumia busara kuwakilisha wananchi wake mbele ya rais.
Kuna mawili hapo kuukata mwenge na kuwakilisha wananchi mbele ya rais wao.
unaweza kuingia kanisani kwa heshima hata kama wewe sio mkristo wa dhehebu lile kama lengo ni uwakilisho wa jumuia yako.Haimaniishi kuwa pale anasapoti hilo litochi.
Kuwa Chadema lazima uwe na akili kama ya funzaNa kuitetea CHADEMA inatakiwa uwe na akili ya msukule!