Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Alikwenda kuakikisha nini kinaendelea jimboni kwake, ili kesho akiulizwa asije akatumia lugha ya ikulu "nimeambiwa, nimeambiwa, ni............"
Bidyabalevya, mmesha ambiwa kulikua nashughuli mbili. ya uzimaji mwenge na kumbukumbu ya baba ww taifa serikari ilia muakufanyazote kwa pamoja. Mbona Wewe na mwenzako maboso mnalazimisha Kuwa Msigwa alienda kwaajili ya Mwenge wakati si kweli. Mnaanza kuonyesha Mnachuki tu ninyi.