Elections 2010 CHADEMA na madiwani Arushaa

Acha hasira kwani slaa na wewe mpoje? please declare hizo interest sisi tunaona hivyo kwa uhusiano wa matukio na maamuzi mengi ya hovyo yayotolewa kwa mtu kukomaa na mishipa kumtoka kama makamba vile
kwani una Id mbili?
Sidhani kama kuna sehemu nimeonesh hasira. Slaa pia ni katibu mkuu. Kwa hiyo sioni tatizo akiwajibika ktk nafasi yake. Kama kuna kitu hakiko sawa unaweka wazi badala ya majungu kama haya.
Plus sina interest yoyote na Slaa. Hata kama wewe ukitendewa hivi nitasema!
 
Narudia Slaa is an organic like other human,very sorry for those who feel the guy is an ''angel''.Consider politics as a game of playing with people's mind.Those who believe more on him might fall abruptly once they find, he is no longer doing as what they ought him to do.Come on people let us figure out on what Jk is doing now (he had mass attraction on his inception) real it is ''broken heart'' for those felt on him!
 
Slaa is an organic like other human,very sorry for those who feel the guy is an ''angel''.Consider politics as a game of playing with people's mind.Those who believe more on him might fall abruptly once they find, he is no longer doing as what they ought him to do.Come on people let us figure out on what Jk is doing now (he had mass attraction on his inception) real it is ''broken heart'' for those felt on him!

Duh, sasa sijui hii lugha iliyotumika hapa ndio ipi au kuna lugha mpya ya kifisadi imeibuka Tanzania. Apolycaripto hebu tumia lugha inayoeleweka tuweze kuchangia.
 
Back
Top Bottom