Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,695
- 830,696
- Thread starter
- #41
Katiba inaruhusu hili?
MSILEWE CHENGA ZA CCM. Habari hapa ni katiba bora sio ya akina sita. Tunataka katiba ambayo mtu kabla kugombea AJIHOJI na asikimbilie.
Tunataka katiba itakaweka uongozi wowote uwe WITO na sio mtaji wa kutajilisha ukoo.
Tunataka katiba inayopunguza mapato ya viongoz ili wabaki wale wenye wito.
Mambo ya katiba kwasasa tumechelewa tuna vingi vya muhimu vya kufanya... Katiba inahitaji muda, weledi, hekima na maridhiano ya kitaifa. Tuwekeze kwenye uchaguzi kwasasa ili upite kwa amani halafu katiba itafuata, tuwe na mipangilio katika mambo