Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
Mambo ya kiuchumi CDM hawawezi kutoa kauli yoyote wao wana subiri maandamano tu..
Wewe unadhani mtu kama Heche ataongea nini kwenye uchumi wa nchi hii.
Yeye anachojua ni kufoka na kuvaa magwanda tu
Na ndio maana huku duniani kila mtu kaja kutimiza aliloletwa kutimiza na wapo wachumi wa kufanya kazi zao na kama wameshindwa basi wapo watakao piga kelele na kuandamana kama wachumi wametupeleka hapa tulipo na hao wana siasa wao wategemea nini Mkuu??
Au nawe wafurahia nchi uchumi kushuka tuu na hakuna suruhisho lolote kutoka kwa viongozi wetu tulio wapa dhamana ya kutuongoza???
Uchumi sio tuuangalie kwa kutizama graph ya GDP tuuu bali hata tufike basi huku chini kwa raia wetu psychically tuoanishe kweli kipato kinamtosha huyu mwananchi au kwa life style aliyo nayo currently???
Swala la kiuchumi ni la kitaifa sio liwe la mtu mmoja mmoja hatuto toka wananchi twatakiwa kuwa kitu kimoja pale viongozi wetu wapo tupeleka sipo tuwa na kuthubutu na kusema nooooooo