CHADEMA na kichaka cha "vikao halali vya chama"

CHADEMA na kichaka cha "vikao halali vya chama"

Kama hitler alianza hivo... Sasa maendeleo ya germany unalingana nao???
 
Ushahidi wa wazi ni pale Zitto Kabwe ambaye ni Naibu Katibu Mkuu alipomwandikia Dr Slaa ambaye ni Katibu Mkuu barua binafsi ya kuomba chama kimsimamishe uongozi Lwakatare kutokana na kupatikana video akijihusisha kupanga njama za kumdhuru Denis Msacky. Hawa kama ni viongozi wa karibu, ilishindikana hayo aliyokuwa nayo Zitto kueleza ndani ya hivyo unavyoita vikao halali? Mbaya zaidi, ile barua baada ya kuiwasilisha kwa Katibu Mkuu, barua hiyo ilitundikwa mtandaoni na Mtu ambaye anadhaniwa kuwa ni Katibu Mkuu kupitia Id fake. Kwangu nilitafakari sana tukio lile na nimebaini yafuatayo
  1. Viongozi wa ngazi za chini wa CHADEMA hawana uhuru wa kueleza jambo mbele ya viongozi wa juu
  2. hakuna mawasiliano ya ana kwa ana baina ya Dr Slaa na Zitto
  3. homa ya uchaguzi mkuu inafanya viongozi wa juu wajenge hofu kwa viongozi wa chini

Wewe kweli mbulula.
Zitto aliandika barua akiwa National service. Hakuwa ofisini.
Ulikuwa hutaki zitto atoe maoni yake kwenye sakata lile!? Aubulitaka akimshauri katibu mkuu basi akubali hapo hapo.

Sema jingine.
 
Mkuu salaam!!!!

Kuelewa ni uchaguzi na kwa sasa sio chaguo upande huo!!!!!

salaam mkuu

kuna vitu ni ishara ya nini watu watafanya wakipata madaraka

sasa hali hii jiulize wakisikia wanachama wa ccm wanataka kuandamana
na wao ndo wameshika dola....itakuwaje?
 
kwa wakati tulionao sasa na hasa kwa siasa za tanzania kwa sasa kwa maoni na muono wangu napendekeza uongozi wa CHADEMA WA JUU ubaki kama ulivyo, nimekuwa napata tabu sana na hasa watu wenye siasa nyepesi za kuamini kwamba mbowe na dr slaa wakitoka katika uongozi wa juu ndo mambo yatakwenda, hizi ni fikra finyu sana na ni akili za mbayuwayu, kwa upepo wa siasa za tanzania kwa sasa ni muhimu kwa uongozi wa juu wa chadema ukabaki kama ulivyo kwa miaka mingi ijayo kwani hata mwalimu nyerere alivyokuwa anaijenga CCM alikubali kuachia uraisi na kujikita kukijenga chama sasa leo viongozi wa juu wa chadema wanajitahidi kukijenga chama halafu watu wenye siasa nyepesi wanajaribu kuwayumbisha kimakusudi HII HAIKUBALIKI tukubali ukweli kwamba viongozi wanajengwa hivyo ni muhimu kwa watu na wanasiasa wote wa chadema wanaoutaka uongozi wa juu kuwa wapole kwa sasa na kutoa ushirikiano kwa uongozi wa juu tukubali kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha USHAURI WANGU KWA WOTE WANAOTAKA UONGOZI WA JUU CHADEMA KWA SASA WAACHE WAJIKITE KATIKA KUIMARISHA CHAMA VIJIJINI...
NAWASILISHA
 
Hapo kwenye RED ni moja ya hoja ambazo huwa zinaniacha hoi sana; "kuna mkono wa CCM!" Kila linalotokea, ni lazima waihusishe CCM as if wanachama na viongozi wa CHADEMA can easily be manipulated or placed a price on top of their integrity!! Kama ulivyosema, hiyo nayo ni aina nyingine ya kuziba watu midomo coz' mtu ukifunguka lazima uonekane umenunuliwa na CCM hata kama hakuna kitu kama hicho!

Lakini kwa upande mwingine hii tabia ya kusukumizia matatizo sehemu nyingine inadhihirisha udhaifu katika uongozi. Kiongozi ni lazima apigane kufahamu chanzo cha matatizo na kuyatafutia ufumbuzi badala ya kukimbilia kutoa majibu mepesi kwamba "hawa wamenunuliwa na CCM!"

Mkuu hivi unafikiri kuongoza chama cha siasa pinzani na ccm kwa mazingira ya Tanzania ni rahisi? Na tunataka majibu mitandaoni kwenye watu wanye uelewa kama wa kumbikumbi.

Hilo tu mkuu.
 
salaam mkuu

kuna vitu ni ishara ya nini watu watafanya wakipata madaraka

sasa hali hii jiulize wakisikia wanachama wa ccm wanataka kuandamana
na wao ndo wameshika dola....itakuwaje?

Opt for a lesser evil....which is ccm.
 
salaam mkuu

kuna vitu ni ishara ya nini watu watafanya wakipata madaraka

sasa hali hii jiulize wakisikia wanachama wa ccm wanataka kuandamana
na wao ndo wameshika dola....itakuwaje?

Kaka hawa jamaa huwa wazuri sana kujenga hoja pindi wanapotaka kukosoa serikali au chama dola,au kulipua madudu!!!!

Mimi huwa nategemea umakini ule na umoja ule ule panapotokea sintofahamu kwao lakini huwa ni kama wanapoteana au hawataki ku adress issues once and for all,mimi hili naona pungufu kubwa sana!!!

Hili la kupigana litaendelea sababu lilipoanza halikupata katazo (unless nilipitwa)!!!!!

Maadam na sisi tunawajibika kutoa maoni basi tutimize wajibu wetu!!!!
 
Mkuu, nimetafuta kitufe cha Like sijakiona. Hakina unastahili like yangu na umeongea jambo la maana sana. Yaani siku hizi Ben Saanane ndo amekuwa msemaji wa CHADEMA! Na haya anayojibu yamepitia vikao halali vya chama? Je haya ayasemayo Ben Saanane hayapingani na katiba ya chama?

Nadhani like yako imelenga hapa...

...."Wewe upo hapa (nadhani ulimaanisha Ben yuko www.jamiiforums.com kujibu hoja) unajibu hoja nyingi za chama na.viongozi as if umeagizwa mbona hao viongozi hawakukemei kuwasemea???!!!!! Katiba inasemaje juu ya viongozi kushutumiwa na.kukaa kimya wao instead watokee watu binafsi kuwajibia!!!!!??????"....

Na mimi ninakueleza hivi ... Kuna utaratibu ambao ni wa kawaida kwa viongozi walio wengi wa vyama na serikali kujibu hoja wanazoletewa. Kama hoja/kero imepitia JF kwa mfano utaratibu aliuotumia Maskini Mkulima akiwalenga viongozi wakuu wa Chadema...mtu yeyote anaweza kujibu hoja hiyo kwa namna anavyodhani yeye. Katika hoja nyingi nilizowahi kuzisoma za Ben hakuna mahala anapoeleza kuwa..." mimi kama mwanachama wa CDM ninamjibia Mh. Mbowe au Mnyika au hata Zito hoja hii iliyoko jukwaani kama ifuatavyo...". Posts zote nilizosoma mara zote huwa ni mawazo yake binafsi.

Kwa namna ulivyokusudia kumpa 'like' huyo OLESAIDIMU basi unataka sasa kuanzia sasa hoja zote zinazojibiwa (katika mfumo wa maoni yao binafi) na Ritz, faiza Foxy @ Ze Ma...so, chama...na wengine ambazo zinawalenga viongozi wa CCM mfano M/kiti, nakadhalika...tuzichukulie ni kauli za viongozi wao.

Ebu jaribu kurekebisha hili na uelewe....Ben hayuko jukwaani kuwajibia viongozi wake ....pia na mimi siko hapa kumjibia Ben hoja zake...haya ni maoni yangu binafsi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hivi unafikiri kuongoza chama cha siasa pinzani na ccm kwa mazingira ya Tanzania ni rahisi? Na tunataka majibu mitandaoni kwenye watu wanye uelewa kama wa kumbikumbi.

Hilo tu mkuu.

Kaka heshima!!!!...lakini unapoanza kuwaza kufanya jambo si unaweka na changamoto na jinsi ya kuzitatua kabisa ili kuondoa hili la kusema kazi ni ngumu wakati ushaianza????!!!! Na unakuwa flexible ili kuweza kwenda na mazingira,wakati na kubaki mstarini kwa manufaa ya washikadau????!!!

Huu uelewa wa kumbi kumbi si ndio huandaliwa mikutano na kutumia pesa ili kuwaelewesha! !!!Leo wamekuwa hawafai kiasi hiki????!!!! Hawa uelewa wa kumbi kumbi ndio hutoa na vipato vyao kuwezesha shughuli za wenye uelewa wa binadamu kumbe inafahamika kabisa huwa hawaelewi???!!!

Anyway yawezekana!!!!!
 
makaburu walikuwa wame plant watu ndani ya ANC
na hata kuwa na death squads lakini Mandela hakurudi kwenye mbinu za kunyamazisha wapinzani wake

alibaki kwenye mstari mmoja tu...hadi wakafika...
 
Nadhani like yako imelenga hapa...

Na mimi ninakueleza hivi ... Kuna utaratibu ambao ni wa kawaida kwa viongozi walio wengi wa vyama na serikali kujibu hoja wanazoletewa. Kama hoja/kero imepitia JF kwa mfano utaratibu aliuotumia Maskini Mkulima akiwalenga viongozi wakuu wa Chadema...mtu yeyote anaweza kujibu hoja hiyo kwa namna anavyodhani yeye. Katika hoja nyingi nilizowahi kuzisoma za Ben hakuna mahala anapoeleza kuwa..." mimi kama mwanachama wa CDM ninamjibia Mh. Mbowe au Mnyika au hata Zito hoja hii iliyoko jukwaani kama ifuatavyo...". Posts zote nilizosoma mara zote huwa ni mawazo yake binafsi.

Kwa namna ulivyokusudia kumpa 'like' huyo OLESAIDIMU basi unataka sasa kuanzia sasa hoja zote zinazojibiwa (katika mfumo wa maoni yao binafi) na Ritz, faiza Foxy @ Ze Ma...so, chama...na wengine ambazo zinawalenga viongozi wa CCM mfano M/kiti, nakadhalika...tuzichukulie ni kauli za viongozi wao.

Ebu jaribu kurekebisha hili na uelewe....Ben hayuko jukwaani kuwajibia viongozi wake ....pia na mimi siko hapa kumjibia Ben hoja zake...haya ni maoni yangu binafsi.

Na hao uliowataja mkuu ni wanachama wa kawaida kwa upeo wako na uzoefu wa humu kuzingatia maandiko yao,nguvu ya maandiko,attittude yao,zeal na committment juu ya chama na viongozi,aina ya uandishi na vitu kama hivyo??????

Kama hawa ni wanachama wa kawaida kwa upeo wako basi chama kimeiva!!!!
 
Last edited by a moderator:
....

Kama hawa ni wanachama wa kawaida kwa upeo wako basi chama kimeiva!!!!
Hoja kuu ya post yangu ni kuwa Ben hayuko jukwaani kuwajibiwa viongozi wake wakuu wa chama hoja zinazoelekezwa kwao..yeye anatoa maoni yake binafsi.

Suala la kusema Ritz na wenzake kuwa si wanachama wakawaida ndani ya chama chao...haihalalishi hoja wanazojibu hapa jukwaani zikiwalenga viongozi wa chama chao kuwa kauli za viongozi wa chama tawala.

Vinginevyo uueleze ulimwengu kupitia JF kuwa Ritz na wenzake ndiyo viongozi wakuu wa Chama cha CCM....
 
makaburu walikuwa wame plant watu ndani ya ANC
na hata kuwa na death squads lakini Mandela hakurudi kwenye mbinu za kunyamazisha wapinzani wake

alibaki kwenye mstari mmoja tu...hadi wakafika...

Mkuu wakati mwingine Copy na paste ya mbinu zina madhala sana hasa kwenye masuala yenye ...'parameters' zinazo badilika badilika. Mbinu ya Mandela kwa sasa itakuwa vigumu sana kui'paste' kama ilivyo huku kwetu Tanzania.
 
we unaona mwenyekiti wa chama kitaifa 'kupigana ngumi ' na mwenyekiti wa chama mkoa
na wabunge ni mbinu sahihi ya kuendesha chama?
 
Naunga mkono hoja, kuwa ikiwezekana uchaguzi ndani ya CDM ufanyike baada ya uchaguzi mkuu wa 2015. Hata hivyo, kanuni, taratibu na katiba ya chama inahitaji kufuatwa katika hili. Kama kuna haja ya kufanya mabadiliko ili kukidhi matakwa ya kikatiba, basi yafanyike katika vikao halali vya chama.
 
Walimu wako walipata shida sana

Hoja ninazojibu hapa ninajibu kwa uelewa wangu na tangu nimejiunga JF mwaka 2007 nimekua nikifanya hivyo.Unataka wanikemee kwa lipi?Kuipigania nchi yangu kwa hoja?Kukitetea na kukilinda chama changu ambao ni wajibu wa msingi kwa mwanachama kikatiba?

Unaongelea kubadili katiba?Hili limekujaje hapa?Huwezi hata kujieleza
Ben, pamoja na kujitahidi kujibu maswali na hoja za wadau humu ndani huku hoja nyingi ukizipinga but they have a point, kuna watu wanaongea ukweli humu but wanashindwa kuuprove ukweli wao kwa kuwa hawana ushahidi mkononi lakini wanaongea kitu ambacho kipo na ambacho jamii inakiona, pamoja na kujitahidi kukitetea chama chako humu, jitahidi pia na kuyafikisha mawazo haya kwa uongozi wako wa juu ya myafanyie kazi.
kumbuka Beni, migogoro ikitumika vizuri itawajenga lakini pia ikitumika vibaya itawabomoa!
kazi kwenu!
 
Back
Top Bottom