Elections 2010 CHADEMA na kampeni kwa njia ya Mtandao

if ISLAM is Peace, wewe hustahili kabisa kuwa mwislam, am sorry to say that MAlaria Sugu
 
Nlishasahau kama Prof yupo anagombea..
Thanx BBC kwa kutukumbusha...
 
dr slaa ni silaha ya sumu kwa ccm,uwezo wa kikwete tumeuona ndani ya miaka mitano ya utawala wake ambao yeye amekiri alikuwa anajifunza bado,slaa ni kichwa ni mkombozi wa wote,toa ujinga malaria sugu
 
Chama kina sura ya ajabu huku bara - anyway Lipumba sindikiza wagombea. bado misimu mingine miwili hivi utakuwa umezeeka ujumuike kwenye kundi la kina Mrema.
 
KURA YA MAONI

Mgombea yupi utampa kura yako ya Urais 2010?


Jakaya Kikwete 7%


Willbrod Slaa 88%


Ibrahim Lipumba 4%


Mutamwega Mugahywa 0%


Hashim Rungwe 1%


Paul Kyara 0%


Christopher Mtikila 1%


Peter Kuga Mziray 0%


Total votes: 339
 
kwa hivyo tusiihusishe cuf na udini?

Kwa nini tusiihusishe na udini, Chama chochote kinachofanya kampeni Kanisani au Msikitini ni lazima kina mahusiano ya moja kwa moja na udini. James Mapalala aliondokaje CUF kama sio sababu hizo za udini?
 
Kikwete ni Mgojwa wa akili, madaktari wake waliisha sema hilo hili hupelekea kupoteza utashi na kuwa na maamuzi yenye busara, nasubiria anze kuanguka tena wakati wa kampeni.

Slaa is my President!
 
Nguvu ya internet sio ya kupuuzwa ndugu zangu, eti kwa sababu wanaotumia ni wachache. If that was a case, sasa hivi tunachat kwa sababu ya net. Hakukuwa na haja ya kufungua website kama tunadhani haiongezi value.. come on people....
 
Jana nilimsikia Mh. Lipumba kwamba Dk Slaa sio tishio ktk siasa, utishio wake unakuja kwenye magazeti na vyombo vya habari na sio kwenye ulingo wa kisiasa.

Alisema Chadema ni wazuri katika kumili vyombo vya habri na kuvilaumu vyombo hivyo kwa kutomuandika yeye. Alisema kuna TV moja tayari imepata amri kutoka kwa mmiliki kutomuonyesha yeye. sijui tv gani hiyo kwani jana nilimuona ktk tv ya itv na Star TV.

Alisema kujenga hoja kwenye ubunge sio sawa na mapambano kwenye irais, na hivyo Dk Slaa sio tishio kabisa kwa Jk na kwake.

kuhusu kuunganisha na kumuachia Dk Slaa alisema Dk Slaa kaibuka ghafla kwa hivyo kunamfaya hata kutokuwa na mgombea mwenza makini jambo linalomfanya kutokubali kumuachia yeye.
chadema kijiba hichooooooooooooo kichomoeni
http://www.malariasugu.blogspot.com/

source: mahojiano yake na bbc jana jioni

Mfa maji haishi kutapatapa! Huyu Lipumba ana kitu gani cha Siasa cha kuvutia? Wabunge wenyewe anashindwa kuwapata! Tangu upinzani uwepo anajitokeza kugombea na hajafikia hata robo ya kura za watanzania. Sasa asubiri mwaka huu hata kama Dr. Slaa hatapata ushindi but ataitingisha CCM na wabunge watakuwa wengi. Majibu ya yote ni October mzee Lipumba. Yaani wewe kila siku unajiona huo Uprof utakupa tiketi ya urais, pole sana. Huna lolote zaidi ya kujikomba!! CUF kwishney! Nendeni mkasaidie vita vya ukombozi Pakistan, Kosovo, Dufur, na nchi zote za Kiislam. Nakumbuka majina ya mashina ya CUF yalikuwa kituko, CUF COSOVO, CUFU Chechnya, CUF sijui wapi na ile alama yao ya hatari! Kama kweli wewe ni PRof wa ukweli basi ile alama ya scull kwenye baadhi ya mambo yenu mngeiondoa, You are scaring Tanzanians!

Mtaa wangu wote na ndugu zangu hata kama ni CCM nitawashawishi na wataipigia kura CHADEMA. Nimeshaanza kampeni long time. Mwaka huu nitapiga kura baada kuacha zoezi hili kwa muda. Wanajamvi wenye mapenzi mema na nchi hii na wenye uchungu na nchi na rasilimali zake kuuzwa kama maharage basi na tuungane tumpigie Dr. Slaa na wabunge wake kura ya "NDIYO".



 
Jana nilimsikia Mh. Lipumba kwamba Dk Slaa sio tishio ktk siasa, utishio wake unakuja kwenye magazeti na vyombo vya habari na sio kwenye ulingo wa kisiasa.

Alisema Chadema ni wazuri katika kumili vyombo vya habri na kuvilaumu vyombo hivyo kwa kutomuandika yeye. Alisema kuna TV moja tayari imepata amri kutoka kwa mmiliki kutomuonyesha yeye. sijui tv gani hiyo kwani jana nilimuona ktk tv ya itv na Star TV.

Alisema kujenga hoja kwenye ubunge sio sawa na mapambano kwenye irais, na hivyo Dk Slaa sio tishio kabisa kwa Jk na kwake.

kuhusu kuunganisha na kumuachia Dk Slaa alisema Dk Slaa kaibuka ghafla kwa hivyo kunamfaya hata kutokuwa na mgombea mwenza makini jambo linalomfanya kutokubali kumuachia yeye.
chadema kijiba hichooooooooooooo kichomoeni
http://www.malariasugu.blogspot.com/

source: mahojiano yake na bbc jana jioni

Malaria haikubaliki
 
Lipumba mwenyewe hafai na wala hauwezi hata uenyekiti wa serikali ya mtaa. Hata akigombea ujumbe kule Ilulangulu tabora, kijijini kwake hawezi kushinda. Kama unabisha kamwuulize Profesa Safari.
 
Kwa kuwa tunaheshimu uhuru wa mtu kutoa fikra zake basi na huyu naye katoa zake. Lipumba kagombea uraisi mara 3 nafikiri, hii ni ya 4. Nafahamu anajua wazi kuwa anasindikiza wenzie, hamna chochote kinachoweza kubadilisha taswira yake kwa Watanzania. Sasa kama ni Professor hawezi kufanya hii simple analysis ataweza kweli kufanya maamuzi gani hata kama akilala na kuamkia Ikulu? Hapa ndipo wanasiasa wetu wanaponikera, anajua kabisa hii ndio Golden chance ya kuangusha Mbuyu, jitoe kwenye kinyanganyiro muunge mkono Dr. Slaa kama kweli nia ni kuiondoa CCM madarakani, otherwise asitudanganye kuwa kuiondoa CCM ndio lengo lao, ni mshiko tu.
 
Badala ya kuwa na uchungu na maendeleo ya nchi, eti kila chama kina kimbilia kusimamisha mgombea urais kisa ruzuku, tunaenda wapi wapinzani? yaani ruzuku ni bora kuliko mapinduzi ya kimaendeleo. Na huko kwenye usimamizi wa kura sijui itakuwaje ili wasije kutuibia kura na haki yetu tutakayo pewa na wananchi.
 
Back
Top Bottom