CHADEMA na idara ya ideology and publicity: Giza nene!

..yaani uwe kwenye chama cha Upinzani, halafu Raisi na serikali wanaboronga kiasi hiki MUNGU akupe nini tena?
 
Kwa hilo nawasifu CDM, Idara za uenezi z vyama vingine huwa hazienezi habari ndani ya vyama vyao bali ni walumbanaji! completely 180 ya shughuli wanazopaswa kuzifanya.
Angalau wa CDM siyo mlumbanaji...... inaonyesha anajua anachotakiwa kukifanya, na mipaka yake.
 
Anachotakiwa kukifanya ni nini na mipaka yake ni ipi na inahusiana na nani na hao ambao wanatoa matamko kila kukicha mipaka yao ni ipi. Hapa kulikuja thread ya kuhoji ni kwa nini ni Mnyika na si Zitto ambaye huwa kila mara anakaimu nafasi ya Katibu Mkuu, hakuna jibu la maana lililotoka.

Tuache ushabiki kwenye masuala magumu na ya muhimu kwa ujenzi wa demokrasia ya kweli hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom