CHADEMA na fukuza fukuza

CHADEMA na fukuza fukuza

kwa akili yako,. hata kama ukikesha unasoma hili bandiko langu, hutaweza kupata msingi wake. you have a super ordinary mind, poor you

Nyie mmezoea kuwafuga ndo maana kuna mafisad watoto na mafisad papa!!mguse chenge....lowasa.....rostam utasikia nchi itatikisika!!cuz ya ujinga wenu wa kufuga mafisad....fukuza toa adhabu wengn wajifunze.....
 
Habinder Singh Sethi mnamuota wachagga, na mnavyopenda pesa.

Bado wewe upo kwenye zile zama za kusema wachagga wanapenda pesa!! Ilikuwa ni siku zile za giza kwa makabila mengi ya tz yaliyokuwa hayajui pesa maana yake ni nini. Ndio waliosema vile vile mchagga mwizi kwani hawakujua pesa zinapatikana kwa kazi na sio kukaa chini ya miembe na minazi
 
Mchagga mpaka kesho babangu mungu walai.
 
Back
Top Bottom