sandy candy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 490
- 89
Akaunti ya escrow wachagga inawatesa sana, Mzee Mengi, a man behind the music, ni mhehe.
Faiza foxy English inakutesa mno duuu
Akaunti ya escrow wachagga inawatesa sana, Mzee Mengi, a man behind the music, ni mhehe.
Chadema ni kampuni ya wachagga.
CCM ni kampuni ya Sing seth
Chadema ni kampuni ya wachagga.
Chadema ni wajinga sana
CCM ni kampuni ya Sing seth
Nimewadharau sana chadema kwa kufanya maamuzi pasipo kuwa na data za kutosha kwa kufanya maamuzi kwa emotions zaidi.
CHADEMA imefukuza tena baadhi ya wanachama wake kwa kile kinachosemekana kuwa walihujumu chama wakati wa uchaguzi mdogo.
Kimsingi imekuwa ni kama taratibu ya chadema kufukuza wanachama kila baada ya tukio kubwa la kisiasa au mgogoro ndani ya chama. Sina nia ya kutetea hujuma (kama kweli zipo)lakini napinga huu utaratibu wa fukuza fukuza kugeuzwa kuwa ndo njia sahihi ya kushughulikia wanachama.
CDM inazidi kukua na kuenea ndani na hata nje ya nchi, na pia imeingia katka makubaliano yaliyoanzisha umoja wa UKAWA. Kwa hatua hizi, ni wazi kuwa sasa chama kinazidi kuwa na wanachama wengi na wenye mawazo mbadala katika kufikia malengo. Lakini pia wote tunakubali kuwa chama hakiwezi kuendeshwa kwa mawazo ya watu yenye muelekeo na mtazamo mmoja tu.
Yafuatayo nimadhara ya fukuza fukuza za chadema
NOTE: Ukomavu, ushupavu, ukuu na uwezo wa kiongozi yeyote hauthibitishwi katika kuadhibu tuu,kwani walio legelege hufanya hivi pia ili waonekane kuwa ni wakuu na wenyeuwezo, kiongozi shupavu husikiliza napia kusamehe ili wakosaji wapate kujifunza katika busara , na hekima zake
- Kwa sababu wanachama hufukuzwa ghafla tu a.k.a (summary dismissal) , kwanza inajenga nidhamu ya uoga ndani yawanachama, hasa kwa wale wa chini.
- Pili, mpaka sasa ndani ya chama wanachama wanaogopa kutoa mawazo mbadala,hata kama ni ya kujenga, kwa kuogopa labda kuitwa waasi, wahujumu na kufukuzwa
- CCM wanatumia udhaifu huu wa chama kuhujumu baadhi ya maeneo kwa kutumia mamluki ili kuwafanya baadhi ya viongozi waaminifu wa chama waonekane ni wasaliti au wahujumu kwa mategemeo kuwa lazima watafukuzwa baada ya hapo.
- Utaratibu huu utafanya wanachama wa chadema kushindwa kushiriki kikamilifu katika umoja wa UKAWA, kwani hawako huru kutoa maoni yao ya kisiasa hasa pale swala linalojadiliwa linapokuwa halipendwi na mwenyekiti au katibu wa CDM
- Baadhi ya wanasiasa wakubwa nchini,ambao wangependa kujiunga CDM wamekuwa wakisita sana kutokana na huu utaratibu wa chama. Wanasiasa wengi wangependa kuachana na Magamba, lakini wanasita kujiunga cdm kwa sababu ndani ya chadema tayari kumekuwa na jamii ya watu ambao ndio wenye uwezo wa kusema na kutengeneza mambo, na ukiwapinga hata kama kwa nia njema unatimuliwa.
- Chama kitakufa. kutokubali hoja mkinzano ndani ya chama ni kukubali kujenga kabuli la chama. Ili chama kiendelee ni lazima watu wawe na uhuru ulio sawa wa kujadili na kupendekeza mambo
- Fukuza fukuza hii inawatisha wakinamama na wanawake ambao ni wanachama muhimu tunaowataka ili kuchukua nchi 2015.
- Baadhi ya viongozi wenye tofauti za kimahusiano wanautumia mwanya huuu kuwashughulikia maadui zao kisiasa
Nawasilisha.

Unauhakika kuwa hawakufanya uchunguzi au umekurupuka tu

Toka apa na lithread lako libovu....
Watu wamefanya makosa waachwe tu et chama kisibomoke?hata ufisad na kulindana ndan ya ccm ulianza kidogo kidogo lakin sasa hiv n issue serious kisa wale wachache hawakusafishwa!!
Hauwez ukajua ni kias gan nilivoumia wilaya nzima ya kilindi ccm kupita bila kupingwa! Same na mwanga...na wilaya nyingine ccm kupita bila kupigwa