CHADEMA na fukuza fukuza

CHADEMA na fukuza fukuza

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,836
Reaction score
1,846
CHADEMA imefukuza tena baadhi ya wanachama wake kwa kile kinachosemekana kuwa walihujumu chama wakati wa uchaguzi mdogo.
Kimsingi imekuwa ni kama taratibu ya chadema kufukuza wanachama kila baada ya tukio kubwa la kisiasa au mgogoro ndani ya chama. Sina nia ya kutetea hujuma (kama kweli zipo)lakini napinga huu utaratibu wa fukuza fukuza kugeuzwa kuwa ndo njia sahihi ya kushughulikia wanachama.

CDM inazidi kukua na kuenea ndani na hata nje ya nchi, na pia imeingia katka makubaliano yaliyoanzisha umoja wa UKAWA. Kwa hatua hizi, ni wazi kuwa sasa chama kinazidi kuwa na wanachama wengi na wenye mawazo mbadala katika kufikia malengo. Lakini pia wote tunakubali kuwa chama hakiwezi kuendeshwa kwa mawazo ya watu yenye muelekeo na mtazamo mmoja tu.
Yafuatayo nimadhara ya fukuza fukuza za chadema

  1. Kwa sababu wanachama hufukuzwa ghafla tu a.k.a (summary dismissal) , kwanza inajenga nidhamu ya uoga ndani yawanachama, hasa kwa wale wa chini.
  2. Pili, mpaka sasa ndani ya chama wanachama wanaogopa kutoa mawazo mbadala,hata kama ni ya kujenga, kwa kuogopa labda kuitwa waasi, wahujumu na kufukuzwa
  3. CCM wanatumia udhaifu huu wa chama kuhujumu baadhi ya maeneo kwa kutumia mamluki ili kuwafanya baadhi ya viongozi waaminifu wa chama waonekane ni wasaliti au wahujumu kwa mategemeo kuwa lazima watafukuzwa baada ya hapo.
  4. Utaratibu huu utafanya wanachama wa chadema kushindwa kushiriki kikamilifu katika umoja wa UKAWA, kwani hawako huru kutoa maoni yao ya kisiasa hasa pale swala linalojadiliwa linapokuwa halipendwi na mwenyekiti au katibu wa CDM
  5. Baadhi ya wanasiasa wakubwa nchini,ambao wangependa kujiunga CDM wamekuwa wakisita sana kutokana na huu utaratibu wa chama. Wanasiasa wengi wangependa kuachana na Magamba, lakini wanasita kujiunga cdm kwa sababu ndani ya chadema tayari kumekuwa na jamii ya watu ambao ndio wenye uwezo wa kusema na kutengeneza mambo, na ukiwapinga hata kama kwa nia njema unatimuliwa.
  6. Chama kitakufa. kutokubali hoja mkinzano ndani ya chama ni kukubali kujenga kabuli la chama. Ili chama kiendelee ni lazima watu wawe na uhuru ulio sawa wa kujadili na kupendekeza mambo
  7. Fukuza fukuza hii inawatisha wakinamama na wanawake ambao ni wanachama muhimu tunaowataka ili kuchukua nchi 2015.
  8. Baadhi ya viongozi wenye tofauti za kimahusiano wanautumia mwanya huuu kuwashughulikia maadui zao kisiasa
NOTE: Ukomavu, ushupavu, ukuu na uwezo wa kiongozi yeyote hauthibitishwi katika kuadhibu tuu,kwani walio legelege hufanya hivi pia ili waonekane kuwa ni wakuu na wenyeuwezo, kiongozi shupavu husikiliza napia kusamehe ili wakosaji wapate kujifunza katika busara , na hekima zake
Nawasilisha.
 
Kwa hiyo hata huyo katibu aliyegonga muhuri binafsi badala ya ule wa chama naye aachwe tu? Lazima chama kichukue hatua tena kali kwani hicho kitendo kilikuwa cha maksudi ili kuipa ushindi ccm
 
It is wise to forge an iron while it is hot.
Wako wahujumu wa wazi katika chaguzi za serikali za mtaa, kufukuzwa ni ujira wao sahihi. Labda jambo moja utusaidie kwa kutupa mfano sahihi kuwa ni wapi kuna mtu au watu wamefukuzwa kwa kuonewa. Hii itatusaidia kusanabaisha na maelezo yako. Kwa taarifa Wako wale vibaraka walisimamishwa wakati wa kampeni (marufuku ya nguvu) na wale waliohujumu siku ya uchaguzi, wote mshahara wao ni kufukuzwa. Kaisome vizuri Katiba ya CHADEMA (2006).
 
Cdm imefukuza tena baadhi ya wanachama wake kwa kile kinachosemekana kuwa walihujumu chama wakati wa uchaguzi mdogo.
Kimsingi imekuwa ni kama taratibu ya chadema kufukuza wanachama kila baada ya tukio kubwa la kisiasa au mgogoro ndani ya chama. Sina nia ya kutetea hujuma (kama kweli zipo)lakini napinga huu utaratibu wa fukuza fukuza kugeuzwa kuwa ndo njia sahihi ya kushughulikia wanachama.

CDM inazidi kukua na kuenea ndani na hata nje ya nchi, na pia imeingia katka makubaliano yaliyoanzisha umoja wa UKAWA. Kwa hatua hizi, ni wazi kuwa sasa chama kinazidi kuwa na wanachama wengi na wenye mawazo mbadala katika kufikia malengo. Lakini pia wote tunakubali kuwa chama hakiwezi kuendeshwa kwa mawazo ya watu yenye muelekeo na mtazamo mmoja tu.
Yafuatayo nimadhara ya fukuza fukuza za chadema

  1. Kwa sababu wanachama hufukuzwa ghafla tu a.k.a (summary dismissal) , kwanza inajenga nidhamu ya uoga ndani yawanachama, hasa kwa wale wa chini.
  2. Pili, mpaka sasa ndani ya chama wanachama wanaogopa kutoa mawazo mbadala,hata kama ni ya kujenga, kwa kuogopa labda kuitwa waasi, wahujumu na kufukuzwa
  3. CCM wanatumia udhaifu huu wa chama kuhujumu baadhi ya maeneo kwa kutumia mamluki ili kuwafanya baadhi ya viongozi waaminifu wa chama waonekane ni wasaliti au wahujumu kwa mategemeo kuwa lazima watafukuzwa baada ya hapo.
  4. Utaratibu huu utafanya wanachama wa chadema kushindwa kushiriki kikamilifu katika umoja wa UKAWA, kwani hawako huru kutoa maoni yao ya kisiasa hasa pale swala linalojadiliwa linapokuwa halipendwi na mwenyekiti au katibu wa CDM
  5. Baadhi ya wanasiasa wakubwa nchini,ambao wangependa kujiunga CDM wamekuwa wakisita sana kutokana na huu utaratibu wa chama. Wanasiasa wengi wangependa kuachana na Magamba, lakini wanasita kujiunga cdm kwa sababu ndani ya chadema tayari kumekuwa na jamii ya watu ambao ndio wenye uwezo wa kusema na kutengeneza mambo, na ukiwapinga hata kama kwa nia njema unatimuliwa.
  6. Chama kitakufa. kutokubali hoja mkinzano ndani ya chama ni kukubali kujenga kabuli la chama. Ili chama kiendelee ni lazima watu wawe na uhuru ulio sawa wa kujadili na kupendekeza mambo
  7. Fukuza fukuza hii inawatisha wakinamama na wanawake ambao ni wanachama muhimu tunaowataka ili kuchukua nchi 2015.
  8. Baadhi ya viongozi wenye tofauti za kimahusiano wanautumia mwanya huuu kuwashughulikia maadui zao kisiasa
NOTE: Ukomavu, ushupavu, ukuu na uwezo wa kiongozi yeyote hauthibitishwi katika kuadhibu tuu,kwani walio legelege hufanya hivi pia ili waonekane kuwa ni wakuu na wenyeuwezo, kiongozi shupavu husikiliza napia kusamehe ili wakosaji wapate kujifunza katika busara , na hekima zake
Nawasilisha.

Sasa ndugu mtu aliyechukua fomu kugombea na baadae akajitoa katikati ya mchakato au kiongozi aliyekusanya fomu za wagombea wote kwenye kata na kuzificha mpaka mwisho wa kurejesha ni wanini kwenye chama? Hawa hawasitaili kuvumiliwa hata kidogo Wafukuzwe tu.
 
CHADEMA hatuna muda wa kulinda mafisadi na wasaliti kama ccm tutafukuza wahujumu chama wote bila kuangalia cheo kama tulivyofanya kwa zitto kabwe
 
Kama mnawapenda sana wanunueni maana ndio za ccm kununua wanachama
 
Kwa hiyo hata huyo katibu aliyegonga muhuri binafsi badala ya ule wa chama naye aachwe tu? Lazima chama kichukue hatua tena kali kwani hicho kitendo kilikuwa cha maksudi ili kuipa ushindi ccm

tutawafukuza wote
 
chdm sio chama cha wahuni kama ccm ambao huleana milele, huku ukileta ujinga unapigwa chini, na bado tukichukuwa nchi wakwanza kuingia magereza ni vasco dagama wa tz
 
Kuhujumu chama ambacho kuna watu wamepata ulemavu au hata kifo wakikitetea hukumu yake haisemeki .
 
Cdm imefukuza tena baadhi ya wanachama wake kwa kile kinachosemekana kuwa walihujumu chama wakati wa uchaguzi mdogo.
Kimsingi imekuwa ni kama taratibu ya chadema kufukuza wanachama kila baada ya tukio kubwa la kisiasa au mgogoro ndani ya chama. Sina nia ya kutetea hujuma (kama kweli zipo)lakini napinga huu utaratibu wa fukuza fukuza kugeuzwa kuwa ndo njia sahihi ya kushughulikia wanachama.

CDM inazidi kukua na kuenea ndani na hata nje ya nchi, na pia imeingia katka makubaliano yaliyoanzisha umoja wa UKAWA. Kwa hatua hizi, ni wazi kuwa sasa chama kinazidi kuwa na wanachama wengi na wenye mawazo mbadala katika kufikia malengo. Lakini pia wote tunakubali kuwa chama hakiwezi kuendeshwa kwa mawazo ya watu yenye muelekeo na mtazamo mmoja tu.
Yafuatayo nimadhara ya fukuza fukuza za chadema

  1. Kwa sababu wanachama hufukuzwa ghafla tu a.k.a (summary dismissal) , kwanza inajenga nidhamu ya uoga ndani yawanachama, hasa kwa wale wa chini.
  2. Pili, mpaka sasa ndani ya chama wanachama wanaogopa kutoa mawazo mbadala,hata kama ni ya kujenga, kwa kuogopa labda kuitwa waasi, wahujumu na kufukuzwa
  3. CCM wanatumia udhaifu huu wa chama kuhujumu baadhi ya maeneo kwa kutumia mamluki ili kuwafanya baadhi ya viongozi waaminifu wa chama waonekane ni wasaliti au wahujumu kwa mategemeo kuwa lazima watafukuzwa baada ya hapo.
  4. Utaratibu huu utafanya wanachama wa chadema kushindwa kushiriki kikamilifu katika umoja wa UKAWA, kwani hawako huru kutoa maoni yao ya kisiasa hasa pale swala linalojadiliwa linapokuwa halipendwi na mwenyekiti au katibu wa CDM
  5. Baadhi ya wanasiasa wakubwa nchini,ambao wangependa kujiunga CDM wamekuwa wakisita sana kutokana na huu utaratibu wa chama. Wanasiasa wengi wangependa kuachana na Magamba, lakini wanasita kujiunga cdm kwa sababu ndani ya chadema tayari kumekuwa na jamii ya watu ambao ndio wenye uwezo wa kusema na kutengeneza mambo, na ukiwapinga hata kama kwa nia njema unatimuliwa.
  6. Chama kitakufa. kutokubali hoja mkinzano ndani ya chama ni kukubali kujenga kabuli la chama. Ili chama kiendelee ni lazima watu wawe na uhuru ulio sawa wa kujadili na kupendekeza mambo
  7. Fukuza fukuza hii inawatisha wakinamama na wanawake ambao ni wanachama muhimu tunaowataka ili kuchukua nchi 2015.
  8. Baadhi ya viongozi wenye tofauti za kimahusiano wanautumia mwanya huuu kuwashughulikia maadui zao kisiasa
NOTE: Ukomavu, ushupavu, ukuu na uwezo wa kiongozi yeyote hauthibitishwi katika kuadhibu tuu,kwani walio legelege hufanya hivi pia ili waonekane kuwa ni wakuu na wenyeuwezo, kiongozi shupavu husikiliza napia kusamehe ili wakosaji wapate kujifunza katika busara , na hekima zake
Nawasilisha.

Hoja zako zina ushawishi uliokosa mifano yenye kuthibitisha hoja hizo...

Kukosekana mifano hai katika kila hoja uliyoijenga kunafifisha nguvu ya hoja zako

Mfifiko wa nguvu katika hoja zako kunaondoa uzito wa hoja zako zote na kukufanya uonekane kuwa wewe ni dalali wa kuua harakati za kutokomeza utamaduni unaotaka kujengeka katika jamii yetu-utamaduni wa usaliti.
 
Wewe ulitaka iwe ya wahutu wenzako? Hawana masihara. Waliobumburuka na escrow ulimsikia mchagga huko? Hawafanyi biashara kichaa hata siku moja.

Akaunti ya escrow wachagga inawatesa sana, Mzee Mengi, a man behind the music, ni mhehe.
 
Back
Top Bottom