CHADEMA na Familia tupeni utaratibu wa kumchangia Tundu Lissu

Hata kama wasipo mchangia ni kazi bure kwani hatishiki, hababaiki na wala hana shida kwani keshapata beberu ughaibuni linampush na kumsapoti, ndo maana haoni shida kutetea Ushoga na kuomba mabwana zake wasitishe misaada Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu ni utaperi wa kiwango cha lami.

1.Tumemshuhudia wenyewe kila siku akipost picha yupo bar anakunywa pombe pesa ya mshahara ambao hajafanyia kazi(pesa ya wananchi) .ametumia million 252 kama mshahara wake kwa starehe na milion 40 ya mchango wa wabunge huku kule ulaya kila kitu akipewa bureeee!

amewaomba wadau wa maendeleo wasitishe msaada kwa tanzania pesa ambayo inalinufisha taifa na vizazi vyetu.yeye kuomba msaada huku akikataa nchi isipewe ni double standard na ubinafsi mkubwa

viongozi wote wa chadema ni walaghai kwenye ishu za pesa.pesa hapa makao makuu huliwa kama kawaida so hata mkichanga itaishia ufipa
Mnapata tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wadau wa maendeleo tena?Sio mabeberu na Mashoga?

Zama za kina Moses Nnauye unaweza sema zilikuwa zama za wanasiasa hodari wa kujenga hoja na ushawishi,lakini wakati mwingine unaweza dhani zilikuwa ni enzi za kiza na kukosa technolojia labda ndio maana wali-shine sana.

Muwe mnavuka hata kipawa hapo mnatoka kidogo.Huko Craft beers Vs Macro-breweries beers ni jambo la kawaida sana,yaani kuona beers mtu anakunywa ni anasa?
 
huu ni utaperi wa kiwango cha lami.

1.Tumemshuhudia wenyewe kila siku akipost picha yupo bar anakunywa pombe pesa ya mshahara ambao hajafanyia kazi(pesa ya wananchi) .ametumia million 252 kama mshahara wake kwa starehe na milion 40 ya mchango wa wabunge huku kule ulaya kila kitu akipewa bureeee!

amewaomba wadau wa maendeleo wasitishe msaada kwa tanzania pesa ambayo inalinufisha taifa na vizazi vyetu.yeye kuomba msaada huku akikataa nchi isipewe ni double standard na ubinafsi mkubwa

viongozi wote wa chadema ni walaghai kwenye ishu za pesa.pesa hapa makao makuu huliwa kama kawaida so hata mkichanga itaishia ufipa
AKUMULIKAE MCHANA USIKU ATAKUCHOMA umemulika sana mchana kweupe mh. tundulisu mchana kweupe na na sasa kwa usiku huu unataka kumchomakabisa.......... kichwa yako haina shaka kabisa kuwa imejaa mavi
 
Kuna mtu kachungulia fursa kaiona, na hii ndiyo dunia, wengine werevu wengine wajinga.

Mwisho wa siku werevu huwala wajinga na wajinga ndiyo huliwa.

Sitamani kuwa mjinga lakini pia sitaki kuwa mwelevu dhulumati
 
huu ni utaperi wa kiwango cha lami.

1.Tumemshuhudia wenyewe kila siku akipost picha yupo bar anakunywa pombe pesa ya mshahara ambao hajafanyia kazi(pesa ya wananchi) .ametumia million 252 kama mshahara wake kwa starehe na milion 40 ya mchango wa wabunge huku kule ulaya kila kitu akipewa bureeee!

amewaomba wadau wa maendeleo wasitishe msaada kwa tanzania pesa ambayo inalinufisha taifa na vizazi vyetu.yeye kuomba msaada huku akikataa nchi isipewe ni double standard na ubinafsi mkubwa

viongozi wote wa chadema ni walaghai kwenye ishu za pesa.pesa hapa makao makuu huliwa kama kawaida so hata mkichanga itaishia ufipa
Kuna uwezakano mkubwa siku mama yako akipika wali hapo nyumbani kwenu ndiyo huwa mnaoga.Very stupid!
 
Hahahaha
Aibu tupu
Sema wewe umchangie
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamchangia msaliti wa nchi yetu Tanzania
Dadeki piga chini
Mwambie asimame barabarani aanze kuombaomba na ana faa Maana yuko confirmed kwenye wheelchair
Spectacular failure these people

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wenye afya mbovu ya akili kama Wewe hawatachanga,lakini wenye afya njema ya akili tutachanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka yake wa Arusha atupe namba yake ya account ambayo itathibitishwa na Lissu na yeye atamfikishia mdogo wake
mkuu kama una access naye mcheki mwambie kuna wapendwa tumeguswa atusadie tuweze kumchangia Lissu
 
Lissu ni jinga Sana, kuzuia wahisani wasiisaidie Tanzania Kama nchi huku yeye akiombeleza fedha za kujikimu ni uhanisi uliokubuhu,

Sent using Jamii Forums mobile app
mnatafuta pa Kufia.
misaada imekatwa sababu za demokrasia mbovu.
na operesheni ya makonda kupambana na ushoga.hapo mnatafuta sababu.
KWANZA WAZUNGU MNAWAITA MABEBERU HAPO HAPO MNATAKA HELA ZAO.
si mnajiweza JITEGEMEENI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umetika mmu.habari zako za muziki usizilete hapa
Nakuona jinsi unavyokatika hapo
tapatalk_1549727244647.jpeg
 
Back
Top Bottom