CHADEMA na Familia tupeni utaratibu wa kumchangia Tundu Lissu

Blac kid

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
5,324
2,000
Habari wanajamvi, kumekuwepo na video clip ikisambaa mtandaoni ndugu Tundu Lissu akiomba apigwe tafu, naamini tupo watanzania wengi ambao tupo tayari kuchangia chochote kadiri ya uwezo wetu. Tunaomba uongozi wa chama au familia utupe utaratibu wa kuchanga kwa kutupatia namba ya M-pesa, tigo pesa, airtel money au account namba ya bank tuweze kumchangia mtanzania mwenzetu aliyenusirika kifo kwa watawala wasiopenda ushindani. Cc Moderator Uongozi wa jamiiforum tunaomba mtusaidie kutupatia uthibitisho wa account na namba za simu tutakazopatiwa, shukrani
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,785
2,000
Hahahaha
Aibu tupu
Sema wewe umchangie
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamchangia msaliti wa nchi yetu Tanzania
Dadeki piga chini
Mwambie asimame barabarani aanze kuombaomba na ana faa Maana yuko confirmed kwenye wheelchair
Spectacular failure these people

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh we kuuu la mashetani hujui kama mipango yako imefeli
 
Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
10,008
2,000
Hahahaha
Aibu tupu
Sema wewe umchangie
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamchangia msaliti wa nchi yetu Tanzania
Dadeki piga chini
Mwambie asimame barabarani aanze kuombaomba na ana faa Maana yuko confirmed kwenye wheelchair
Spectacular failure these people

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sioni kinyongo kulipa kodi iliyo nunua risasi ilompiga Akwilina, obviously na kwa Lissu ntachangia. Ikiliwa na mwengine shauri yake na Mungu wake.
 
gemmanuel265

JF-Expert Member
Feb 16, 2016
8,503
2,000
Hahahaha
Aibu tupu
Sema wewe umchangie
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamchangia msaliti wa nchi yetu Tanzania
Dadeki piga chini
Mwambie asimame barabarani aanze kuombaomba na ana faa Maana yuko confirmed kwenye wheelchair
Spectacular failure these people

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili timamu ya mtu unaipima kwa kutofautiana na wewe kwa mtazamo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
12,929
2,000
Hahahaha
Aibu tupu
Sema wewe umchangie
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamchangia msaliti wa nchi yetu Tanzania
Dadeki piga chini
Mwambie asimame barabarani aanze kuombaomba na ana faa Maana yuko confirmed kwenye wheelchair
Spectacular failure these people

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nitachangie,wahusika wafanye upesi kuandaa utaratibu mzuri!
 
The Elephant

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
4,161
2,000
Hahahaha
Aibu tupu
Sema wewe umchangie
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu atamchangia msaliti wa nchi yetu Tanzania
Dadeki piga chini
Mwambie asimame barabarani aanze kuombaomba na ana faa Maana yuko confirmed kwenye wheelchair
Spectacular failure these people

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijua maadui wa nchi(by Mwl Nyerere) utajua msaliti wa nchi ni nani
 
ntita

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
512
250
Angalizo tu wakati mnatuma pesa zenu wanaweza wakatrack na kila aliyechangia wakamfanyia figisu, hasa kama no mtumishi wa UMMA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom