Chadema na cuf nunueni majeneza na sanda...hamtufai Tanzania

Pengo yuko chama gani?




Poor Mwita!

Sijasema CDM kijishushe kwa CCM! No where in my post I have indicated that!

Nimesema kijishushe kwa jamii ile ambayo wanaambiwa hawapo!

Hivi leo hii CDM ikaamua kutumia sh. laki moja tu kusema imetoa msaada wa madaftari shule ya sekondari Al-almain kuna kosa?
Leo hii CDM wakisema wanamtembela Mufti na kuuliza Bakwata inafanyaje kazi na kutoa pongezi kwa kazi nzito ya kuongoza Bakwa ni kosa/
Leo hii sikuu ya Idd ikifika na CDM ikatoa mdaada kwa watoto mayatima ni kosa

Kwa kufanya hayo au yanayofanana na hayo CDM itakuwa kwa kiasi gani imejivua hizi TUHUMA

Mwita, I know you hate me, because you think I hate CDM, I dont hate anybody NINACHOKASIRIKA NI KUFANYA MATENDO YASIYOPELEKA KUIONDOA CCM, ILI HALI MIJIAMINISHA MTAKA KUINDOA CCM! this is a lie and must stop!

Vodaco, zain, tigo wanapata wateja kwa style nyingi, Je haiwezekani CDM ikavuna watu woote kwa style hii

Kama CDM ilianzisha operation SANGARA MWANZA, leo hii HAIWEZI KUANZISHA OPERATIONS KOROSHO MTWARA? au CDM itoiondoa ccm kwa mikoa fulani tu..BULLSHIT!!

Mimi ninayesema haya naonekana mbaya kwa lipi? wakati I believe I am posing challenge to chadema for good!!

Jamani ukweli utasimama na hata sasa watu wanajua nasimamia wapi, Come on, kupeana moyo na kutokosoana ni makosa na kama ni hivyo, I am sorry for you

Heshima kwako Waberoya,

Mkuu nimesoma bandiko lako mara mbili nimekuelewa sana bahati mbaya wapo wanajamvi wengi wenye uelewa mkubwa watakuja hapo na kujifanya hawajaelewa kitu.Umetoa tathmini ya hali halisi ilivyo mitaani [si JF] hakika nimeshuhudia mwenye juhudi zinazofanywa na watu mbali mbali kwa msaada wa mkubwa wa vyombo vya usalama.Rejea maandamano ya CHADEMA Arusha serekali na CCM hawakuwa na majibu ya kuhalalisha mauaji kilichofanyika ni kuwaita masheikh kutoa tamko la kulaani maandamano na kuunga mkono mauaji ya watu wasiokuwa na hatia na kukubali kuacha ukweli ukipotezwa.Ajabu ni CHADEMA yenye badala ya kuwaza na kuwazua ili andaa mpango mzuri wa mazishi ya marehemu wa dini zote mbili ingawa marehemu wa dini ya kiIslamu kulikuwa na patashika nguo kuchanika.Baada ya mazishi nilitegemea CHADEMA waje na plan B hasa kumaliza mbegu ya mgawanyiko wa kupandikizwa [kinga rasmi ya walioshindwa kutimiza wajibu wao] mpaka leo bado sijaona.

CHADEMA wanajua siasa za Tanzania tangu enzi za Mzee wa Kiraracha na Prof Lipumba walipotezwa kwenye ulingo wa siasa kwa kupandikiziwa uzushi wa ajabu,walishindwa kufanyia kazi uzushi matokeo yake sote tunajua,Uzushi unaenezwa na CCM dhidi ya CHADEMA bahati mbaya haufanyiwi kazi na viongozi badala yake wanadhani kufanya maandamano na kurusha mapicha ya wingi wa watu JF wamemaliza kazi!,tutakuja shangaa kama si kushangazwa.Ushauri wa Waberoya ufanyiwe kazi mara moja Tanzania inahitaji kukombolewa CHADEMA haiwezi kuikomboa nchi kama haiwezi kuifanyia kazi changamoto iliyoko mbele yake.

Ngongo,

Tatizo lenu anti-chadema ni kwamba mmekariri mbinu za siasa alizokuwa anatumia lyatonga mrema na lipumba tangu enzi na enzi, sasa hivi ni kipindi kingine na chadema inafanya siasa za kiwango kingine, bongo haijawahi kuwepo hii staili ya chadema.

Huwezi kuizuia ccm kutumia vyombo vyake vya dola kuisaidia kueneza propaganda dhidi ya chadema. Huwezo kuizuia ccm kuvitumia vyombo vya dola kuwaua raia wasiokuwa na hatia kwa kisingizio chochote kile cha "kulinda amani na utulivu, ama kutii sheria halali za igp mwema". Chadema hawana jeshi, au wewe ulitaka waanzishe uasi kama libya?? Kazi ya chadema ni kuwaeleza ukweli wananchi na ndicho kitu wamekifanya kwa suala la mauaji ya arusha.

Mnatakiwa kufahamu kwamba ccm itaendelea kutumia vyombo vya dola kujilinda na kufanya kila aina ya propaganda na chadema kikiwa chama mbadala kazi yake ni kuwaelimisha tu wananchi ili waweze kujua haki zao za msingi na matarajio yao kutoka kwa serikali yao waliyoichagua. Watakapopata elimu ya kutosha na kugundua kwamba hawawezi kamwe kujipatia maendeleo ya kweli chini ya ccm basi itakuwa ni kazi nyepesi mno kuing'oa ccm madarakani. Haya maandamano ya kanda ya ziwa tu yamewatia kizunguzungu, sasa huwezi kuona kwamba chadema wanajua kuweka mikakati ya kuwaamsha watanzania?? na wakishajua propaganda za ccm wataendelea tu kuiunga mkono chadema na hatimaye kuikabidhi uongozi wa nchi hii.

Jambo la msingi hapa ni wazi kwamba siasa ya chadema inawatisha ccm na hata vyama uchwara vya upinzani kama tlp na nccr mageuzi kwahiyo wanaungana na ccm kuishambulkia chadema lakini hamtofanikiwa kwa kuwa wananchi wa kizazi hiki si wale wale mlizoea kuwapa kanga na ubwabwa wanakupigia kura, sasa hivi wanakula ubwabwa wako kama ilivyotokea arusha kura wanampigia wanayemtaka!!
 
Ngongo,

Tatizo lenu anti-chadema ni kwamba mmekariri mbinu za siasa alizokuwa anatumia lyatonga mrema na lipumba tangu enzi na enzi, sasa hivi ni kipindi kingine na chadema inafanya siasa za kiwango kingine, bongo haijawahi kuwepo hii staili ya chadema.

Huwezi kuizuia ccm kutumia vyombo vyake vya dola kuisaidia kueneza propaganda dhidi ya chadema. Huwezo kuizuia ccm kuvitumia vyombo vya dola kuwaua raia wasiokuwa na hatia kwa kisingizio chochote kile cha "kulinda amani na utulivu, ama kutii sheria halali za igp mwema". Chadema hawana jeshi, au wewe ulitaka waanzishe uasi kama libya?? Kazi ya chadema ni kuwaeleza ukweli wananchi na ndicho kitu wamekifanya kwa suala la mauaji ya arusha.

Mnatakiwa kufahamu kwamba ccm itaendelea kutumia vyombo vya dola kujilinda na kufanya kila aina ya propaganda na chadema kikiwa chama mbadala kazi yake ni kuwaelimisha tu wananchi ili waweze kujua haki zao za msingi na matarajio yao kutoka kwa serikali yao waliyoichagua. Watakapopata elimu ya kutosha na kugundua kwamba hawawezi kamwe kujipatia maendeleo ya kweli chini ya ccm basi itakuwa ni kazi nyepesi mno kuing'oa ccm madarakani. Haya maandamano ya kanda ya ziwa tu yamewatia kizunguzungu, sasa huwezi kuona kwamba chadema wanajua kuweka mikakati ya kuwaamsha watanzania?? na wakishajua propaganda za ccm wataendelea tu kuiunga mkono chadema na hatimaye kuikabidhi uongozi wa nchi hii.

Jambo la msingi hapa ni wazi kwamba siasa ya chadema inawatisha ccm na hata vyama uchwara vya upinzani kama tlp na nccr mageuzi kwahiyo wanaungana na ccm kuishambulkia chadema lakini hamtofanikiwa kwa kuwa wananchi wa kizazi hiki si wale wale mlizoea kuwapa kanga na ubwabwa wanakupigia kura, sasa hivi wanakula ubwabwa wako kama ilivyotokea arusha kura wanampigia wanayemtaka!!

Mwita don't assume au kugeneralise this kills your personality!

Yes my dear we have challenge in the table kiongozi wa waislamu kwanza
1. amekataza waislamu kwenda kwenye maandamano
2. amesema wanaomsakama JK ni udini tu

Kindly, give us one simple shule ya kuwaFUNDISHA AU KUWAELIMISHA WANANCHI kuwa si kweli alivyosema mufti, si kweli wanavyosema CCM.

ebu dadavua mkuu, toa mbinu ya kisiasa na sio kupinga haya matamshi. Kumbuka kwenye siasa watu huwa wanachafuliwa na uchafu wao huwa unabaki hata waki wasafi. Nani leo anajua tuhumza za rushwa za Sumaye zilikuwa za kupikwa? wangapi wanajua zile kesi alizokashifiwa alishinda? leo wanagapi wanamchukulia sumaye kama msafi?
 
Umeenda mbali wee, ungenielewa tangu mwanzo ungejua ninamaanisha nini

Anyway, umenifurahisha kusema mtafika Lindi na Mtwara, all the best!!

I dont believe kama haunielewi!!!!!!!!!!!


Nadhani hata wewe unanielewa!!

Itabidi nikutafute siku moja tunywe gahawa,ili usiendelee kuwa na hisia kwamba naku-hate!!
 
Mwita don't assume au kugeneralise this kills your personality!

Yes my dear we have challenge in the table kiongozi wa waislamu kwanza
1. amekataza waislamu kwenda kwenye maandamano
2. amesema wanaomsakama JK ni udini tu

Kindly, give us one simple shule ya kuwaFUNDISHA AU KUWAELIMISHA WANANCHI kuwa si kweli alivyosema mufti, si kweli wanavyosema CCM.

ebu dadavua mkuu, toa mbinu ya kisiasa na sio kupinga haya matamshi. Kumbuka kwenye siasa watu huwa wanachafuliwa na uchafu wao huwa unabaki hata waki wasafi. Nani leo anajua tuhumza za rushwa za Sumaye zilikuwa za kupikwa? wangapi wanajua zile kesi alizokashifiwa alishinda? leo wanagapi wanamchukulia sumaye kama msafi?

Waberoya kama hoja ya anti-chadema imekukera, ama wewe si mmoja wao basi ninakuondoa kwenye kundi hilo ingawa huo ndio mtazamo wangu kutokana na jinsi ninavyokusoma hapa jf.

Tukirudi kwenye concern zako, nataka nikujibu hivi;

1. amekataza waislamu kwenda kwenye maandamano-Yes ametoa kauli ya kuwakataza waislamu kutokwenda kwenye maandamano yatakayoandaliwa na chadema lakini ujue kwamba si waislamu wote wanaoikubali bakwata, hata hivyo waislamu hawaendeshi maisha yao ya kisiasa kwa matakwa ya mufti wa bakwata.Subiri maandamano yatakapoanza ndipo utajua kwamba mufti anapoteza muda wake kupiga propaganda za kisiasa, kazi kubwa ambayo angeifanya na kumpa nguvu ya kutoa tamko likatekelezwa na waislamu ni kuwasaidia kuwepo kwa mahakama ya kadhi, lakini kwakuwa yeye ndiye kachangia kuikwamisha, asitegemee kuungwa mkono na waislamu wengi.

2. amesema wanaomsakama JK ni udini tu-Yes amesema hivyo kwakuwa anajaribu kumbackup Kikwete ambaye ndiye muanzilishi wa hoja ya udini,lakini kwakuwa watanzania hawaonekani kuitilia maanani hoja ya udini ndipo anatafuta ushawishi kwa viongozi wa kiislamu wamuunge mkono, lakini wananchi wanaona kwa macho yao kwamba rais wetu ameshindwa kuiongoza nchi kadri ya matarajio yao kwahiyo hii propaganda ya udini haina mashiko, huku mtaani hatuuoni huo udini,tunaishi kwa kushirikiana kuanzia kwenye shughuli za misiba, sherehe hadi sikukuu za kidini.

Nimalizie kujibu hoja yako kwa kukujulisha kwamba, kwanza Dr. Slaa ameshaizungumzia shutuma za mufti dhidi ya chadema lakini wakati wa maandamano yanayotarajiwa kufanyika nyanda za juu kusini hivi karibuni, wananchi watapata fursa ya kupatiwa ufafanuzi na uchambuzi wa kina juu ya shutuma za mufti, so stay tunned!!
 
Waberoya kama hiyo anti cghadema imekukera ama wewe si mmoja wao basi ninakuondoa kwenye kundi hilo ingawa huo ndi mtazamo wangu kutokana na jinsi ninavyokusoma.

Tukirudi kwenye concern zako, nataka nikujibu hivi;

1. amekataza waislamu kwenda kwenye maandamano-Yes ametoa kauli ya kuwakataza waislamu kutokwenda kwenye maandamano yatakayoandaliwa na chadema lakini ujue kwamba si waislamu wote wanaoikubali bakwata, hata hivyo waislamu hawaendeshi maisha yao ya kisiasa kwa matakwa ya mufti wa bakwata.Subiri maandamano yatakapoanza ndipo utajua kwamba mufti anapoteza muda wake kupiga propaganda, kazi kubwa ambayo angeifanya na kumpa nguvu ya kutoa tamko likatekelezwa na waislamu ni kuwasaidia kuwepo na mahakama ya kadhi, lakini nkwakuwa yeye ndiye kachangia kuikwamisha, asitegemee kuungwa mkono na waislamu wengi.

2. amesema wanaomsakama JK ni udini tu-Yes amesema hivyo kwakuwa anajaribu kumbackup Kikwete ambaye ndiye muanzilishi wa hoja ya udini,lakini kwakuwa watanzania hawaonekani kuitilia maanani hoja ya udini ndipo anatafuta ushawishi kwa viongozi wa kiislau wamuunge mkono, lakini wananchi wanaona kwa macho yao kwamba rais wetu ameshindwa kuiongoza nchi kadri ya matarajio ya wananchi na kwahiyo hii propaganda ya udini, huku mtaani hatuoni huo udini,tunaishi kwa kushirikiana kuanzia misiba, sherehe na sikukuu za kidini.

Nimalizie hoja yako kwa kukujulisha kwamba, kwanza Dr. Slaa ameshaizungumzia hoja ya mufti lakini wakati wa maandamano yanayotarajiwa kufanyika nyanda za juu kusini hivi karibuni, wananchi watapata fursa ya kupatiwa ufafanuzi na uchambuzi wa shutuma za mufti,so stay tunned!!


Be real hujajibu maswali yangu; how will you respond and convince people that Mufti is wrong!

All my ears! Thanks
 
Siku zinazidi kuendelea, malumbano yanazidi kuendelea, aliyedhania yuko kwenye nyumba ya chuma kumbe nazo ni za vioo tu!

Jinsi ya kuzuia majibizano na uadui wa CUF na Chadema, ni kukaa chini! wakati CDM wanawaza kushindana na CCM na CUF, CUF nao wanawaza kushindana na CCM na CDM!

These two parties are just comedians at their best!

Haya CDM endeleeni kuwatukana CUF muone shughuli yake
 
Hivi jamani Tanzania kuna udini?
Mnafahamu kweli maana ya neno udini? ... hata hivyo umesomeka vizuri maana umejitahidi kujenga hoja unafaa kuchukua kitengo propaganda cha kile chama baada ya kujivua linaloitwa GAMBA maana aliepo amekuwa gamba nae so atavuliwa tu huyo "TAMBO HIZO".
 
Siku zinazidi kuendelea, malumbano yanazidi kuendelea, aliyedhania yuko kwenye nyumba ya chuma kumbe nazo ni za vioo tu!

Jinsi ya kuzuia majibizano na uadui wa CUF na Chadema, ni kukaa chini! wakati CDM wanawaza kushindana na CCM na CUF, CUF nao wanawaza kushindana na CCM na CDM!

These two parties are just comedians at their best!

Haya CDM endeleeni kuwatukana CUF muone shughuli yake
Mkuu heshima sana!! Kwa kiasi flani nakubaliana na baadhi ya hoja zako.. Naomba unisaidie kidogo, kuna sehemu Mwita amekujibu kuwa Watafanya maandamano hata ktk mikoa uliyokuwa umetaja, na ulivyojibu ni kama kwamba hujawahi kusikia juu ya mpango wa Chadema kuandamana mikoa yote!!! Jambo lingine, ukisema kuwa 'Chadema wanatukana' unamaanisha nini? Ni haya matusi ninayoona humu toka kwa watu ambao hatuwezi kudhibitisha uanachama wao au ni yapi? Kwa mfano juzi tumeona huko Pangani Profesa akiwaita viongozi wa Chadema 'wapiga disco, mafisadi nyangumi' nk. lkn hatusikii sana malalamiko ya kutukanwa Chadema japo wanatukanwa sana!! Naomba yeyote anisaidie kwa mfano Chadema wamefanya mikutano Arusha, Mara, Mwanza, Shinyanga na Kagera.. Naomba yeyote atupe tusiojua matusi yao kwa Cuf ktk mikutano hiyo.
 
Waberoya ninaona kua CDM na CUF wasiposhinda uchaguzi 2015 utasema,' unaona mimi niliwaambia kujirekebisha UDINI hawakusikia'. Lakini hilo ndio wazo la CCM - CCM wana lengo la kuiingiza nchi kwenye udini kisha kuvifanya vyama vya upinzani kutumia muda wao mwingi kwenye kujiosha udini. Upinzani wakiwa bussy kujisafisha UDINI, ni dhahiri CCM wanashinda kwa mteremko. Hata ujioshe vipi CCM haitaacha hiyo kazi ya kuingiza CDM kwenye udini. Tokana na mwafaka kwa sasa CCM itaitumia vizuri CUF kuipaka uchafu CDM.

Mimi naona jibu la ushindi 2015 ni kuwaamsha wananchi TOKA kwenye usingizi wa pono, kuwafahamisha wananchi maovu na makosa ya CCM (pamoja na siasa za udini za CCM), na kuwapa matumaini kwamba hatujachelewa na kua CDM itawajali wananchi.

Kamwe CDM haiwezi kushinda uchaguzi 2015 kwa kujiingiza kwenye mtego wa UDINI uliopangwa na CCM kwa kua CCM wanauwezo wa kutegua mtego wao.

Mwisho kama CCM na CUF wanamwafaka, CDM wanahaki ya kuisakama CUF kama wanavyoisakama CCM.

UDINI haupo TZ na CDM bora ikafanya mambo kwa mwelekeo huo. Udini unaotangazwa na CCM na ndio utaiua CCM. CDM kama itachukua madaraka kwa kukubali kua udini upo, basi nayo itamalizwa na huo UDINI. UDINI utasababisha nchi kutotawalika kwa wote CCM na CDM.
 
..nadhani wanachokosea Chadema ni kushambulia halafu kutulia na kufanya tathmini ya mashambulizi yao.

..kwa mfano: wamefanya maandamano kule kanda ya ziwa halafu sasa wametulia na kuanza kufanya tathmini. hiyo imewapa muda CCM ku-counter attack na ndiyo wamekuja na hotuba ya Kikwete na ya Mufti.

..hotuba ya Kikwete ilikuwa kwa taifa, sasa sijui kwanini Chadema na wao hawakutafuta muda au media ya kuijibu hotuba ile kwa taifa zima. mpaka leo sijui majibu ya CDM kwa accusations alizotoa JK ni nini?

..pia Chadema waelewe kwamba makombora anayotoa Kikwete, ingawa anayatoa huku akitabasamu au akinung'unika, ni mabaya sana. Kikwete ameshawatuhumu kwamba wanataka kumwaga DAMU wakati wa uchaguzi, na response ya CDM was not prompt and decisive. tena amekuja na kuwatuhumu UDINI na halafu CDM wanakuja na vitamko mtoto-mtoto.
 
Waberoya, Tuache UNAFIKI, hivi na wewe ni kati ya wale wanaoamini propaganda za CCM na baadhi ya mafisadi wa nchi hii? Kama kweli wewe unaanza kuamini CUF ni chama cha WAISLAMU na CDM ni chama cha Wakristo nadhani umeelemewa na hao jamaa kweli na hatutaweza kukusaidia.

Isse ya Msingi ambayo unatakiwa kuelewa ni kwamba CUF hawajawahi kusema CDM ni wakatoliki/wakristu hata siku moja na CDM hawaja wahi kusema CUF ni waislamu hata siku moja, na haitatokea. Ila ukweli ninaoujua ni kwa CCM na Mafisadi wake ndio waliowahi kusema CUF ni Waislamu wakati ule CUF inaungwa mkono na wananchi wengi, leo hii CUF imekubali kuungana nao Zanzibar wamekuja na mpya eti CDM ni wacristo.

Hivi unashindwa kuelewa tatizo liko kwa nani?, nafikiri kwa mtanzania wa kawaida haingii akilini kusikia eti ni kwa nini kila wakati CCM wanakuja na udini wa namna hii.

Leo hii mtu akijenga hoja akasema CCM kuna udini anashindwa nini?

Ni swala la kujua waTZ wanataka nini, watu hatutaki malumbano ya udini, Dini utamaduni tu wa Wazungu na Waarabu sasa kwa nini sisi ambao tunaamini mungu yupo na tunamheshimu tuanze kuvurugana kwa mambo ya wazungu na waarabu?????????????????

Ntakuja tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tuwe makini tusije ingia katika mtego huu. Mwalimu-wabe ni fundi wa kucheza na matukio. Kaa chonjo!
 
Hayati baba wa taifa alisema watanzania wana dini lakini serikali haina dini. Wanachama wa vyama vyote wana dini lakini vyama vyao havina dini.
Yeyote anayekwenda kinyume na hii kanuna hata mungu hatamkubali kwani mungu si mwanachama wa chama chochote. Kwa nini tunataka kumsilimisha mungu awe wa chama fulani?
 
Not for so long , I warned some members to take some challenges positively for the betterment of their parties

Surprising, many people always took my discussion as provocative towards them

I have nothing hidden,

You all see how CDM now is suffering from the very problem that I noted here. It is also not a first time that I have written the same warning but in a manner that someone out there will take as a challenge and act accordingly.

The question is, where are we going? are we where we planned to be? is this the best we can offer to this nation? are we going to die like this or are going to do something that will revitalise our hope towards removing CCM from power? Is CCM gonna win and laugh at us loudly because we have inclined to their trap?

CUF and CDM where is your sustainable strategic plans to move out of this accusations? That your parties are religious based..??

Are you waiting the restitution? is it not costly?

Is it true that all our posts and time gonna be lost like that? Is it true that our time gonna waste like that? is it not true that we need to see our hope is living and our dream is growing up? do we need to revisit history that we had CUF and Chadema those days?

Is there any dream and possibility that we can remove CCM from power using ballot box and not bullet magazine?

where is your actions?

I would think by now you will have used your unique character of solving problems,

Slaa we need photo, you and Muft are shaking hand and your faces are shining with loving smile..at least that, because arrogant have proven failure at least in cases like these!

Though again some people out there may define my posts differently, but I feel pain, I feel pain that all those mafisadi they may continue to rule us even our kid

I feel pain that my stay in JF may be futile, though I have not loosed my hope yet! I feel pain that all posts of all people who want change may vanish and dissapper like candle in the wind!!!

I repeat thorugh my research these parties your so loved parties , these parties are swimming in the ver bad accusations, if you will not step out and say CAMMON! leaders wake up.......you are wastrel, I dont want to believe this yet
 
CHEDEMA ni chama pekee cha upinzani kilichobakia, wengine wote wamenunuliwa na CCM? kuwa makini mtoa kwa kuweka mambo kwenye mzani. Usichanganye mchanga na mchele, utashindwa kula wali!
 
Back
Top Bottom