CHADEMA na CUF kipi mashuhuri??

CHADEMA na CUF kipi mashuhuri??

Mbona hili la ndoa linaongelewa sana mbona kuna halmashauri kama ya Kigoma ambayo CDM ilifunga ndoa na CCM. Au CDM kwa sasa wanamtamani bwana wao wa zamani? hivyo wana wivu?

strong point...halmashauri kigoma.thanx kwa kumbukumbu,ngoja niihifadhi mana jamaa kila siku ndoa ndoa kumbe wanajisahau.
 
Chadema ni chama cha kanisa katoliki wakat cuf ni chama cha siasa kilichobobea..hivi unauliza mtoto wa miaka 6 na mtu mzma wa miaka 18? kabla ya 2005 nani alikua anawajua Cdm achen kulinganisha cuf wapo juuu...
 
CUF is the political party with full of lazness masquaradings in case of thoughts they didt foresee what would happen after being masquaring with chama cha mapinduzi in zanzibar and now no more party there but what is there is ony part of chama cha mapinduzi and this fulish masquaradings will get the way out soon after this weding comes apart.
 
CUF ni chama cha kidini na CHADEMA chama cha watu wanaopenda mabadiliko.Ukitaka ushahidi angalia wakati wa mikutano,CUF utaona vibarakashia,kanzu,hijabu na baibui nyingi,wakati CHADEMA ni mixture.
 
CUF ni chama cha kidini na CHADEMA chama cha watu wanaopenda mabadiliko.Ukitaka ushahidi angalia wakati wa mikutano,CUF utaona vibarakashia,kanzu,hijabu na baibui nyingi,wakati CHADEMA ni mixture.
sidhani kama iko ni igezo cha kuhalalisha dhana yako,unajuaje kwamba wale wote wanaovaa hivyo ni waislam,kwani hata papa benedict wa vatican pia mavazi yake ni hayo,mi nadhani dini inakaa moyoni sio kwenye mavazi,ukienda egypt kuna wakristo wanavaa kanzu..pengine tuelewane hapa kanzu ni utamaduni tu wa waarab haina uhusiano na dini ni kama khanga kwa wabongo.Zipo nchi za kiislam lakini hawavai kanzu wakienda msikitini,mfano uturuki
 
you are a d.o.g among the fox.nafikiri tangu jf imeanza ww ndo umeboa mno.RIP SOON na mawazo ya kifaaaaaaaala
 
you are a d.o.g among the fox.nafikiri tangu jf imeanza ww ndo umeboa mno.RIP SOON na mawazo ya kifaaaaaaaala
mtu mwenyewe hata bado hujamaliza siku zako ndani ya jf unaanza matusi,nakutabiria kifo cha mapema mno humu jamvini,anywayz karibu,kama wewe ulivyo jf ndivyo ilivyo,ni kama kioo ukicheka nacho kinacheka!
 
Mkuu wangu sometimes unachemkaga mbaya! Hebu lijuze jukwaa hili ni lini na wapi "Padre" Slaa, Mchungaji Msigwa, au Mchungaji Rwakatare walisimama jukwaani kwenye mikutano ya hadhara kuombea mikutano ya vyama vyao.

Alaa kumbe tatizo lako wewe ni kumkumbuka mungu kabla ya kuanza mkutano tu basi! yani hilo tu ndio likakufanya uamini kwamba mungu hawezi kuombwa bila muongoza maombi kuhongwa ama kununuliwa kwanza!
 
Nasikitika kucoment hapa lakini naomba nitoe ushauri. CHADEMA hatuna haja ya kucoment kwenye upuuz huu.
 
Wanajamvi naomba mnisaidie. Eti Tanzanian kuna chama cha upinzani kinachoitwa CUF? Binafsi najua chama kama hicho kipo Pemba na kwa vile mapambano ya kuvunjika kwa muongano yamepamba moto, basi muda mfupi ujao hakutakuwa na chama chenye jina kama hilo hapa Tanganyika. Nani anabisha? Unabisha nini na wakati Wazanzibari wamekubaliana kwa sauit moja kuwa wanataka nchi yao? Sasa nani chama chenye mbunge mmoja na kile chenye mamlaka ya kuunda kambi ya upinzani katika bunge la Tanzania ambalo baadaye litaitwa bunge la Tanganyika, kipi bora?
 
Mkuu huu sio wakati wa kushindanisha vyama kwa maneno wakati muafaka ni 2015. wakati huo tutalinganisha CCM na TLP au TPP maendeleo

Mama toto umeshaolewa? Kama bado unafaa kuwa mke wangu, kichwa yako imetulia.
 
Back
Top Bottom