CHADEMA na Christian Democratic Parties

Status
Not open for further replies.

Uzalendo ndio ulionituma, kama kulipwa basi nitalipwa na matokeo ya uchaguzi mkuu ujao kwa watanzania kukinyima kura CHADEMA ya kuingia Ikulu ikiwa pamoja na kura za wabunge.

Kw2a mfano matokeo ya miezi michache iliyopita ya Udiwani (CCM-22, CHADEMA -5) NI malipåo makubwa sana.
 
uliyoyasema yana ukweli maana wanajamvi wanashindwa kutoa hoja badala yake wanashindana kutoa matusi hoja ujibiwa kwa hoja na sio kupaza sauti uonekane unamaanisha unachoongea watanzania tusiwe washabiki tu kunapo kuwa na ukweli tukae tuangalie hata kama kitu unakipenda sana lakn uwe tayar kubadilika unapoona ulichotegemea sicho
chadema nilikipenda sana walipouza sera zao lakn siku hiz wamejaa lawama tu.INASIKITISHA KUONA WATU WANASHINDWA KUMPINGA KWA USHAIDI INANIFANYA MIMI NIAMIN ANACHOSEMA
 

Vipi washakuongezea salio umerudi tangia tarehe 19 mpaka leo 23 wee kiboko
 
NAKUONYA WEWE IBILISI NA WENZAKO KWA JINA LA NIKO AMBAYE NIKO -UKOME KUCHOCHEA MAMBO YENU YA UDINI.
1.Uko madrasa huwa mnafundishwa tu kuhusu ukristo au uislam!?
2.Mbona hao wakwenu wakienda kwenye mikutano kama hiyo hakuna anayewabuguzi?SELFISHNESS
3.MKASOME DARASANI ACHANI MAKAMASI KWENYE AKILI ZENU,UROPOKAJI NK.
4.NINAUHAKIKA KUWA MKILALA MNAOTA TU UKRISTO.LILIWASHINDA BABU NA BIBI ZENU...?IWE WEWE KADAGAA...
NB:
+ IF YOU CAN NOT FIGHT US JOIN US.
+Una Mapepo-Nikuondolee.
+Dini haisambazwi kwa Upanga Bali NENO LA IMANI.
 
Unajua kunabaadhi ya watu wanapenda kampeni za chini chini na kutaka kutuingiza Tanzania kwenye ugomvi wa kidini.Baba wa Taifa alipendi hilo swala na aliyepost nadhani atapata lana ya Mwl Nyerere.Wewe unauthibitisho gani CDM au CUF ni vyama vya udini kama unauhakika sema tukupe namba ya Tendwa akavifute.MUNGU IBARIKI TZ
 
watanzania hatudanganyiki na propaganda za udini....

Hebu mje na mbinu mpya......

Wengine kuanzia wenyekiti, makamu hadi waweka hazina dini fulani halafu kutwaaaaaa kujifanya hamwegemei udini na kuisakama chadema

wengine wanadiriki kusema hawajashinda kwa sababu jimbo lina wakristu halafu mwajifanya chadema udini....

Acheni unafiki wa kizamani....

Njoeni na propaganda mpya za kuconvince watu....hizi chafu hazina deal...
 

acha unafiki wewe!! raisi JK kila kukicha anaenda kuhemea huko na bakuli analeta unakula leo ndo umepata uchungu. CDM uhusiano tu ndo unauliza!! watu wa kundi la PM7 masalia a.k.a Dogo au Prezoo mna matatizo.mnahoji vitu vya kipumbafu, kwa taarifa tu prezzo wenu ni kigagula na ametangaza vita na mfuasi wake asiye tii maagizo yake anasema msipotii yatawakuta ya kuwakuta. kwa hiyo sishangai hizi post zenu
 
Kimsingi, PROPAGANDA za kutumia UDINI kama njia ya kudhoofisha CHADEMA, zilisha prove failure,
Kuhusu suala la CHADEMA kuwa na uhusiano na chama cha kikristu cha Ujerumani, nakuja kutoa maelezo,
 
Jakaya kikwete.....Mwislam
Philipo mangula....MKRISTO
Abdulahiman kinana.Mwislam
Mwigulu nchemba....Mwislam
Asha Rose migiro...Mwislam
Nape Mnauye........Mwislam

Do Mimi napita tu.
 
Kimsingi, PROPAGANDA za kutumia UDINI kama njia ya kudhoofisha CHADEMA, zilisha prove failure,
Kuhusu suala la CHADEMA kuwa na uhusiano na chama cha kikristu cha Ujerumani, nakuja kutoa maelezo,
 
Ukitaka uwashike. Pabaya chadema ni kuhusu swala la udini,, ww angalia JF wachangiaji au members majority ni watu gani?? Nenda Facebook pia issue yoyote ile wachangiaji!!!!! Wanaompinga ZZK majority???? Inaweza kuwa sio adiology ya cdm lakini ndo chama kimepokewa na jamii hivyo,, kama kufanya marekebisho wafanye sasa waache kutukana ,, wafanye utafiti wajue sababu na wazifanyie kazi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kimsingi, PROPAGANDA za kutumia UDINI kama njia ya kudhoofisha CHADEMA, zilisha prove failure,
Kuhusu suala la CHADEMA kuwa na uhusiano na chama cha kikristu cha Ujerumani, nakuja kutoa maelezo,

Nasubiri maelezo. Naona wewe una hoja, WENGINE NI MAELEZO YA VIJIWENI TU.
 
Kimsingi, PROPAGANDA za kutumia UDINI kama njia ya kudhoofisha CHADEMA, zilisha prove failure,
Kuhusu suala la CHADEMA kuwa na uhusiano na chama cha kikristu cha Ujerumani, nakuja kutoa maelezo,

nakusubiri ulete data za vijiweni
 
Jakaya kikwete.....Mwislam
Philipo mangula....MKRISTO
Abdulahiman kinana.Mwislam
Mwigulu nchemba....Mwislam
Asha Rose migiro...Mwislam
Nape Mnauye........Mwislam

Do Mimi napita tu.

Una hakika kuwa Asha Migiro ni mwislam.

Hata hivyo point haikuwa mtu au watu bali muelekeo wa Chama. Walipoalikwa Ujerumani na Christian Democratic Union Party cha Bi Anggela Merkel walitamba sana. Nilwauliza hivi ni nini mnachofaidika au kujifunza toka kwa chama hicho? Mjibuji wa swali langu alijitahidi kujibu lakini alificha ukweli katika baadhi ya mambo muhimu sana, hasa kuhusu uhusiano wa kanisa na chama hicho. Ndipo nikaahidi kuja na mada itayohusu vyama vya kikristo duniani.

Ninachotarajia kwa wajibuji wa thread hii, ni kutetea idiolojia ya chama chao hasa wakizingatia kutoshawishika na idiolojia za wakubwa hao 'CDU'. Hii ni muhimu sana kwani tumeona vyama vingi viingiapo madarakani, vikiyumbishwa na malobies. Na kwa maana hiyo nilikichukua hicho chama cha Ujerumani 'CDU' au wanachama wake matajiri kuwezekana kuwa wachangiaji wakubwa wa pesa kwa CDM kwa intrest zao. Sasa hizi Intrest za nchi Magharibi ndizo zinazotuharibia nchi zetu, kama ilivyokuwa katika mauaji ya genocide ya Rwanda na uhusikaji wa kanisa.

Kuna wanaosema kwanini unakifuatafuata CHADEMA? Wanakosea sana, kwani wakichukua nchi nami nitaathirika kwanini nsijiulize leo kama hicho chama kinastahili. Tafadhali jibuni hoja!!!!!
 
Rais ni Mwislam, Makamu wa rais ni Mwislam, Mkurugenzi mkuu wa TISS ni Mwislam, IGP ni Mwislam, Jaji mkuu ni Mwislam, Jaji kiongozi ni Mwislam, etc. Tukisema Alhaj Kikwete anaiongoza nchi Kiislam tutakuwa tunakosea??!!
 
Christian ideology ndiyo inayoongoza dunia sasa, ndiyo maana kuna anguko la uislam. Nadhani CDM wapo sahihi kuwa nao.
 
Chadema ni member wa IDU na si wa CDI.

Habari za IDI hizi hapa. IDU : International Democrat Union na hapa International Democrat Union - Wikipedia, the free encyclopedia

The International Democrat Union (IDU) is a working association of over 80 Conservative, Christian Democrat and like-minded political parties of the centre and centre right.

Formed in 1983, the IDU provides a forum in which Parties holding similar beliefs can come together and exchange views on matters of policy and organisational interest, so that they can learn from each other, act together, establish contacts and speak with one strong voice to promote democracy and centre-right policies around the globe. Founder Members of the IDU included Britain's Prime Minister Margaret Thatcher, then US Vice-President George Bush Sr, Paris Mayor and later President of France Jacques Chirac, German Chancellor Helmut Kohl and many other Party Leaders.



Our Mission

  1. The International Democrat Union (IDU) shall consist of Member Parties of the Asia Pacific Democrat Union (APDU); the Caribbean Democrat Union (CDU); the Democrat Union of Africa; the European Democrat Union (EDU); the European People’s Party (EPP); the Alliance of European Conservatives and Reformists (AECR); and the Union of Latin American Parties (UPLA), which have adhered to the IDU Declaration of Principles.
  2. The IDU will foster the common philosophy of its Member Parties, establish permanent relations at a bilateral and multilateral level, encourage mutual support and to these ends will provide a forum for the exchange of views and information on matters of interest to all or a considerable number of its Member Parties.
Countries can only develop their full potential if they develop recognising the ideals of liberal democracy, freedom of the individual, and the need for economic growth to be based on individual initiative and free, competitive enterprise economies. The IDU has a clear role in a modern world, where today's idea in one country is tomorrow's policy in another.

Through the IDU, member Parties can exchange policy ideas, assist each other to win the political argument, and to win elections. There are regular meetings of both the full IDU and its Regional Unions and Organisations. The officers of the IDU are elected at Party Leaders' Meetings which are held every three or four years.

At IDU Executive Meetings, briefings are given on local and topical issues, as well as consideration given to applicant parties. Apart from Executive Meetings and meetings of IDU's Standing Committee on Foreign Affairs, the IDU holds events such as the Young Leaders Forum, plus undertakes fact-finding missions and election observation. A major event is also held every four years to coincide with the Republican Convention, the last one held in September 2012 in Tampa (Florida).

The IDU also organises campaigning seminars for politicians and party workers. These involve exchanges of information on campaign technology, fund-raising techniques, opinion polling, advertising and campaign organisation. The IDU plays an essential role in enabling like-minded, centre-right parties to share experiences in order to achieve electoral success.
 
Ungekuwa na legal grounds na ushahidi, na ungekuwa unauamini ushahidi huo wala usingepitia hapa ungeenda moja kwa moja kwa msajili. Nakushauri kwa moyo mmoja nenda na peleka ushahidi wako.

Kwa taarifa yako, hata msajili wa vyama vya siasa anatafuta nafasi na sababu za kuifuta CHADEMA, na akipata sababu atafurahia sana. Ndio maana Polisi walipomuua Mwangosi, alisikika akisema mara moja atakifuta chama. Alipobanwa kwa hoja alikaa kimya.

Zawadi Ngoda, utakuwa umemsaidia sana Msajili, na umesaidia sana CCM ukifanya kazi hiyo.

Kuendelea kupost hapa ntaona ni ile ile strategy ambayo CCM wamekuwa wakiitumia: KUPOTOSHA NA KUCHAFUANA.
 
Christian ideology ndiyo inayoongoza dunia sasa, ndiyo maana kuna anguko la uislam. Nadhani CDM wapo sahihi kuwa nao.

Yap! ni kweli ukristo ume conquer most of the world, si kwa upanga bali kweli na damu ya Yesu inatenda kazi kwa Injili yenye power.Sio mbaya CDM wakifuata mfumo wake, kwani licha ya ku conquer Ukristo umeproove ku maintain amani, upendo kwa wote, elimu na kuthamini utu kwa ujumla.Ni mawazo yangu tu jamani.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…